Wakenya wanajua kuitumia ardhi kwa manufaa zaidi kuwazidi Watanzania?

Watu hawawekezi kwenye kilimo kwa vile wanakatishwa tamaa na mfumo mbovu wa ukiritimba ,rushwa ,sera mbovu na ukosefu wa masoko ya kueleweka
Mkulima kama hapati faida unafikiri anaweza kuendelea kuwekeza ?
Ni ngumu
 
Zao la parachichi ndio tunajitahidi , na wakulima Njombe sasa hivi ndio wanavuna atleast benefits Kwa kuexport baada ya soko la uhakika kupatikana India .
Inapaswa iwe hivi hivi na kwa mazao mengine ili mkulima anufaike na kutanua uzalishaji
 
Nafaka pia zina soko la kutosha ila ukiritimba ndio unakwamisha
Nchi kama Sudan huko ,Ethiopia na hata hapo Kenya ambapo ukame hutokea Mara Kwa mara kuna soko kubwa la nafaka
Ila kuna washenzi wamejipa hatimiliki Kwa Jina la uongozi wameamua kutengeneza kila aina ya uzibe ili mkulima wa kawaida ashindwe
 
Sasa wao hufaidika nn?
 
Noted🙏
 
Mambo yote yanaenda na elimu sasa huwezi kulinganisha watu wa mataifa haya mawili kielimu kwani Tanzania bado tuko nyuma ya Kenya kwa takriban miaka 20.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…