Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Ombi la pili linakera. Kama sio kutudharau watanzania sijui ni nini. Watanzania wenyewe tuna shida ajira hazitoshi halafu tuwafungulie kenya mlango. Kwanza hawa ni hodari wa hila na ukabila si ndio watachukua ajira zote tanzania. Kwanza tayari wamejaa kumili ardhi tanzania kiujanjaujanja. Hilo la kazi mr rais tell them NO. Hilo la kwanza halina shida. Tumuunge huyo mwanamama msomali wa kenya.Naomba ombi hili limfikie raisi wetu Mh. John Pombe Magufuli.
Kesho Jumatatu Raisi wetu ataanza ziara ya siku mbili ya kiserekali nchini Kenya na atatembelea viwanda mbalimbali ikiwemo kiwanda cha Maziwa cha Brokies Diaries kinachomilikiwa na Familia ya Mzee Kenyatta.Hio sio ishu kwetu kabisa.
Kuna habari za kuaminika Raisi wa Kenya Uhuru Kenyatta ana maombi makuu mawili kwa Raisi Magufuli.
Ombi la Kwanza
Raisi Kenyatta atawasilisha ombi la kuungwa mknono na Tanzania ili waweze kupata uenyekiti wa Africa Union Commission ambapo mwanamama na Waziri wa mambonyq nje wa Kenya Bi Aminq Mohamed anapigiwa chapuo achukue nafasi hiyo.Watanzania hatuna shida na ombi hili na tuko pamoja na Raisi wetu akiamua kuunga mkono jambp hili.
Ombi la Pili
Inasemakana Raisi Uhuru Kenyatta ataomba Tanzania ifute sheria zinazowataka raia wa kenya kuwa na vibali vya kufanya kazi hapa nchini yaani work permits.Hapa ndio kuna shida ikumbukwe tumekua na tatizo la wakenya kuja hapa nchini kuchukua fursa ambazo mungu aliwaumbia watanzania sasa kama Raisi Magufuli ataingia kwenye mtego huo basi sina shaka soko la ajira litavamiwa na wakenya ambao kila siku mate ya yanawatoka na ajira zetu.Najua raisi wetu wewe ni mtu wa kufanya maamuzi ya hapo kwa hapo ila kwa hili naomba usiingie kwenye mtego wa Uhuru Kenyatta.
Watanzania wenzangu naomba tupaze sauti na kuhakikishia ujumbe huu unamfikia Raisi wetu haraka iwezekenavyo tusambaze ujumbe huu whats app,twitter,facebook kila kona jamani.
[HASHTAG]#ChochondeMagufuli[/HASHTAG]
Mkuu ombi lao ni kuwa waruhusiwe kufanya kazi bila work permit yaani kuwe na free movement of laboutunania zuri, ila acha woga, waache waje wafanye kazi ila walipie work permit na walipe kodi mapato yao. tena kodi iwe juu zaid kwa wageni.
Wenzako wanataka hivyo vibali vitoleweSioni kama kuna ubaya ikiwa watafanya kazi kwa vibali, mbona utaratibu wa aina hiyo unafuatwa na nchi nyingi, wa wageni kufanya kazi kwa vibali, ni nafasi nzuri ya sisi kujifunza toka kwao na wao toka kwetu.
Unadhan wasauz waliokua wanasema ajira zao zinaporwa na wageni, uingereza waliojitoa eu wote n wavivu tuu, hii kitu sio rahs ka unavofikiria mkuu, baadae itakua na effect kubwa.Wacha waruhusiwe ili tuache majungu ,uvivu na tujifundishe kufanyakazi
Mkuu ombi lao ni kuwa waruhusiwe kufanya kazi bila work permit yaani kuwe na free movement of labout
Uhuru Kenyatta atakuwa amechanganyikiwa , Tanzania ambayo kwa zaidi ya mwaka haijaajiri kijana yoyote , ina kazi gani za kuwapa wakenya ?Naomba ombi hili limfikie raisi wetu Mh. John Pombe Magufuli.
Kesho Jumatatu Raisi wetu ataanza ziara ya siku mbili ya kiserekali nchini Kenya na atatembelea viwanda mbalimbali ikiwemo kiwanda cha Maziwa cha Brokies Diaries kinachomilikiwa na Familia ya Mzee Kenyatta.Hio sio ishu kwetu kabisa.
Kuna habari za kuaminika Raisi wa Kenya Uhuru Kenyatta ana maombi makuu mawili kwa Raisi Magufuli.
