Wakenya watoa tahadhari kwa Watalii na Wageni kutembelea Tanzania kutokana vitendo vya Utekaji, Utesaji

Wakenya watoa tahadhari kwa Watalii na Wageni kutembelea Tanzania kutokana vitendo vya Utekaji, Utesaji

Ungekuwa unajua taarifa za usalama zinavyozingatiwa na watalii usingeongea huo upuuzi wako.

Wabunge wako vilaza wanasema watu warudishwe kwenye mitungi alafu unadhani wenye akili watakuja kwako?

Mmejikaanga kwa mafuta yenu wenyewe.
Tuliza kinyeo dogo kwani wataiii wasipokuja watu watakufa
 
Duh🥺🥺😔🤔hii imekaaje
Duh?benki kuu siziko moniterd na benki ya dunia?kwahio wametuchakachua via benki ya dunia ama mimi ndo hua sielewi hapa nieleweshwe.kama kenya katupiga sasa ina maana tumekua tunapigwa benki ya tz ama ni chai mkuu?wapi chanzo cha habari hii nikafukunyue mkulu?si kwa ubaya lakini ni ombi
 
Kama nyie mliotekwa na maccm!
Akili za baadhi ya watanzania zimetekwa na wakenya
images - 2025-05-18T072818.064.jpeg
 
Duh?benki kuu siziko moniterd na benki ya dunia?kwahio wametuchakachua via benki ya dunia ama mimi ndo hua sielewi hapa nieleweshwe.kama kenya katupiga sasa ina maana tumekua tunapigwa benki ya tz ama ni chai mkuu?wapi chanzo cha habari hii nikafukunyue mkulu?si kwa ubaya lakini ni ombi
Hii ishu haijakaa sawa sana
 
Hayo mambo yasingefika huko kama sio ofisi na wanaomsauri huyo mama sio vilaza.

Fikiria kuna mzozo wa kidiplomasia halafu anasimama kilaza mmoja anasema Dotto magari ndio awekwe kama mtu atakayesaidia kujibu na kutatua mzozo huo.
Kwa nini mnawalaumu washauri?

Yeye Samia kama yeye, hana akili zake mwenyewe mpaka akubali kila analoshauriwa?
 
Ndiyo tatizo la kudhibiti maovu, muda wote tunahimizwa kutumia 'kiLugha' chetu mgeni asijue Tanzania kuna nini tunayofautiana na wakaenda mbali watawala kuhakikisha lugha ya kiEnglish wanajua wachache sana familia teule, sasa vijana wa Kenya badala ya kujibiwa na chawa wa chama cha CCM itabidi wajibiwe na wazee wa chama kina Stephen Wasira n.k
Kilugha chetu ni chetu,urusi na china wanaongea lugha ipi?maendeleo hayana lugha.no reform ndo tupiganie huku,mkenya ni mbwekaji tu
 
Kenya ndio sio safe state

Huonywa kabisa wasithubutu kuingia uswahilini

Martha Karua Karua na huyo Mwangi na huyi mganda Agather wana pesa gani za kutalii Tanzania hata nchini kwao hawajawahi kwenda kutalii popote malofa wakubwa
Juzi tu Kuna Mbunge katekwa mchana kweupe akitoka kanisani wakaenda kumtupa porini
 
Aisee hawa jamaa hawana dogo
Sema kuna kikundi kinamhujumu Rais Dkt Samia. Yaani kweli unaenda 5-star hotel kumtoa mgeni????? Yaani walishindwa hata kumvamia kwenye gari akiwa katoka nje y hotel?? In short hao wanaoendelea kufanya haya matukio hawana nia njema na Rais wetu Dkt Samia, ni kitu ambacho tulimuonya sana Dkt Samia kipindi anasherehekea kifo cha Dkt Magufuli huku akisaidia kurusha vijiwe vya vijembe akijua yeye atakuwa salama hahahahaha ila hakika matusi anayotukanwa yanazidi mara 70 yale aliyoaasisi kwa Dkt Magufuli. Na bado, I can’t imagine siku akitoka madarakani, Mungu atupe uhai ila naona kabisa kasimama mahakamani kujibu kesi kibao na watu wake kama wajanja wajiwahi uraia wa Dubai faster, maana halitabako jiwe! Asione watanzania na mifumo ipo kimya hasira iliyopo ni mbaya mno tena mbaya mno.
 
