Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafaka pia zina soko la kutosha ila ukiritimba ndio unakwamishaZao la parachichi ndio tunajitahidi , na wakulima Njombe sasa hivi ndio wanavuna atleast benefits Kwa kuexport baada ya soko la uhakika kupatikana India .
Inapaswa iwe hivi hivi na kwa mazao mengine ili mkulima anufaike na kutanua uzalishaji
Sasa wao hufaidika nn?Nafaka pia zina soko la kutosha ila ukiritimba ndio unakwamisha
Nchi kama Sudan huko ,Ethiopia na hata hapo Kenya ambapo ukame hutokea Mara Kwa mara kuna soko kubwa la nafaka
Ila kuna washenzi wamejipa hatimiliki Kwa Jina la uongozi wameamua kutengeneza kila aina ya uzibe ili mkulima wa kawaida ashindwe
Wanakusanya mazao Kwa wakulima Kisha wanaenda kuuza kwenye hayo masokoSasa wao hufaidika nn?
roho mbaya na ubinafsi Sasa hivyo.Wanakusanya mazao Kwa wakulima Kisha wanaenda kuuza kwenye hayo masoko
Kwa hiyo kupunguza ushindani ndio wanakuja na mikakati ya kishenzi ya kuminya vibali
The world is not fair😀Hapo ukienda kwa backup ya waziri au yule mstaafu haina shida kabisa.
Noted🙏We judge people here by how they argue and reason and it's on this simple analysis when someone like that woman lacks support.
It might be possible that she has never been outside of this country because no one can prove that claim as almost every subscriber to this forum uses a pseudonym instead of the real I'd.