Wakenya wanajua kuitumia ardhi kwa manufaa zaidi kuwazidi Watanzania?

Kenya kuwa na kiwango kikubwa cha elimu kimewasaidia sana kupunguza kuwa na tabia za kiswahili ambazo ni very common among the people of Tanzania.

Na hii kwa kiasi kikubwa ndio inasababisha Tanzania kuwa na uchumi mdogo tofauti na Kenya pamoja na kuwa na rasilimali nyingi zaidi kuishinda Kenya.
Nyerere aliharibu sana kuruhusu kiswahili kutumika kama lugha rasmi, hii ikajega tabia za kiswahili swahili ambazo asili yake ni pwani na huko uarabuni, hapo lazima uone tofauti kubwa kati yetu na wakenya ambao lugha yao rasmi ni kiingereza.

Aina ya lugha unayotumia ndo inaamua hata namna ya kufikiri..........ukijifunza na kutumia kiingereza utatenda na kufikiri sawa na waingereza, yaani akili kubwa. Ukijifunza na kutumia kiswahili utatenda na kufikiri sawa na wazaramu na waarabu, akili ndogo.​
 
Hii mada nzito ila imekuja kiwepesi. Kiukweli utajiri wa uhakika na wenye tija upo kwenye kilimo na mifugo ila kwa nchi yetu ni kinyume chake. Sio kwamba wananchi ni wajinga au hawaoni umuhimu wa kilimo, tatizo naona kama mfumo mzima wa kilimo una mapungufu mengi. Hapo Zambia na uvivu wao wanajipigia pesa kwasababu angalau serikali yao iko macho kuhakikisha kilimo kinakuwa na utaratibu mzuri.

Huwa naumia sana kuona gunia moja la vitunguu Tanzania linaweza kutoa hata magunia matatu kwenye nchi zingine. Hapa kwetu uzito hauzingatiwi na kibaya zaidi mkulima hulazimishwa kuweka kitu kinachoitwa kilemba. Madalali wamekuwa matajiri na nguvu kuliko wakulima.

Serikali iachane na mambo sijui ya BBT na ijikite kuwawezesha wakulima kwa kuwawekea mfumo mzuri wa kazi zao pamoja na kuwatafutia masoko. Hii itasaidia kuongeza export na kujiletea fedha za kigeni. Zile fedha wanazokopeshwa halmashauri kwenye vikundi wawakopeshe individuals ambao tayari walishaanza kulima ila mitaji midogo. Kama kijana alishaanza kupambana akopeshwe au kupewa ruzuku bila kujali katoka chama gani na bila masharti magumu.
 
Wenzenu wanaweka saving za vikoba na saccos kununua asset, kama majengo, mashamba mkubwa, equipments. Lakini huku kwetu ni vikundi vya kusaidiana na misiba, mwisho wa mwaka mnavunja kikoba, hapo mnapiga hatua gani sasa...
 
Ok! Ok! Nashukuru mkuu!!!

Naona kama wazo linanijia la kwenda kufungua biashara Kenya! Nitaona!!!
Kama Una mtaji , Tafuta nafaka safi hasa mahindi na mchele fanya package , Kwa mahindi saga upate unga msafi then fanya package ,then nenda Kenya katafute vibali na uanzishe store yako ,uwe unapeleka unga na mchele uliokuwa packed tayari .
Hapo atleast unaweza anza kuona faida
 
Kenya kuwa na kiwango kikubwa cha elimu kimewasaidia sana kupunguza kuwa na tabia za kiswahili ambazo ni very common among the people of Tanzania.

Na hii kwa kiasi kikubwa ndio inasababisha Tanzania kuwa na uchumi mdogo tofauti na Kenya pamoja na kuwa na rasilimali nyingi zaidi kuishinda Kenya.
Sema wametangulia kuwa na exposure,kwani huku huku hakuba wasomi?
 
Nyerere aliharibu sana kuruhusu kiswahili kutumika kama lugha rasmi, hii ikajega tabia za kiswahili swahili ambazo asili yake ni pwani na huko uarabuni, hapo lazima uone tofauti kubwa kati yetu na wakenya ambao lugha yao rasmi ni kiingereza.

Aina ya lugha unayotumia ndo inaamua hata namna ya kufikiri..........ukijifunza na kutumia kiingereza utatenda na kufikiri sawa na waingereza, yaani akili kubwa. Ukijifunza na kutumia kiswahili utatenda na kufikiri sawa na wazaramu na waarabu, akili ndogo.​
Hoja yako ina mashiko mkuu!
 
