Wakenya watoa tahadhari kwa Watalii na Wageni kutembelea Tanzania kutokana vitendo vya Utekaji, Utesaji

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Mfumo Mbovu wa Uchaguzi na Katiba mbovu vimetuletea viongozi wasiofaa waliotetea matendo ya utekaji, utesaji na ubakaji wa wageni tena Bungeni, matukio ambayo yametangazwa duniani kote. Tumejionea wenyewe bungeni jana.

Sasa Gen Z wa Kenya wamekuja na Mpya. Wanaitangazia Dunia Tanzania sio sehemu salama ya kutembelea kutokana na Serikali kufanya vitendo vya Utekaji, Utesaji na Ubakaji wa wageni.

Tunaposema No Reforms No Election tueleweni jamani. Hawa CCM wameliangamiza hili Taifa letu hadi tunatangazwa kuwa ni watu wa hovyo.

20250528_191328.jpg
 
Kenya ndio sio safe state

Huonywa kabisa wasithubutu kuingia uswahilini

Martha Karua Karua na huyo Mwangi na huyi mganda Agather wana pesa gani za kutalii Tanzania hata nchini kwao hawajawahi kwenda kutalii popote malofa wakubwa
 
Mfumo Mbovu wa Uchaguzi na Katiba mbovu vimetuletea viongozi wasiofaa waliotetea matendo ya utekaji, utesaji na ubakaji wa wageni matukio ambayo yametangazwa duniani kote. Tunejionea wenyewe bungeni jana.

Sasa Gen Z wa Kenya wamekuja na Mpya. Wanaitangazia Dunia Tanzania sio sehemu salama ya kutembelea kutokana na Serikali kufanya vitendo vya Utekaji# Utesaji na Ubakaji wa wageni.

Tunaposema No Reforms No Election tueleweni jamani. Hawa CCM wameliangamiza hili Taifa letu hadi tunatangazwa kuwa ni watu wa hovyo.

View attachment 3348988

Tunaposema No Reforms No Election tueleweni jamani. Hawa CCM wameliangamiza hili Taifa letu hadi tunatangazwa kuwa ni watu wa hovyo.✌🏿📌🔨
 
Mfumo Mbovu wa Uchaguzi na Katiba mbovu vimetuletea viongozi wasiofaa waliotetea matendo ya utekaji, utesaji na ubakaji wa wageni matukio ambayo yametangazwa duniani kote. Tunejionea wenyewe bungeni jana.

Sasa Gen Z wa Kenya wamekuja na Mpya. Wanaitangazia Dunia Tanzania sio sehemu salama ya kutembelea kutokana na Serikali kufanya vitendo vya Utekaji# Utesaji na Ubakaji wa wageni.

Tunaposema No Reforms No Election tueleweni jamani. Hawa CCM wameliangamiza hili Taifa letu hadi tunatangazwa kuwa ni watu wa hovyo.

View attachment 3348988
Wakenya wajinga nchi za ulaya wana security system kali na wao ndio hutoa travel warning kwa watu wao hawategemei malofa wakenya
 
Kenya ndio sio safe state

Huonywa kabisa wasithubutu kuingia uswahilini

Martha Karua Karua na huyo Mwangi na huyi mganda Agather wana pesa gani za kutalii Tanzania hata nchini kwao hawajawahi kwenda kutalii popote malofa wakubwa
Kilichopo saivi Tanzania ndo inatangazwa kuwa sio safe state.

A very slight mistake mlioifanya kwa upuuzi wenu nyie wajinga wa CCM inaenda kuligharimu Taifa big time.
 
Mfumo Mbovu wa Uchaguzi na Katiba mbovu vimetuletea viongozi wasiofaa waliotetea matendo ya utekaji, utesaji na ubakaji wa wageni matukio ambayo yametangazwa duniani kote. Tumejionea wenyewe bungeni jana.

Sasa Gen Z wa Kenya wamekuja na Mpya. Wanaitangazia Dunia Tanzania sio sehemu salama ya kutembelea kutokana na Serikali kufanya vitendo vya Utekaji# Utesaji na Ubakaji wa wageni.

Tunaposema No Reforms No Election tueleweni jamani. Hawa CCM wameliangamiza hili Taifa letu hadi tunatangazwa kuwa ni watu wa hovyo.

View attachment 3348988
Hiki ndio nilikuwa naogopa kutokea, sababu mkuruouko wa vyombo , huwa hawaangalii outcome ya matendo hayo

Wajishushe wasikilize wananchi or high season itakuwa so low
 
Sisi kama watanzania tunaojitambua ,tunawashukuru sana wakenya kuitangazia Dunia kuhusu utekaji wa watanzania unaofanywa na serikali haramu ya awamu ya sita. Wasiishie hapo tu wampige marufuku huyu kiziwi kuingia Kenya na wazishawishi Nchi zote duniani apigwe marufuku kwenda ziara
 
Sasa Gen Z wa Kenya wamekuja na Mpya. Wanaitangazia Dunia Tanzania sio sehemu salama ya kutembelea kutokana na Serikali kufanya vitendo vya Utekaji# Utesaji na Ubakaji wa wageni.

🔨
Wageni malofa akina Martha Karua,Mwangi na huyo lofa nwingine mtegemea kiinua mgongo cha umaskini jaji mkuu mstaafu Mutunga?
 
Kenya ndio sio safe state

Huonywa kabisa wasithubutu kuingia uswahilini

Martha Karua Karua na huyo Mwangi na huyi mganda Agather wana pesa gani za kutalii Tanzania hata nchini kwao hawajawahi kwenda kutalii popote malofa wakubwa
Too late, ni moja ya tourism hotspot pendwa, airport yao na policy zao zinawabeba sana is why idadi ya watalii inaongezeka zaid upande wao.

Kulikuwa hakuna haja ya kutumia nguvu kupitiliza, outcome yake ndio hii
 
Mfumo Mbovu wa Uchaguzi na Katiba mbovu vimetuletea viongozi wasiofaa waliotetea matendo ya utekaji, utesaji na ubakaji wa wageni matukio ambayo yametangazwa duniani kote. Tumejionea wenyewe bungeni jana.

Sasa Gen Z wa Kenya wamekuja na Mpya. Wanaitangazia Dunia Tanzania sio sehemu salama ya kutembelea kutokana na Serikali kufanya vitendo vya Utekaji# Utesaji na Ubakaji wa wageni.

Tunaposema No Reforms No Election tueleweni jamani. Hawa CCM wameliangamiza hili Taifa letu hadi tunatangazwa kuwa ni watu wa hovyo.

View attachment 3348988
Aiseeeeee!!!

Sisi Kenge tunaruhusiwa kuchangia?

Screenshot_2025-05-27-13-06-44-1.png
 
Back
Top Bottom