Wakenya watoa tahadhari kwa Watalii na Wageni kutembelea Tanzania kutokana vitendo vya Utekaji, Utesaji

Wakenya watoa tahadhari kwa Watalii na Wageni kutembelea Tanzania kutokana vitendo vya Utekaji, Utesaji

Kenya manina zenu,hatuwashindi kukaa nyuma ya keyboard,waongeeeee tukae kimya wataacha,wafinywe kwenye chakula hawa washenz,wakija kununua mahindi piga bei maradufu au chakula chetu kisivuke mpaka manina hawa tunakua tumewashika pakunyea.wanajionaga hawa watu yani uki battle nao kwenye mtandao hmmm hawawezekani.ningekua mkulu aki napiga ubaya ubwela kwenye chakula tu wanafyata mkia
Ila haya yote tuliyataka wenyewe.
 
Kenya ndio sio safe state

Huonywa kabisa wasithubutu kuingia uswahilini

Martha Karua Karua na huyo Mwangi na huyi mganda Agather wana pesa gani za kutalii Tanzania hata nchini kwao hawajawahi kwenda kutalii popote malofa wakubwa
Akili za kichawa na mipasho ndio mnachoweza, acheni kuteka na kuua watu mnaharibu nchi
 
Watu asa mnachekesha hao wakenya ndo nani kwa Tz hii? Ayo yalotokea kwao MTz gani alothubutu kufanya ayo wayafanyayo?( Gen Z )

Kama hujui sasa mwezi wa 6 ni high season ya Utalii inaanza mpk march tuone hao mbumbumbu watawazuia hao watalii kuja Nchini
 
Mbumbumbu anaita wakenya mbumbumbu hii Kali 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wakenya wajinga nchi za ulaya wana security system kali na wao ndio hutoa travel warning kwa watu wao hawategemei malofa wakenya
Kwa hiyo kuwakamata hao akina Mwangi na Agatha, kisha kuwala mzigo mmefanya jambo la kijanja sana eti?

Mnamkamata mtu hadi mnamfanyia vitendo vya kimapenzi!
 
Kenya ndio sio safe state

Huonywa kabisa wasithubutu kuingia uswahilini

Martha Karua Karua na huyo Mwangi na huyi mganda Agather wana pesa gani za kutalii Tanzania hata nchini kwao hawajawahi kwenda kutalii popote malofa wakubwa

Brother tuwe makini na haya mambo kuna mambo hayahitaji maguvu kudeal nayo..

Hawa jamaa tuende nao kwa akili wanaweza kutingisha uchumi wetu tukileta masikhara.

Utulivu unahitajika kuliendee Jambo hili, naona kama limetukuta off-guard.
Baada yakutumia akili kudeal nalo tukawaacha wanasiasa ambao hakuna wanachojua zaidi ya kuropokwa, Hapa diplomasia na intelejensia yetu imefail, tunapaswa na kutulia, kujipanga upya na kuliendea jambo hili Kwa akili kubwa tuache ushabiki wa siasa.
 
hilo ndilo nililitarajia, Wakenya hawajawahi kuwa na mapenzi na sisi always akili zao zipo katika kupambana na sisi.

mulikua mukiwasherekea endeleeni kusherekea na hili
Mkuu katika mambo ya taifa na taifa huwa inakuwaga hivo.
Hata sisi wenyew hatupendi kuskia wanatuzid maendeleo ktk nyanja kadhaa.
Sema tunaweza tusiwachokoze kwakuwa tunajua hatuwawezi ujanja.

Kuhusu suala la watz kuwashangalia wakenya, inawezekana kabsaa hao wanaowashangilia wanakuzid uzalendo.
Maana wanaosherekea matukio yanayo endelea hapa kwetu nao ni maadui wa taifa kwakuwa ni sawa na kuupalilia mpasuko wa kitaifa.
 
Sasa kama unamchukua mtu kwenye hoteli ya nyota 5 unaenda kumvua nguo na kumdhalilisha na kumtupa maporini, usalama upo hapo?

Kumbuka hizo hotel ndio hufikia hao watalii, Je hawatatekwa?
Wamefika wangapi kwenye hizo hoteli kwa kipindi Gani na wametekwa wangapi? Na kwa nini wao na si wale?
Au mnadhani hao watalii hawana BRAIN kama wasambaza propaganda na kukuza mambo?
 
Watalii mnafikiri akili zao ziko matakoni kama Wakenya?Watalii wana akili timamu na wanatambua siasa chafu za wenye njaa,wasipokuja Tanzania wapi wataipata Serengetingorongoro,kilimanjaro.Wakenya watulize vinyeo na wakija tena tutawatia upupu mkunduuni mwao.
Wewe ni mbunge wa Jimbo gani!
 
Back
Top Bottom