Wakenya watoa tahadhari kwa Watalii na Wageni kutembelea Tanzania kutokana vitendo vya Utekaji, Utesaji

Hapa Tanzania wageni wengi mashuhuri hapa Duniani huja kutalii na huondoka wamefurahi bila usalama wao kudhurika.
Hao Majirani, ni mwendo wa ubinafsi tu umo kichwani mwao.
Unabaka raia wa nchi nyingine unategemea mambo yafaendelea kuwa sawa?
 
Hii haisaidii kitu kwani waarabu wamesomba wanyama wengi toka mbuga za Tanzania kwenda Uarabuni, waziri wa utalii hafai kuwepo ofisini mda huu alipaswa ajiuzulu
Wanaendelea kuzaliana wengine kwani ukisikia kuwa wanyama waliobaki ni tasa?
 
Gen Z bila ya kujua wanaisadia CCM kuiua CHADEMA

Mda si mrefu CHADEMA itachukiwa na watanzania kikionekana ni Chama ambacho hakiitakii mema Tanzania
 
Hii ishu haijakaa sawa sana
Nadhani hawa jamaa wamekomba fedha zaidi ya hizo 200 million walizotangaza!! Hawawezi kusema kiasi tulichoibiwa ni aibu!! Samia angekuwa jasiri huyo Gavana wa Bot na board yake wote wangefukuzwa! Wameshindwa kutunza hazina ya nchi!
 
Mfumo Mbovu wa Uchaguzi na Katiba mbovu vimetuletea viongozi wasiofaa waliotetea matendo ya utekaji, utesaji na ubakaji wa wageni tena Bungeni, matukio ambayo yametangazwa duniani kote. Tumejionea wenyewe bungeni jana.

Sasa Gen Z wa Kenya wamekuja na Mpya. Wanaitangazia Dunia Tanzania sio sehemu salama ya kutembelea kutokana na Serikali kufanya vitendo vya Utekaji, Utesaji na Ubakaji wa wageni.

Tunaposema No Reforms No Election tueleweni jamani. Hawa CCM wameliangamiza hili Taifa letu hadi tunatangazwa kuwa ni watu wa hovyo.

View attachment 3348988
Duh wameamka kwa speed
 
Nchi gani polisi wanalawiti foreigners, polisi ya Tanzania inanuka mavi.
Bravo Gen Z wa Kenya kwani kupaza sauti kwao internationally hilo Chura Kiziwi litajua namna ya kutofautisha mipasho ya kishangingi na dialogues za serious matters hasa zinazohusu uhai wa binadamu, utu na haki za raia na usawa katika kufaidika na uhuru tulio nao kama nchi.
 
Nimeikuta kwenye GRP za Uganda mbili wanajadiliananniko hukoo n shidaa
 
Wakenya wajinga nchi za ulaya wana security system kali na wao ndio hutoa travel warning kwa watu wao hawategemei malofa wakenya
Kwani walichotangaza ni uwongo?
Hata hao wa ulaya wanajua hilo, ilikuwa ni muda tu.
 
Aisee hawa jamaa hawana dogo
Mpwaa kuna GRP Niko ya Uganda wameirusha Toka jana sema kuweka humu nilimwomba roho WA Bwana aniongoxe mpaka sasa hajanijibu nkakakausha pengine anapenda niendelee kuishi loh
 
Aiseeeeee!!!

Sisi Kenge tunaruhusiwa kuchangia?

View attachment 3349028
IMG_1386.jpeg
 
Kama nawaona na mabango yao wanavyosubiria chan na AFCON ianze lou
 
Gen Z bila ya kujua wanaisadia CCM kuiua CHADEMA

Mda si mrefu CHADEMA itachukiwa na watanzania kikionekana ni Chama ambacho hakiitakii mema Tanzania
Kwa akili za kawaida tu nani haitakii mema Tanzania kati ya Chadema na CCM?

Wanaoua, Kuteka na kupoteza watu huku wakilifisadi taifa na mali zake(CCM) au wanaotetea wananchi wawe na maisha mazuri (Chadema) ?
 
Nchi gani polisi wanalawiti foreigners, polisi ya Tanzania inanuka mavi.
Bravo Gen Z wa Kenya kwani kupaza sauti kwao internationally hilo Chura Kiziwi litajua namna ya kutofautisha mipasho ya kishangingi na dialogues za serious matters hasa zinazohusu uhai wa binadamu, utu na haki za raia na usawa katika kufaidika na uhuru tulio nao kama nchi.
Unawapa uongozi Kamishna Awadh na Mafwele unategemea nini?
 
Mfumo Mbovu wa Uchaguzi na Katiba mbovu vimetuletea viongozi wasiofaa waliotetea matendo ya utekaji, utesaji na ubakaji wa wageni tena Bungeni, matukio ambayo yametangazwa duniani kote. Tumejionea wenyewe bungeni jana.

Sasa Gen Z wa Kenya wamekuja na Mpya. Wanaitangazia Dunia Tanzania sio sehemu salama ya kutembelea kutokana na Serikali kufanya vitendo vya Utekaji, Utesaji na Ubakaji wa wageni.

Tunaposema No Reforms No Election tueleweni jamani. Hawa CCM wameliangamiza hili Taifa letu hadi tunatangazwa kuwa ni watu wa hovyo.

View attachment 3348988
Tukiwalipa hii hamna mtalii atakanyaga kenya!!

Ugaidi na vita vya kikabila huko ni vingi
 
hakuna mzaleto atalishabikia hili

isitoshe sio vyombo vyenye dhamana vimelizungumzia hilo
 
Mfumo Mbovu wa Uchaguzi na Katiba mbovu vimetuletea viongozi wasiofaa waliotetea matendo ya utekaji, utesaji na ubakaji wa wageni tena Bungeni, matukio ambayo yametangazwa duniani kote. Tumejionea wenyewe bungeni jana.

Sasa Gen Z wa Kenya wamekuja na Mpya. Wanaitangazia Dunia Tanzania sio sehemu salama ya kutembelea kutokana na Serikali kufanya vitendo vya Utekaji, Utesaji na Ubakaji wa wageni.

Tunaposema No Reforms No Election tueleweni jamani. Hawa CCM wameliangamiza hili Taifa letu hadi tunatangazwa kuwa ni watu wa hovyo.

View attachment 3348988
Je madai yao ni ya kweli au !!?
 
Kenya manina zenu,hatuwashindi kukaa nyuma ya keyboard,waongeeeee tukae kimya wataacha,wafinywe kwenye chakula hawa washenz,wakija kununua mahindi piga bei maradufu au chakula chetu kisivuke mpaka manina hawa tunakua tumewashika pakunyea.wanajionaga hawa watu yani uki battle nao kwenye mtandao hmmm hawawezekani.ningekua mkulu aki napiga ubaya ubwela kwenye chakula tu wanafyata mkia
We ni mkulima au ni chawa tu unayetaka kuwapangia wakulima soko la kuuza mazao yao?!
Uliwasaidia wakati wa kulima, wanauza wanapotaka wanapoona soko ni zuri.
Ujinga wa viongozi wako usiwape shida wakulima wazalendo wa nchi yetu.
 
Back
Top Bottom