Karibu kila mkenya ana elimu ya sekondari na zaidi ya asilima 60 wana elimu ya chuo ndio maana huwezi ukawaambia eti wakimbize mwenge wakakubali maanake wanafahamu ni mbinu nyingine tu ya ufisadi kwani wanafahamu mwenge haina uhusiano wowote na mikakati ya kimaendeleo.
Mkuu😂😂😂
Nimefurahi sana, nilishawahi kuuliza haya maswali nikiwa advance niliishia kutishiwa kwamba una provoke walimu tutakupa suspension.

Hivi ni nini kile huwa kinafanyika😂😂
Nimecheka sana.
 
Na ungeendelea kuuliza, ungeishia kuwa suspended, na siku ya kuripoti, ungefika na mzazi kwa ajili ya kupokea onyo la viboko.
 
Mkuu,
Mbali na hapo niliulizaga mwalimu wangu wa bible, Kwanini serikali kesi za uchawi inasema haziamini, akaniambia hazina uthibitisho, nikauliza sasa Kwanini tunaimba mungu ibariki na mungu mshindani wake ni shetani

😂😂😂Halafu ni shule za dini za pentecostal, niliwekwa kwenye maombi huwezi amini.
 
Hata Tanzania walioelimika ni wengi mno ila system imeshikiliwa na waswahili. Siku mfumo ukishikiliwa na mtu alienyooka mabadiliko ni ndani ya miaka michache mno.

Nimekuelewa, kina msoga au sio?! Maana naye amekuwa king/queen maker.
Nazani walofuatana wote huenda anahusika including wa sasa top?!
 
Mkuu,
Mbali na hapo niliulizaga mwalimu wangu wa bible, Kwanini serikali kesi za uchawi inasema haziamini, akaniambia hazina uthibitisho, nikauliza sasa Kwanini tunaimba mungu ibariki na mungu mshindani wake ni shetani

😂😂😂Halafu ni shule za dini za pentecostal, niliwekwa kwenye maombi huwezi amini.
🤣🤣🤣

Aisee wewe ni kichwa!

Bado kichwa chako kina "usumbufu" kama wa zama hizo?

Isije ikawa umerudi kwenye kundi la "Zidumu fikra za Mwenyekiti"
 
Hii mada nzito ila imekuja kiwepesi. Kiukweli utajiri wa uhakika na wenye tija upo kwenye kilimo na mifugo ila kwa nchi yetu ni kinyume chake. Sio kwamba wananchi ni wajinga au hawaoni umuhimu wa kilimo, tatizo naona kama mfumo mzima wa kilimo una mapungufu mengi. Hapo Zambia na uvivu wao wanajipigia pesa kwasababu angalau serikali yao iko macho kuhakikisha kilimo kinakuwa na utaratibu mzuri.

Huwa naumia sana kuona gunia moja la vitunguu Tanzania linaweza kutoa hata magunia matatu kwenye nchi zingine. Hapa kwetu uzito hauzingatiwi na kibaya zaidi mkulima hulazimishwa kuweka kitu kinachoitwa kilemba. Madalali wamekuwa matajiri na nguvu kuliko wakulima.

Serikali iachane na mambo sijui ya BBT na ijikite kuwawezesha wakulima kwa kuwawekea mfumo mzuri wa kazi zao pamoja na kuwatafutia masoko. Hii itasaidia kuongeza export na kujiletea fedha za kigeni. Zile fedha wanazokopeshwa halmashauri kwenye vikundi wawakopeshe individuals ambao tayari walishaanza kulima ila mitaji midogo. Kama kijana alishaanza kupambana akopeshwe au kupewa ruzuku bila kujali katoka chama gani na bila masharti magumu.
This is very true
 
Hiyo bureaucracy nafikiri ipo pia kwenye ununuzi wa korosho na pamba. Inafanyika hivyo kwa manufaa ya nani?
Kwenye biashara kuna kitu huwa tunaita "barrier to entry" ishu yeyote inayolipa lazma iwekewe zengwe ili kwenye mfumo msiwe wengi. Wako vifaru wachache kwenye hio system wanaexport vizuri tu na kupiga hela za kigeni. Korosho na pamba wanauza vizuri tu huko nje ila mkifunguliwa njia wote itakuwa sio ishu.
 
Back
Top Bottom