Mfumo Mbovu wa Uchaguzi na Katiba mbovu vimetuletea viongozi wasiofaa waliotetea matendo ya utekaji, utesaji na ubakaji wa wageni tena Bungeni, matukio ambayo yametangazwa duniani kote. Tumejionea wenyewe bungeni jana.

Sasa Gen Z wa Kenya wamekuja na Mpya. Wanaitangazia Dunia Tanzania sio sehemu salama ya kutembelea kutokana na Serikali kufanya vitendo vya Utekaji# Utesaji na Ubakaji wa wageni.

Tunaposema No Reforms No Election tueleweni jamani. Hawa CCM wameliangamiza hili Taifa letu hadi tunatangazwa kuwa ni watu wa hovyo.

View attachment 3348988
Pongezi ziwaendee CCM na kiongozi wao kwa mafanikio haya.
UJUMBE HUU UMELETWA KWAKO KWA HISANI YA UTEKAJI.
 
Sasa washauri wao ni chiembe na Kigogo wa X unategemea nini?
Sema kuna kikundi kinamhujumu Rais Dkt Samia. Yaani kweli unaenda 5-star hotel kumtoa mgeni????? Yaani walishindwa hata kumvamia kwenye gari akiwa katoka nje y hotel?? In short hao wanaoendelea kufanya haya matukio hawana nia njema na Rais wetu Dkt Samia, ni kitu ambacho tulimuonya sana Dkt Samia kipindi anasherehekea kifo cha Dkt Magufuli huku akisaidia kurusha vijiwe vya vijembe akijua yeye atakuwa salama hahahahaha ila hakika matusi anayotukanwa yanazidi mara 70 yale aliyoaasisi kwa Dkt Magufuli. Na bado, I can’t imagine siku akitoka madarakani, Mungu atupe uhai ila naona kabisa kasimama mahakamani kujibu kesi kibao na watu wake kama wajanja wajiwahi uraia wa Dubai faster, maana halitabako jiwe! Asione watanzania na mifumo ipo kimya hasira iliyopo ni mbaya mno tena mbaya mno.
 

Nukuu ya Leo​


“Teknolojia imebadilisha namna dunia inavyowasiliana. Watu wanaweza kusema lolote kuhusu Tanzania, hata kama si kweli. Nasisitiza Wizara na vyombo vya ulinzi vya ulinzi na usalama kuchukua hatua kwa haraka, kama ni kutoa ufafanuzi, kukanusha, au kukubali na kurekebisha. Msikubali Tanzania iwe kama shamba la bibi, kila mtu aje aseme analotaka bila majibu.” -

MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN​

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania​

 
Mfumo Mbovu wa Uchaguzi na Katiba mbovu vimetuletea viongozi wasiofaa waliotetea matendo ya utekaji, utesaji na ubakaji wa wageni tena Bungeni, matukio ambayo yametangazwa duniani kote. Tumejionea wenyewe bungeni jana.

Sasa Gen Z wa Kenya wamekuja na Mpya. Wanaitangazia Dunia Tanzania sio sehemu salama ya kutembelea kutokana na Serikali kufanya vitendo vya Utekaji# Utesaji na Ubakaji wa wageni.

Tunaposema No Reforms No Election tueleweni jamani. Hawa CCM wameliangamiza hili Taifa letu hadi tunatangazwa kuwa ni watu wa hovyo.

View attachment 3348988
Asante kwa TAARIFA. Ishikeni sana Kenya. Itawasaidia kwenye Ukombozi wa TAIFA lenu. Nyie wenyewe umeshindwa.
 
Back
Top Bottom