Ombi la Kwanza
Raisi Kenyatta atawasilisha ombi la kuungwa mknono na Tanzania ili waweze kupata uenyekiti wa Africa Union Commission ambapo mwanamama na Waziri wa mambonyq nje wa Kenya Bi Aminq Mohamed anapigiwa chapuo achukue nafasi hiyo.Watanzania hatuna shida na ombi hili na tuko pamoja na Raisi wetu akiamua kuunga mkono jambp hili.
Ombi la Pili
Inasemakana Raisi Uhuru Kenyatta ataomba Tanzania ifute sheria zinazowataka raia wa kenya kuwa na vibali vya kufanya kazi hapa nchini yaani work permits.Hapa ndio kuna shida ikumbukwe tumekua na tatizo la wakenya kuja hapa nchini kuchukua fursa ambazo mungu aliwaumbia watanzania sasa kama Raisi Magufuli ataingia kwenye mtego huo basi sina shaka soko la ajira litavamiwa na wakenya ambao kila siku mate ya yanawatoka na ajira zetu.Najua raisi wetu wewe ni mtu wa kufanya maamuzi ya hapo kwa hapo ila kwa hili naomba usiingie kwenye mtego wa Uhuru Kenyatta.
Watanzania wenzangu naomba tupaze sauti na kuhakikishia ujumbe huu unamfikia Raisi wetu haraka iwezekenavyo tusambaze ujumbe huu whats app,twitter,facebook kila kona jamani.
[HASHTAG]#ChochondeMagufuli[/HASHTAG]
Mkuu nakuambia kama kuna watu wana Roho mbaya East Africa basi ni KENYA. Mwaka juzi niliajiriwa na NGO flan duty station NAIROBI. Ngoma ikaanza niliporipoti pale,
Yaani niliambiwa na country manager kuwa inabidi ashughulikie work permit kwanza, sasa kimbembe, ili upewe permit ni lazima kazi hiyo iwe imetangazwa Kenya na wamekosa mtu mtu huko, ikaonekana mambo hayaeleweki.
Nimekaa miezi mitatu sioni kinachoendelea ikabidi niwasiliane tena na NGO President SWEEDEN, alipowapigia pale wakasema nimekosa work permit, baada ya mwezi uliofuata nikawa sina jinsi nikabeba begi langu kurudi Bongo land.
KENYANS ARE FOOLS KWAKWELI
Huu muungano ni wa kibiashara na kiuchumi, zaidi ya hapo mnatupotezea muda tuu. Mtoto wa simba na mtoto wachui hawatakuja kufanana kamwe.Hivi mnataka muungano wa Africa mashariki halafu bado mnataka kuwekeana vikwazo vya kipuuzi?
Wewe kama huna connection hata wamikoani waambiwe kuja Dar kwa kibali na bado utaendelea kulialia tu.
Watanzania mmekalia wizi tu ndio maana watu serious wanawaajili Wakenya, badilikeni kwanza badala ya kulialia.
Unamaa viwanda vya wazungu walio funguwa huko? Muwacheke vizuri, mkiwatekenya vibaya wanfunga mabegi yao hao wanaondoka.Afadhali akaonyeshwe viwanda vinafananaje nadhani akirudi hapa zile kauli zake za hii ni Tz ya viwanda zitaisha.
Jirani zetu wana viwanda
Aone viwanda kama majirani wana viwanda vya wazungu au vya waafrika mimi sijui cha msingi aone viwanda vinafananaje..Unamaa viwanda vya wazungu walio funguwa huko? Muwacheke vizuri, mkiwatekenya vibaya wanfunga mabegi yao hao wanaondoka.

Naelewa mantiki ya ulichokiongelea lakini ukweli utabaki palepale kuwa nchi inatakiwa itangulize maslahi yake kwanza alafu ya jumuia ndipo itafuatia,kwa sasa nchi inayoweza kutishiana misuli kwa nguvu kazi imara ni Rwanda lakini kwa population yake si kitu kwa Kenya hivyo, inabidi tujipange kama taifa ili tuongeze ushindani kwa kuwa jumuiya si prestige bali ni profitability ama gains ndiyo huangaliHivi mnataka muungano wa Africa mashariki halafu bado mnataka kuwekeana vikwazo vya kipuuzi?
Wewe kama huna connection hata wamikoani waambiwe kuja Dar kwa kibali na bado utaendelea kulialia tu.
Watanzania mmekalia wizi tu ndio maana watu serious wanawaajili Wakenya, badilikeni kwanza badala ya kulialia.
Hivi mnataka muungano wa Africa mashariki halafu bado mnataka kuwekeana vikwazo vya kipuuzi?