Wakenya watoa tahadhari kwa Watalii na Wageni kutembelea Tanzania kutokana vitendo vya Utekaji, Utesaji

Mfumo Mbovu wa Uchaguzi na Katiba mbovu vimetuletea viongozi wasiofaa waliotetea matendo ya utekaji, utesaji na ubakaji wa wageni tena Bungeni, matukio ambayo yametangazwa duniani kote. Tumejionea wenyewe bungeni jana.

Sasa Gen Z wa Kenya wamekuja na Mpya. Wanaitangazia Dunia Tanzania sio sehemu salama ya kutembelea kutokana na Serikali kufanya vitendo vya Utekaji, Utesaji na Ubakaji wa wageni.

Tunaposema No Reforms No Election tueleweni jamani. Hawa CCM wameliangamiza hili Taifa letu hadi tunatangazwa kuwa ni watu wa hovyo.

View attachment 3348988
mtalii gani alitekwa yaaani mnaonyesha ni kwa kiwango gani wakenya ni wapumbavu watuonyeshe mtalii aliyetekwa hata mmoja, kwani wamekuwa kina mdude?
 
Mfumo Mbovu wa Uchaguzi na Katiba mbovu vimetuletea viongozi wasiofaa waliotetea matendo ya utekaji, utesaji na ubakaji wa wageni tena Bungeni, matukio ambayo yametangazwa duniani kote. Tumejionea wenyewe bungeni jana.

Sasa Gen Z wa Kenya wamekuja na Mpya. Wanaitangazia Dunia Tanzania sio sehemu salama ya kutembelea kutokana na Serikali kufanya vitendo vya Utekaji, Utesaji na Ubakaji wa wageni.

Tunaposema No Reforms No Election tueleweni jamani. Hawa CCM wameliangamiza hili Taifa letu hadi tunatangazwa kuwa ni watu wa hovyo.

View attachment 3348988
Mungu wangu! Ni sawa na ule msemo "Mchuma janga hula na wakwao?"
 
Wewe ndio uko nyuma miaka 50! Yaani propaganda za miaka ya 1970 ndio unaleta zama hizi?

Au ndio cover up ya ile document ya Lugumi iliyovuja mnatafuta justification ya upigaji.
Watalii watakuja tu achana na hizi siasa ambazo huanzia na huishia humu JF.

Hizi siasa zenu chafu kama zina lengo la kuichafua Tanzania iumie wakati na nyinyi ni wafaidikaji wa kodi inayopatikana, haziwezi kuiathiri sekta ya utalii kwa namna yoyote.
 
Back
Top Bottom