Wakenya washinda shindano la watu wenye muonekano mbaya zaidi Afrika.

Status
Not open for further replies.
Tatizo movies ni utamaduni... Ziko movie tushirikishane ..na ziko movie mkae/tukae kulee,.. Hiyo inaitwa kuheshimu tamaduni...

Mfano historia ya uingereza Leo malkia awe mama kizaramo au laibon wa kimasai awe kijana wa kichina/Kizungu. Haita leta maana na itakuwa uongo.

Ubaguzi wa rangi ni subjective phenomenon inayotumika vibaya na watawala kutupunguzia social interactions za uhuru ambazo ndio ufunguo kwa kufanikiwa kwa jamii zetu

Mtu akikuita mzungu na ukawa mzungu kweli mbn hakuna shida, au akikuita mweusi, msomali, mchina na ukawa kweli amekosea wapi?! Moja ya sababu sisi tumekaa muda mrefu kwa kuheshimiana na kuchukuliana kama taifa ni kwa kuembrace tofauti zetu ambazo siku hizi zimekuwa nongwa kuzitaja... Unasemwa mpk..

Ila dunia ipo hivyo.. Wanyama mwituni wooote ni wanyama ila tembo hachukii simba kuitwa simba au pimbi hachukii kwanini yeye sio tembo.. Hiyo state tuliomo lazima tukubali na sifa zingine zinazotufanya tununiane au kuukuza ubaguzi zinaweza kupatikana..elimu utajiri nk

Hii dhana sisi sote binadamu tuitwe binadamu sidhani kama huwa hina mashiko.. Ntakwambia ndio..ila moyoni najua wewe ni mzungu.. Tungeacha tu tuseme kama hapa home.. Wale wafupi.. Hawa wanakula mbwa.. Wale nshomile hawa Mara punda wsle wengine chamaki nchanga ...huko juu nasikia tumiguu hahaha..

Ukweli watu wenye pua ndefu hawajazi chai kwenye kikombe... Na ni watu wenye matumbo meupe.. Huenda walikuja kifua wazi.. Tutamuuliza Mfalme tukifika mbinguni.
 
Nimekosa la kuongezea wala kuulizia wala chochote ila nimependa conclusion yako,
TUTAMUULIZA MFALME TUKIFIKA MBINGUNI.
 
Hahaha
Duhh hii kali
 
duuu kuna mashindano mengi duniani!!!
Lemi Ongara alishinda.
 
bongo ni shida kaka, Mimi kila siku namuomba Mungu ili nisitende dhambi. maana kuna watoto wameumbika usipime yaani!!!
 
bongo ni shida kaka, Mimi kila siku namuomba Mungu ili nisitende dhambi. maana kuna watoto wameumbika usipime yaani!!!
Sasa unawezaje kujizuia?, mimi ninamshukuru Mungu nilipata ajali ikanifanya nipoteze nguvu zangu, ila ninawasikitikia ninyi mlio wazima[emoji14] [emoji14] [emoji14]
 
Sasa unawezaje kujizuia?, mimi ninamshukuru Mungu nilipata ajali ikanifanya nipoteze nguvu zangu, ila ninawasikitikia ninyi mlio wazima[emoji14] [emoji14] [emoji14]
Ndio maana una majungu 24/7, pole Kaka wewe kula kwa macho.
 
Sasa unawezaje kujizuia?, mimi ninamshukuru Mungu nilipata ajali ikanifanya nipoteze nguvu zangu, ila ninawasikitikia ninyi mlio wazima[emoji14] [emoji14] [emoji14]

duu pole. ila unakosa utamu. lkn pia ngoma utakwepa kwa asilimia kubwa.

nanusulika hivyo hivyo tu. maana kuna wengine wanatutega kimakusudi.
 
duu pole. ila unakosa utamu. lkn pia ngoma utakwepa kwa asilimia kubwa.

nanusulika hivyo hivyo tu. maana kuna wengine wanatutega kimakusudi.
Aisee angalia sana tusije tukakuzika kabla ya kupanda electrical train
 
ahaaa haaa haaa siku hizi kuna zile za kufubaza. ahaaa ahaaa.
just a joke.

ila ngono zembe kwangu no.
Sasa mbuna unapunguza utamu?, urembo wote huu kisha ndani uvae zana, mbona utakuwa hakuna value for money?, it is not profitable kaka..ningekuwa mzima mimi, ingakuwa ni uso kwa uso, au head on collision[emoji23] [emoji23]
 
ahaaa haaa haaa kuishi napenda pia.
 
Unajua huku kwetu kama haujajichubua wanakuchukulia sio mzuri, ukimuuloza mbongo mzuri anafananaje, atakujibu wema sepetu na hamisa mobeto, lakini lupita anaonekana mbaya.
Huo ni mtazamo wako, mbona Flavian Matata anakubalika, ila rangi ya kati na kati inapendeza zaidi, not too black, not too much brown.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…