Wakenya washinda shindano la watu wenye muonekano mbaya zaidi Afrika.

Wakenya washinda shindano la watu wenye muonekano mbaya zaidi Afrika.

Status
Not open for further replies.
Kwasababu wewe ni KE, ngoja niwe mpole tu nikubaliane na wewe, ila kwakweli huyo dada amefanana sana na mzee Daniel Toroitich Arab Moi, ila hongera zake
Hahahaha
cc3910da251bdfed45201056505fed83.jpg

Miss World Kenya.

08404038ff4ff3fa83bbdac9e120e52d.jpg

Flaviana.

28255994eee80d687db9599e2a022c58.jpg

Lupita.

52a07a3d602ff1daf264fd8e7cf83446.jpg

My gal Nancy.

Huoni kama wana look alike???
 
watanzania nawajua kuwa ni waswahili.... sana mbona dada wawatu mzurii japo nasikia bongo mna ongoza kwa mashepu
 
Hahahaha
cc3910da251bdfed45201056505fed83.jpg

Miss World Kenya.

08404038ff4ff3fa83bbdac9e120e52d.jpg

Flaviana.

28255994eee80d687db9599e2a022c58.jpg

Lupita.

52a07a3d602ff1daf264fd8e7cf83446.jpg

My gal Nancy.

Huoni kama wana look alike???
Hapana dada, huyo Flavian ni moto wa kuotea mbali, akifuatiwa kwa mbali na Nancy, hao akina Lupita wana sura za baba zao, yaani hakuna uzuri kabisa kwa hao wakenya, tuwe wakweli jamani.
 
Hapana dada, huyo Flavian ni moto wa kuotea mbali, akifuatiwa kwa mbali na Nancy, hao akina Lupita wana sura za baba zao, yaani hakuna uzuri kabisa kwa hao wakenya, tuwe wakweli jamani.
Kamukhm, kimbia haraka hapa umuone Joto la jiwe anasema Flaviana anaongoza halafu Nancy ndio anajikongoja kwa mbaaaali.

Aiseeee Hapo Nancy ndio namba moja wao acha utani wako.
 
hii mada naona haina mantiki kwasababu kila jamii ina watu wazuri na wabaya kwa sura! Lakini kusema nchi fulani ndio inaongoza kwa kuwa na watu wabaya sijui kigezo gani kimetumika!
Umeongea kweli ndio maana Mada imebadilika juu kwa juu.... hahahahaha
 
Kamukhm, kimbia haraka hapa umuone Joto la jiwe anasema Flaviana anaongoza halafu Nancy ndio anajikongoja kwa mbaaaali.

Aiseeee Hapo Nancy ndio namba moja wao acha utani wako.
Tunakubaliana mpambano uwe kati ya Nancy na Flavian, ila hao wakenya warudi nyumbani kwanza. Labda utume picha tofauti tofauti za Nancy na Flavian, ila kwa hizi picha, Flavian yupo juu
 
Tunakubaliana mpambano uwe kati ya Nancy na Flavian, ila hao wakenya warudi nyumbani kwanza. Labda utume picha tofauti tofauti za Nancy na Flavian, ila kwa hizi picha, Flavian yupo juu
Kwa hiyo Lupita na Magline wakapumzike kwanza mpaka tutakapowaita tena, basi wapewe japo kifuta jasho chao jamaniiiiii.
 
Kwa hiyo Lupita na Magline wakapumzike kwanza mpaka tutakapowaita tena, basi wapewe japo kifuta jasho chao jamaniiiiii.
Hahahaha, huyo Lupita japo nauli ya kurudi nyumbani ninaweza kubali apewe, lakini huyo mwengine hapana aisee, ana sura ngumu sana, midomo kama anapiga mluzi, huyo hamna kitu
 
Kamukhm, kimbia haraka hapa umuone Joto la jiwe anasema Flaviana anaongoza halafu Nancy ndio anajikongoja kwa mbaaaali.

Aiseeee Hapo Nancy ndio namba moja wao acha utani wako.
:-D uchonganishi... Wengine tunatumia Ma-1- humu..sio macho natural hahaha! Hata hivyo jirani zetu wanasema Beauty is in the eyes of the beholder 🙂
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom