Wakenya watoa tahadhari kwa Watalii na Wageni kutembelea Tanzania kutokana vitendo vya Utekaji, Utesaji

Wakenya watoa tahadhari kwa Watalii na Wageni kutembelea Tanzania kutokana vitendo vya Utekaji, Utesaji

Kenya ndio sio safe state

Huonywa kabisa wasithubutu kuingia uswahilini

Martha Karua Karua na huyo Mwangi na huyi mganda Agather wana pesa gani za kutalii Tanzania hata nchini kwao hawajawahi kwenda kutalii popote malofa wakubwa
Hakika kuna haja ya WASSIRA kuendelea kupewa nafasi licha ya uzee alionao kwa sasa kama wenye nafasi hizo ndio hawa.
 
Wakenya wajinga nchi za ulaya wana security system kali na wao ndio hutoa travel warning kwa watu wao hawategemei malofa wakenya
Unaongeleaji kwa mamlaka kuteka na kubaka Wageni mliowaruhusu kuingia nchini. Unadhani hizo security systems zitakusikiliza wewe mtekaji na mbakaji au zitamsikiliza mhanga?
 
Mfumo Mbovu wa Uchaguzi na Katiba mbovu vimetuletea viongozi wasiofaa waliotetea matendo ya utekaji, utesaji na ubakaji wa wageni tena Bungeni, matukio ambayo yametangazwa duniani kote. Tumejionea wenyewe bungeni jana.

Sasa Gen Z wa Kenya wamekuja na Mpya. Wanaitangazia Dunia Tanzania sio sehemu salama ya kutembelea kutokana na Serikali kufanya vitendo vya Utekaji# Utesaji na Ubakaji wa wageni.

Tunaposema No Reforms No Election tueleweni jamani. Hawa CCM wameliangamiza hili Taifa letu hadi tunatangazwa kuwa ni watu wa hovyo.

View attachment 3348988
Mawe yameinuka kuwatetea Watanzania
 
Wanakwambia they attack at dawn😅😅

Gen Z wa Kenya sijawai ona kwa kweli. Nimewavulia kofia.
Kwa kweli hawaogopi.... Kitendo Cha kuvamia mitandao mpaka serikali yetu imetikiswa ikakimbilia kufunga baadhi ya mitandao..... Imenitisha sana
 
Duh! Yaani mara hii Gen Z wamekuwa travel advisers wa watalii! Maajabu hayawezi isha
 
Unaongeleaji kwa mamlaka kuteka na kubaka Wageni mliowaruhusu kuingia nchini. Unadhani hizo security systems zitakusikiliza wewe mtekaj8 na mbakaji au zitamsikiliza mhanga?
Hana akili huyu achana nae.
 
Wakenya wapo obsessed sana na TZ watulize mshono. Hizi campaign za machokoraa wao hazina tija. Yes, serikali ya bongo inazingua ila sio kazi ya wakenya kurekebisha, kwao kuna shida tele wadeal nazo huko.
 
Kenya ndio sio safe state

Huonywa kabisa wasithubutu kuingia uswahilini

Martha Karua Karua na huyo Mwangi na huyi mganda Agather wana pesa gani za kutalii Tanzania hata nchini kwao hawajawahi kwenda kutalii popote malofa wakubwa
Whether wametalii ama hawajatalii watawatia adabu vilaza nyie kazi kuiba pesa za umma .
 
Mfumo Mbovu wa Uchaguzi na Katiba mbovu vimetuletea viongozi wasiofaa waliotetea matendo ya utekaji, utesaji na ubakaji wa wageni tena Bungeni, matukio ambayo yametangazwa duniani kote. Tumejionea wenyewe bungeni jana.

Sasa Gen Z wa Kenya wamekuja na Mpya. Wanaitangazia Dunia Tanzania sio sehemu salama ya kutembelea kutokana na Serikali kufanya vitendo vya Utekaji# Utesaji na Ubakaji wa wageni.

Tunaposema No Reforms No Election tueleweni jamani. Hawa CCM wameliangamiza hili Taifa letu hadi tunatangazwa kuwa ni watu wa hovyo.

View attachment 3348988

Huku sasa kwa kweli hali ikienda hivi kiutaniutani athari mbaya zinaweza kutokea.

Kuna baadhi ya nchi dunia wanaamini mlima Kilimanjaro upo Kenya kwa sababu ya mambo kama haya.

Viongozi wetu wawe na hekima ya kuona haja ya kurekebisha mambo haya mapema wala wasichukulie kisiasa au kiutaniutani, huku sasa ni mbali, watu wakianza kugusa vyanzo vya mapato ya taifa ni lazima viongozi wachukue hatua za kuweka mambo sawa.

Ni vyema viongozi wakakaa kuyajenga kwa hoja na si kutumia nguvu (polisi).
 
Kenya ndio sio safe state

Huonywa kabisa wasithubutu kuingia uswahilini

Martha Karua Karua na huyo Mwangi na huyi mganda Agather wana pesa gani za kutalii Tanzania hata nchini kwao hawajawahi kwenda kutalii popote malofa wakubwa
Duuh, unatumja akili kweli!? Kwamba unahisi hiyo kampeni ni kwaajili ya Agatha, Karua na Mwangi tu!? Ushaambiwa ni kampeni kuwalenga watalii wanaokuja nchini...nyie ndo mnafanya Wakenya waendelee kutudharau na kuidharau elimu yetu.
 
Wakenya wajinga nchi za ulaya wana security system kali na wao ndio hutoa travel warning kwa watu wao hawategemei malofa wakenya
Security system zao huwa zinapokea taarifa kutoka kwa watu na moja ya vyanzo vya taarifa ni kama hivyo.
 
Back
Top Bottom