Wakenya watoa tahadhari kwa Watalii na Wageni kutembelea Tanzania kutokana vitendo vya Utekaji, Utesaji

Wakenya watoa tahadhari kwa Watalii na Wageni kutembelea Tanzania kutokana vitendo vya Utekaji, Utesaji

Serikali ya Tanzania haiungwi tena mkono na wananchi, sasa ni wakati wa serikali ya awamu ya sita kujiuzulu.
 
Watalii wengi wanaokuja third world kutoka nchi zilizoendelea ni educated people (sio watu ambao wapo influenced na ujinga wa mitandaoni).

Halafu kwao naturę tourism ni once in a lifetime experience and such trips tend to be very expensive.

Sasa watu wasomi huko kwenye dunia iliyoendelea travel advise wanatafuta kwenye government websites, hizi holidays uwa zinakuwa booked well in advance in most cases.

Ndio ujue wakenya ni mataahira tu ambao wanafuata pro-foma ya kuendesha nchi waliyoachiwa na waingereza.

Wakenya hawana hizo akili tunazotaka kuwapa.

Only unique character about our neighbours we need to be cautious of Kenyans are bitter people (we need to accommodate that nonsense for the long term EAC objective).

Sasa usishangae kutuombea mabaya baada ya tiff ndogo kama hii, tena ambayo wameanzisha wao.

Ukubwa ‘jalala’ as we say in Tanzania
 
Kenya ndio sio safe state

Huonywa kabisa wasithubutu kuingia uswahilini

Martha Karua Karua na huyo Mwangi na huyi mganda Agather wana pesa gani za kutalii Tanzania hata nchini kwao hawajawahi kwenda kutalii popote malofa wakubwa
Hii ni maajabu yaani Jaji mstafu wa nchi unauliza ana pesa gani za kutalii tena Tanzania tu hapa🤔,? Kwani akili huwa mnashikiwa?
 
Sema kuna kikundi kinamhujumu Rais Dkt Samia. Yaani kweli unaenda 5-star hotel kumtoa mgeni????? Yaani walishindwa hata kumvamia kwenye gari akiwa katoka nje y hotel?? In short hao wanaoendelea kufanya haya matukio hawana nia njema na Rais wetu Dkt Samia, ni kitu ambacho tulimuonya sana Dkt Samia kipindi anasherehekea kifo cha Dkt Magufuli huku akisaidia kurusha vijiwe vya vijembe akijua yeye atakuwa salama hahahahaha ila hakika matusi anayotukanwa yanazidi mara 70 yale aliyoaasisi kwa Dkt Magufuli. Na bado, I can’t imagine siku akitoka madarakani, Mungu atupe uhai ila naona kabisa kasimama mahakamani kujibu kesi kibao na watu wake kama wajanja wajiwahi uraia wa Dubai faster, maana halitabako jiwe! Asione watanzania na mifumo ipo kimya hasira iliyopo ni mbaya mno tena mbaya mno.
I can’t imagine siku akitoka madarakani, Mungu atupe uhai ila naona kabisa kasimama mahakamani kujibu kesi kibao na watu wake kama wajanja wajiwahi uraia wa Dubai faster, maana halitabako jiwe! Asione watanzania na mifumo ipo kimya hasira iliyopo ni mbaya mno tena mbaya mno.📌🔨
 
Mfumo Mbovu wa Uchaguzi na Katiba mbovu vimetuletea viongozi wasiofaa waliotetea matendo ya utekaji, utesaji na ubakaji wa wageni tena Bungeni, matukio ambayo yametangazwa duniani kote. Tumejionea wenyewe bungeni jana.

Sasa Gen Z wa Kenya wamekuja na Mpya. Wanaitangazia Dunia Tanzania sio sehemu salama ya kutembelea kutokana na Serikali kufanya vitendo vya Utekaji, Utesaji na Ubakaji wa wageni.

Tunaposema No Reforms No Election tueleweni jamani. Hawa CCM wameliangamiza hili Taifa letu hadi tunatangazwa kuwa ni watu wa hovyo.

View attachment 3348988
Aisee! Wabunge vilaza watupu!
 
I can’t imagine siku akitoka madarakani, Mungu atupe uhai ila naona kabisa kasimama mahakamani kujibu kesi kibao na watu wake kama wajanja wajiwahi uraia wa Dubai faster, maana halitabako jiwe! Asione watanzania na mifumo ipo kimya hasira iliyopo ni mbaya mno tena mbaya mno.📌🔨
Sasa hasira na visasi vya nini, zaidi ya kubadili mfumo tu na kukubali yaliyo pita si ndwele.

