Wakenya watoa tahadhari kwa Watalii na Wageni kutembelea Tanzania kutokana vitendo vya Utekaji, Utesaji

Wakenya watoa tahadhari kwa Watalii na Wageni kutembelea Tanzania kutokana vitendo vya Utekaji, Utesaji

Kazi kwako Prof. Palamagamba Kabudi kwenda kurusha habari za kila aina kwa kiEnglish. Kuwajengea uwezo chawa waweze kutiririka siyo tu kwa kiSwahili bali hadi kimataifa kwa kiEnglish

TOKA MAKTABA :

Uteuzi wa Profesa Palamagamba Kabudi, ni hatua nzito ya serikali kujipanga kushinda vita ya habari yaani propaganda katika 'kiLugha' chetu yaani kiSwahili na katika ki-English upambane na dunia
View attachment 3339111

Vyombo kama TBC, TBC radio, Habari Leo Daily News, Idara ya Maelezo vimekuwa vikisinzia kuitetea serikali ya awamu ya 6 kiasi ya kuwa vyombo vya mitandao ya kijamii vimeibuka washindi katika kuunda sura (ku shape ) ya yanayoendelea nchi huku vyombo vya umma vikikosa wasikilizaji, wasomaji na wachangiaji (comments) iwe katika lugha ya KiSwahili au Kiingereza

Hivyo hatua ya uteuzi wa leo ni kujaribu kurudisha mizania kuegemea upande wa serikali na chama tawala au angalau kuweka mzania sawa balanced kutoka hali ya sasa ambapo vyombo vya habari vya umma vya kieletroniki, radio, televisheni vimeshindwa vita hii ya habari information war

Soma Pia: Rais Samia afanya uteuzi: Masauni apigwa chini Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais

Profesa Palamagamba Kabudi sasa kuendeleza propaganda :
Vita ya habari au information war ni zana muhimu kutetea uhalali wa maamuzi, matukio na mafanikio

USIPITWE TAZAMA KIPINDI AGENDA 2020 | MADA : FAIDA NA ATHARI ZA PROPAGANDA KWA TAIFA
  • White propaganda kutafuta heshima kupitia taarifa za kweli
  • Black propaganda chanzo hakitambuliki na pia taarifa siyo za kweli
  • Grey propaganda ipo katikati baina ya ukweli na uwongo

View: https://m.youtube.com/watch?v=OwLNl_fv_CY

Source : Star TV Habari

 
Kenya manina zenu,hatuwashindi kukaa nyuma ya keyboard,waongeeeee tukae kimya wataacha,wafinywe kwenye chakula hawa washenz,wakija kununua mahindi piga bei maradufu au chakula chetu kisivuke mpaka manina hawa tunakua tumewashika pakunyea.wanajionaga hawa watu yani uki battle nao kwenye mtandao hmmm hawawezekani.ningekua mkulu aki napiga ubaya ubwela kwenye chakula tu wanafyata mkia
Umedata ukiwa wapi? Nyie si ndo mlianzisha ugomvi kwa kuropoka ropoka kwenu?

Haya sasa pambaneni.
 
Mfumo Mbovu wa Uchaguzi na Katiba mbovu vimetuletea viongozi wasiofaa waliotetea matendo ya utekaji, utesaji na ubakaji wa wageni tena Bungeni, matukio ambayo yametangazwa duniani kote. Tumejionea wenyewe bungeni jana.

Sasa Gen Z wa Kenya wamekuja na Mpya. Wanaitangazia Dunia Tanzania sio sehemu salama ya kutembelea kutokana na Serikali kufanya vitendo vya Utekaji# Utesaji na Ubakaji wa wageni.

Tunaposema No Reforms No Election tueleweni jamani. Hawa CCM wameliangamiza hili Taifa letu hadi tunatangazwa kuwa ni watu wa hovyo.

View attachment 3348988
enough na post zako mkuu, story ya chadema ishaisha ni mda wa chama kingine
 
Hii kweli kali, japokuwa naamini idara zetu ambazo zinahusika kuutangulia muda na matukio zitakuwa ziliyatarajia haya na watakuwa wameshaandaa way out.
 
Nimeshangaa Kenya wanafunzi wa sekondari ni wengi mno kuliko Tanzania wakati sie tuko wengi mno. Kule Kila mtu almost ana shule ya juu
Hakuna taifa lililoendelea bila elimu ( kaduguda, 2025) . Tanzania tumeitupq elimu kila mtu anatamani kuwa mbunge
 
Hayo mambo yasingefika huko kama sio ofisi na wanaomsauri huyo mama sio vilaza.

Fikiria kuna mzozo wa kidiplomasia haafu anasimama kilaza anasema Dotto magari ndio awekwe kama mtu atakayesidia kujibu na kutatua mzozo huo.
Kwa wabunge vilaza namna ile wanaopewa ubunge na Chama na sio kura za wananchi kwa nini tusitoe maboko mkuu?
 
Back
Top Bottom