Unadhan mzungu moaka awe deported ndio ndio yatokee? Politica instability kubwa tu, na hapa wakenya wamewapatia vizuri sababu ya mikurupuko isiyo na maanaRisk to who ? Hakuna mzungu aliyewahi kuwa deported
Sasa kama unamchukua mtu kwenye hoteli ya nyota 5 unaenda kumvua nguo na kumdhalilisha na kumtupa maporini, usalama upo hapo?Aisee hawa jamaa hawana dogo
Sahihi kabisaSasa kama unamchukua mtu kwenye hoteli ya nyota 5 unaenda kumvua nguo nabkumdhalilisha na kumtupa maporini, usalama upo hapo?
Kumbuka hizo hotel ndio hufikia hao watalii, Je hawatatekwa?
Watalii waongezeka Kenya ni wale malofaToo late, ni moja ya tourism hotspot pendwa, airport yao na policy zao zinawabeba sana is why idadi ya watalii inaongezeka zaid upande wao.
Kulikuwa hakuna haja ya kutumia nguvu kupitiliza, outcome yake ndio hii
Ila mkuu hiki chenye kuitwa "wasiojulikana" kinaogopesha chochote kinaweza kutokea kama hadi viongozi wa dini wa dini hawako salama basi hali sio nzuri Tanzania.Wakenya wajinga nchi za ulaya wana security system kali na wao ndio hutoa travel warning kwa watu wao hawategemei malofa wakenya
Waliulizwa mapema can you be diplomatic or you can make things worse and escalate the shit wakatikisa vichwa tu . Na awakusema yes or no sasa ngoja waione faida ya ujinga adui ili ummalize nguvu ni kuwa nae karibu mle pamoja na umsapoti kwenye jambo lake awezi kukuzidi kete maana akuna urafiki au uadui wa kudumu kwenye vitu vya hapa duniani.Mfumo Mbovu wa Uchaguzi na Katiba mbovu vimetuletea viongozi wasiofaa waliotetea matendo ya utekaji, utesaji na ubakaji wa wageni matukio ambayo yametangazwa duniani kote. Tumejionea wenyewe bungeni jana.
Sasa Gen Z wa Kenya wamekuja na Mpya. Wanaitangazia Dunia Tanzania sio sehemu salama ya kutembelea kutokana na Serikali kufanya vitendo vya Utekaji# Utesaji na Ubakaji wa wageni.
Tunaposema No Reforms No Election tueleweni jamani. Hawa CCM wameliangamiza hili Taifa letu hadi tunatangazwa kuwa ni watu wa hovyo.
View attachment 3348988
Nyota tano akiishi kwa tonetoneSasa kama unamchukua mtu kwenye hoteli ya nyota 5 unaenda kumvua nguo nabkumdhalilisha na kumtupa maporini, usalama upo hapo?
Kumbuka hizo hotel ndio hufikia hao watalii, Je hawatatekwa?
Yule karua alirudishwa kwao ashukuru mungu hajabakwa km yuleMfumo Mbovu wa Uchaguzi na Katiba mbovu vimetuletea viongozi wasiofaa waliotetea matendo ya utekaji, utesaji na ubakaji wa wageni matukio ambayo yametangazwa duniani kote. Tumejionea wenyewe bungeni jana.
Sasa Gen Z wa Kenya wamekuja na Mpya. Wanaitangazia Dunia Tanzania sio sehemu salama ya kutembelea kutokana na Serikali kufanya vitendo vya Utekaji# Utesaji na Ubakaji wa wageni.
Tunaposema No Reforms No Election tueleweni jamani. Hawa CCM wameliangamiza hili Taifa letu hadi tunatangazwa kuwa ni watu wa hovyo.
View attachment 3348988
Sahihi mtalii huwa kanyooka kwenye agendaUzuri wa watalii hawanaga time na siasa zetu za maji taka.Watakuja TZ vizuri na kurudi kwao salama.
Umeishia darasa la ngapi wewe lofaaNyota tano akiishi kwa tonetone
Mwangi ana pesa gani? Hana hela endelevu lofa mkubwa
Hao wanataka kuogoza nchi ni kitu gani wamefanya kwa tanzania na sio kusuport ujinga wa wakenya ,Sasa Gen Z wa Kenya wamekuja na Mpya. Wanaitangazia Dunia Tanzania sio sehemu salama ya kutembelea kutokana na Serikali kufanya vitendo vya Utekaji# Utesaji na Ubakaji wa wageni.
Tunaposema No Reforms No Election tueleweni jamani. Hawa CCM wameliangamiza hili Taifa letu hadi tunatangazwa kuwa ni watu wa hovyo.✌🏿📌🔨
Basi unafuraaahi mwenyewe!Mfumo Mbovu wa Uchaguzi na Katiba mbovu vimetuletea viongozi wasiofaa waliotetea matendo ya utekaji, utesaji na ubakaji wa wageni matukio ambayo yametangazwa duniani kote. Tumejionea wenyewe bungeni jana.
Sasa Gen Z wa Kenya wamekuja na Mpya. Wanaitangazia Dunia Tanzania sio sehemu salama ya kutembelea kutokana na Serikali kufanya vitendo vya Utekaji# Utesaji na Ubakaji wa wageni.
Tunaposema No Reforms No Election tueleweni jamani. Hawa CCM wameliangamiza hili Taifa letu hadi tunatangazwa kuwa ni watu wa hovyo.
View attachment 3348988
Mfumo Mbovu wa Uchaguzi na Katiba mbovu vimetuletea viongozi wasiofaa waliotetea matendo ya utekaji, utesaji na ubakaji wa wageni matukio ambayo yametangazwa duniani kote. Tumejionea wenyewe bungeni jana.