Wakenya watoa tahadhari kwa Watalii na Wageni kutembelea Tanzania kutokana vitendo vya Utekaji, Utesaji

Mfumo Mbovu wa Uchaguzi na Katiba mbovu vimetuletea viongozi wasiofaa waliotetea matendo ya utekaji, utesaji na ubakaji wa wageni matukio ambayo yametangazwa duniani kote. Tumejionea wenyewe bungeni jana.

Sasa Gen Z wa Kenya wamekuja na Mpya. Wanaitangazia Dunia Tanzania sio sehemu salama ya kutembelea kutokana na Serikali kufanya vitendo vya Utekaji# Utesaji na Ubakaji wa wageni.

Tunaposema No Reforms No Election tueleweni jamani. Hawa CCM wameliangamiza hili Taifa letu hadi tunatangazwa kuwa ni watu wa hovyo.

View attachment 3348988
Bado hujalambishwa asali mwenyewe utanyamaza kimya
 
Risk to who ? Hakuna mzungu aliyewahi kuwa deported
Ndugu...subiri next move ya watu wenye kujua Sheria...kabla ya June 2 utaona idadi ya waKenya watakaotua Tanzania...then utaona wanaharakati kutoka nchi zingine,nje ya EA...mtego huu utatuanika zaidi..naipenda nchi yetu ila kuna watu wako madarakani wameamua kutufanya watz wooote ma kenge
 
Mfumo Mbovu wa Uchaguzi na Katiba mbovu vimetuletea viongozi wasiofaa waliotetea matendo ya utekaji, utesaji na ubakaji wa wageni matukio ambayo yametangazwa duniani kote. Tumejionea wenyewe bungeni jana.

Sasa Gen Z wa Kenya wamekuja na Mpya. Wanaitangazia Dunia Tanzania sio sehemu salama ya kutembelea kutokana na Serikali kufanya vitendo vya Utekaji# Utesaji na Ubakaji wa wageni.

Tunaposema No Reforms No Election tueleweni jamani. Hawa CCM wameliangamiza hili Taifa letu hadi tunatangazwa kuwa ni watu wa hovyo.

View attachment 3348988
Wakenya katika hili kwa sasa wako sahihi kwa 100%.
Nchi yetu kwa sasa hakuna aliye salama, kuanzia mwenyeji mpaka mgeni maisha yake yapo hatarini kutekwa, kuteswa, kubakwa, kupotezwa au kuuwawa huku mamlaka zikikiri kuwa hiyo ni hali ya kawaida kabisa na haitakwisha daima. Ni utamaduni rasmi wa kiusalama hapa nchini.
 
hilo ndilo nililitarajia, Wakenya hawajawahi kuwa na mapenzi na sisi always akili zao zipo katika kupambana na sisi.

mulikua mukiwasherekea endeleeni kusherekea na hili
 
Watalii waongezeka Kenya ni wale malofa
Matajiri na mabilionea huja Tanzania sababu sisi tuligoma kutoa gharama za visa za dola 50 kwa mtalii kuwa kama hawezi lipa dola 50 huyo ni lofa hastahili kuitwa mtalii

Kenya wakatoa ndio maana watalii wengi malofa hufurika kenya kwetu wanakuja matajiri tu
Based kwenye data zipo kwamba watalii wanaoenda kenya ni malofa?
and when tanznaia iligoma kutoa visa ya usd 50 ? When? Una data or info za ku support allegation zako?
 
Wakenya katika hili kwa sasa wako sahihi kwa 100%.
Nchi yetu kwa sasa hakuna aliye salama, kuanzia mwenyeji mpaka mgeni maisha yake yapo hatarini kutekwa, kuteswa, kubakwa, kupotezwa au kuuwawa huku mamlaka zikikiri kuwa hiyo ni hali ya kawaida kabisa na haitakwisha daima. Ni utamaduni rasmi wa kiusalama hapa nchini.

kwahiyo wao wanawapenda sana hao watalii ama? jamaa ni wapuuzi tu, wapo very obsessives na Tanzania
 
Mfumo Mbovu wa Uchaguzi na Katiba mbovu vimetuletea viongozi wasiofaa waliotetea matendo ya utekaji, utesaji na ubakaji wa wageni matukio ambayo yametangazwa duniani kote. Tumejionea wenyewe bungeni jana.

Sasa Gen Z wa Kenya wamekuja na Mpya. Wanaitangazia Dunia Tanzania sio sehemu salama ya kutembelea kutokana na Serikali kufanya vitendo vya Utekaji# Utesaji na Ubakaji wa wageni.

Tunaposema No Reforms No Election tueleweni jamani. Hawa CCM wameliangamiza hili Taifa letu hadi tunatangazwa kuwa ni watu wa hovyo.

View attachment 3348988
Kenya manina zenu,hatuwashindi kukaa nyuma ya keyboard,waongeeeee tukae kimya wataacha,wafinywe kwenye chakula hawa washenz,wakija kununua mahindi piga bei maradufu au chakula chetu kisivuke mpaka manina hawa tunakua tumewashika pakunyea.wanajionaga hawa watu yani uki battle nao kwenye mtandao hmmm hawawezekani.ningekua mkulu aki napiga ubaya ubwela kwenye chakula tu wanafyata mkia
 
Kenya ndio sio safe state

Huonywa kabisa wasithubutu kuingia uswahilini

Martha Karua Karua na huyo Mwangi na huyi mganda Agather wana pesa gani za kutalii Tanzania hata nchini kwao hawajawahi kwenda kutalii popote malofa wakubwa
Sema utakayo weza, lakini kuteka watu, kuwadhuru, kuwapoteza ndiyo kuweza kupanga na kuongoza?

Kwasasa mmeenda mbali zaidi mnao wateka mna wabaka na kuwalawiti, hamuogopi tena ukimwi duu, yaani 'live wire'
 
20250527_200949.jpg
 
Back
Top Bottom