Wakenya watoa tahadhari kwa Watalii na Wageni kutembelea Tanzania kutokana vitendo vya Utekaji, Utesaji

Wakenya watoa tahadhari kwa Watalii na Wageni kutembelea Tanzania kutokana vitendo vya Utekaji, Utesaji

Hiki ndio nilikuwa naogopa kutokea, sababu mkuruouko wa vyombo , huwa hawaangalii outcome ya matendo hayo

Wajishushe wasikilize wananchi or high season itakuwa so low
Watalii wenyewe huwa wanabebwa na hio hio Kenya airways na wengi huletwa kwetu kupitia huko jknia na travel agent wao hakuna mtanzania anayetegemea kupeleka watalii kenya ila wakenya ndio wanategemea kuleta huku kwa kuwa Kilimanjaro iko huku ngorongoro iko huku na pia zanzibar iko huku watulie wanalolitafuta watalipata .Tanzania ni kama maji usipokunywa utaoga
 
Na hajui kuwa saivi taarifa zinasambaa zaidi kwa social media kuliko mainstream media
Kwanza hawaangalii wako busy kufikirai jinsi watakavyo kuteka ama kuubomoa upinzani na kuwapumbaza wananchi wanao jua kuongea na kusikiliza kiswahili

Wanao jua kusoma na kuandika wanatutambua watanganyika kama kenge
 
Umenyimwa akili sikushangai. Huwezi elewa maana ya movement wanayofanya kupitia social media
Wewe uliyepewa akili na movement endeleeni ila hata kama sisi wa hovyo hayawahusu.icho ni kiherehere kilichokomaa,walifinywa hao wanaharakati wenzako hawatarudia bongo hii,sasa tuliwaita?na wewe kujitia ujuaji tu punga wewe.unashobokea wakenya si wakakuoe tu sasa?movement.....kwao na kwenu.wakija na kidomo domo finywaaaa tu.pilipili usioila yakuwashia nini?ili tukipata reform wajione wao ndo wametulea?wakija tena vijana wa samia watawafinya tu ila sisi huku tunapambania no reform yetu no election.kenge wewe
 
Nakuonea huruma sana kwa kunyimwa akili.
 
CCM wanatumosea sana kututeulia vilaza nafasi za juu🤣🤣🤣

Mataifa kama China, Japan, Germany, Azerbaijan, Oman n.k wanajua umuhimu wa kuwa na vyombo vya dola kama vituo vya televisheni, radio na online kwa lugha ya kiEnglish na kila siku, kila baada ya masaa machache wana upload habari za kitamaduni, burudani, michezo, utafiti, utalii, biashara, michezo n.k

Sisi tunajigicha ktk kichaka cha lugha adhimu ya kiSwahiki pekee, ona sasa waKenya ambao wabunge wa Dodoma wanasema ni vitoto vidogo bado vinanyonya vinafanya madhara huku Prof. Palamagamba Kabudi, Dr. Gerson Msigwa, mkurugenzi Dr. Rioba hawana dawati la kiEnglish wala bajeti kimataifa, ila want fungu la kuwapa Chawa wafanye press kwa kimatumbi tu.

Toka maktaba :
Mabango kiEnglish maongezi kimatumbi na Dr. Rioba

View: https://m.youtube.com/watch?v=RWfQhOXJ5cQ
 
M
Mfumo Mbovu wa Uchaguzi na Katiba mbovu vimetuletea viongozi wasiofaa waliotetea matendo ya utekaji, utesaji na ubakaji wa wageni tena Bungeni, matukio ambayo yametangazwa duniani kote. Tumejionea wenyewe bungeni jana.

Sasa Gen Z wa Kenya wamekuja na Mpya. Wanaitangazia Dunia Tanzania sio sehemu salama ya kutembelea kutokana na Serikali kufanya vitendo vya Utekaji# Utesaji na Ubakaji wa wageni.

Tunaposema No Reforms No Election tueleweni jamani. Hawa CCM wameliangamiza hili Taifa letu hadi tunatangazwa kuwa ni watu wa hovyo.

View attachment 3348988
Mbona wanatuharibia?Tukae kwa Pamoja haya mambo hayako SAWA,wanatuharibia
 
Mataifa kama China, Japan, Germany, Azerbaijan, Oman n.k wanajua umuhimu wa kuwa na vyombo vya dola kama vituo vya televisheni, radio na online kwa lugha ya kiEnglish na kila siku, kila baada ya masaa machache wana upload habari za kitamaduni, burudani, michezo, utafiti, utalii, biashara, michezo n.k

Sisi tunajigicha ktk kichaka cha lugha adhimu ya kiSwahiki pekee, ona sasa waKenya ambao wabunge wa Dodoma wanasema ni vitoto vidogo bado vinanyonya vinafanya madhara huku Prof. Palamagamba Kabudi, Dr. Gerson Msigwa, mkurugenzi Dr. Rioba hawana dawati la kiEnglish wala bajeti kimataifa, ila want fungu la kuwapa Chawa wafanye press kwa kimatumbi tu.
Msigwa ye kazi yake kula pisi za Bongo Movie tu
 
Kenya manina zenu,hatuwashindi kukaa nyuma ya keyboard,waongeeeee tukae kimya wataacha,wafinywe kwenye chakula hawa washenz,wakija kununua mahindi piga bei maradufu au chakula chetu kisivuke mpaka manina hawa tunakua tumewashika pakunyea.wanajionaga hawa watu yani uki battle nao kwenye mtandao hmmm hawawezekani.ningekua mkulu aki napiga ubaya ubwela kwenye chakula tu wanafyata mkia
Tukiwanyima mahindi na sisi si tutakosa pesa.mie napata riziki yangu et niache kuwauzia kisa genz wa Kenya wanatusema vibaya?ebu waza upya mkuu hili suala sio jepesi
 
Watalii mnafikiri akili zao ziko matakoni kama Wakenya?Watalii wana akili timamu na wanatambua siasa chafu za wenye njaa,wasipokuja Tanzania wapi wataipata Serengetingorongoro,kilimanjaro.Wakenya watulize vinyeo na wakija tena tutawatia upupu mkunduuni mwao.
 
Ungekuwa unajua taarifa za usalama zinavyozingatiwa na watalii usingeongea huo upuuzi wako.

Wabunge wako vilaza wanasema watu warudishwe kwenye mitungi alafu unadhani wenye akili watakuja kwako?

Mmejikaanga kwa mafuta yenu wenyewe.
 
Msigwa ye kazi yake kula pisi za Bongo Movie tu

Ndiyo tatizo la kudhibiti maovu, muda wote tunahimizwa kutumia 'kiLugha' chetu mgeni asijue Tanzania kuna nini tunayofautiana na wakaenda mbali watawala kuhakikisha lugha ya kiEnglish wanajua wachache sana familia teule, sasa vijana wa Kenya badala ya kujibiwa na chawa wa chama cha CCM itabidi wajibiwe na wazee wa chama kina Stephen Wasira n.k
 
Tukiwanyima mahindi na sisi si tutakosa pesa.mie napata riziki yangu et niache kuwauzia kisa genz wa Kenya wanatusema vibaya?ebu waza upya mkuu hili suala sio jepesi
Si wanataka vita?fita ni fita muraaa,ujeuri jibu kwa jeuri tutauza ata kongo wale jeuri yao.mi siwauzii we wauzie tu hamna neno
 
Back
Top Bottom