Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
HahahahaKwasababu wewe ni KE, ngoja niwe mpole tu nikubaliane na wewe, ila kwakweli huyo dada amefanana sana na mzee Daniel Toroitich Arab Moi, ila hongera zake
Hapana dada, huyo Flavian ni moto wa kuotea mbali, akifuatiwa kwa mbali na Nancy, hao akina Lupita wana sura za baba zao, yaani hakuna uzuri kabisa kwa hao wakenya, tuwe wakweli jamani.Hahahaha
Miss World Kenya.
Flaviana.
Lupita.
My gal Nancy.
Huoni kama wana look alike???
Kwa muonekano huyu wa Kenya baya
NANCY SUMARI.
FLAVIANA MATATA.
LUPITA NYONG'O.
MAGLINE (Miss world Kenya)
Hapo vipi.
Kamukhm, kimbia haraka hapa umuone Joto la jiwe anasema Flaviana anaongoza halafu Nancy ndio anajikongoja kwa mbaaaali.Hapana dada, huyo Flavian ni moto wa kuotea mbali, akifuatiwa kwa mbali na Nancy, hao akina Lupita wana sura za baba zao, yaani hakuna uzuri kabisa kwa hao wakenya, tuwe wakweli jamani.
Hahahaha siamini hata weweeeeeeeeeeKwa muonekano huyu wa Kenya baya
True, Nancy angefika mbali sana ila ndio hivyo kamati yenyewe ya Miss Tanzania ilikua magumashi top ten hakufika.
Ni kweli Flavy alikua Miss Universe.
Umeongea kweli ndio maana Mada imebadilika juu kwa juu.... hahahahahahii mada naona haina mantiki kwasababu kila jamii ina watu wazuri na wabaya kwa sura! Lakini kusema nchi fulani ndio inaongoza kwa kuwa na watu wabaya sijui kigezo gani kimetumika!
Tunakubaliana mpambano uwe kati ya Nancy na Flavian, ila hao wakenya warudi nyumbani kwanza. Labda utume picha tofauti tofauti za Nancy na Flavian, ila kwa hizi picha, Flavian yupo juuKamukhm, kimbia haraka hapa umuone Joto la jiwe anasema Flaviana anaongoza halafu Nancy ndio anajikongoja kwa mbaaaali.
Aiseeee Hapo Nancy ndio namba moja wao acha utani wako.
Hahahaha
Miss World Kenya.
Flaviana.
Lupita.
My gal Nancy.
Huoni kama wana look alike???
Kwa hiyo Lupita na Magline wakapumzike kwanza mpaka tutakapowaita tena, basi wapewe japo kifuta jasho chao jamaniiiiii.Tunakubaliana mpambano uwe kati ya Nancy na Flavian, ila hao wakenya warudi nyumbani kwanza. Labda utume picha tofauti tofauti za Nancy na Flavian, ila kwa hizi picha, Flavian yupo juu
Ni kweli Flavy alikua Miss Universe.
hivi haya mashindano bado yapo?? kitambo sijayasikia.
Hasaaaaa..... yaan ukiwa natural u become strong one.Waafrica aseeh!, natural and strong beauty.
Hata hii ya sasa..... Tz alituwakilisha nani Miss World??Kweli ni kitambo kidogo kwa bongo kwenda miss Universe. Sikumbuki ni lini tulipeleka mwakilishi tena.
Hahahaha, huyo Lupita japo nauli ya kurudi nyumbani ninaweza kubali apewe, lakini huyo mwengine hapana aisee, ana sura ngumu sana, midomo kama anapiga mluzi, huyo hamna kituKwa hiyo Lupita na Magline wakapumzike kwanza mpaka tutakapowaita tena, basi wapewe japo kifuta jasho chao jamaniiiiii.
:-D uchonganishi... Wengine tunatumia Ma-1- humu..sio macho natural hahaha! Hata hivyo jirani zetu wanasema Beauty is in the eyes of the beholder 🙂Kamukhm, kimbia haraka hapa umuone Joto la jiwe anasema Flaviana anaongoza halafu Nancy ndio anajikongoja kwa mbaaaali.
Aiseeee Hapo Nancy ndio namba moja wao acha utani wako.
Nyie mmeisha shinda chukueni taji lenu msherekee kwa amani[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]hii mada naona haina mantiki kwasababu kila jamii ina watu wazuri na wabaya kwa sura! Lakini kusema nchi fulani ndio inaongoza kwa kuwa na watu wabaya sijui kigezo gani kimetumika!
Hasaaaaa..... yaan ukiwa natural u become strong one.
Proudly African.