Inakera, ila majizi yanatumia mfumo unao waruhusu leo na wengi wetu ni tempting kushiriki tungekuwa kwenye hizo nafasi.

Busara ni kukubali umepigwa na mfumo uliopo na kuanza upya, kwa kubadili mfumo.

Nyie watu hamkuelewa vita ya Magufuli.

It’s not about CCM kuna watu hawataki mambo yabadilike huko serikalini.

Wapo tayari kutoa maiti mochwari wakazitupe baharini na kuna prominent members ambao mnadhani wenzetu wakatuchota huku.

Mfano wewe, hujui hata unapigania zaidi ya kuwa gullible tu unaesaka popular support.

It’s not easy
 
Wakenya wajinga nchi za ulaya wana security system kali na wao ndio hutoa travel warning kwa watu wao hawategemei malofa wakenya
Hahahahaaa!
Umewajibu vizuri hawa nyumbu wa chadema chakavu wanaoonekana kuchanganyikiwa siku baada ya siku. Hao wakenya wenyewe wanawategemea wazungu wawaambie kuhusu hatari za al shabaab na waharifu wengine; wao watasema nini' wakaaminika malofa na wajinga na wanafiki kama hao?!!!!! Kwa mtu, tena mingine ikiwa mizee kabisa, kushangilia hili ni kuonyesha kutokuwa na ufahamu wa kutosha na ni namna gani ujinga na upumbavu, huko unyumbuni, umetamalaki.

Jitihada zao za kuikandia Tanzania hazijaanza Leo Wala jana Wala juzi........tangu kusema Kilimanjaro yao Hadi tanzanite wanachimba wao. Matokeo? Tumeendelea kushamiri zaidi na zaidi. Na kwenye hili, tena chini ya kamanda Samia Suluhu Hassan, aliyewekwa kwa uamuzi wa Mungu mwenyewe, hao wakenya na hawa nyumbu wetu wasiojielewa wataendelea kusubiri sana.

Rekodi za mapato zitokanazo na utalii zitaendelea kupaa juu zaidi na zaidi katikati ya Dua mbaya na Nia ovu za maadui wetu wa nje na ndani......dalili zote zinaonyesha Mungu ameshaamua hivyo.

Silaha yao kuu eti wanajua sana Kiingereza🤣🤣🤣🤣🤣
Hilo linaigwa na hawa vibaraka wao wa ndani. Upuuzi.

Hitimisho; si hao wakenya, Wala Malaya zao hawa wa chadema chakavu watakaoweza kuiangusha Dola kuu na pendwa ya Tanzania.... itaendelea kushamiri milele na milele.
 
Mfumo Mbovu wa Uchaguzi na Katiba mbovu vimetuletea viongozi wasiofaa waliotetea matendo ya utekaji, utesaji na ubakaji wa wageni tena Bungeni, matukio ambayo yametangazwa duniani kote. Tumejionea wenyewe bungeni jana.

Sasa Gen Z wa Kenya wamekuja na Mpya. Wanaitangazia Dunia Tanzania sio sehemu salama ya kutembelea kutokana na Serikali kufanya vitendo vya Utekaji, Utesaji na Ubakaji wa wageni.

Tunaposema No Reforms No Election tueleweni jamani. Hawa CCM wameliangamiza hili Taifa letu hadi tunatangazwa kuwa ni watu wa hovyo.

View attachment 3348988
Haya ndio madhara ya kuwa na viongozi wanaojua kusoma na kuandika,wanafurahia watu kutekwa na kuwapongeza watekaji,wanafikiri watu pia ni wajinga kama wao
 
Hiki ndio nilikuwa naogopa kutokea, sababu mkuruouko wa vyombo , huwa hawaangalii outcome ya matendo hayo

Wajishushe wasikilize wananchi or high season itakuwa so low
Hawa CCM tuwakatae kwa nguvu zaidi.
 
Aisee hawa jamaa hawana dogo
Mzee Jomo Kenyatta alipomwambia mwalimu kuwa anaongoza maiti hakukosea. Ila sisi ujinga umezidi. Leo ''mama'' anaweza kutoa milioni 100 za kununua magoli na akachukuwa ndege na kwenye majuu na wasanii kula maraha, halafu kesho mjamzito akaaambiwa arudi kuzalishwa na mumewe kwa sababu hana elfu hamsini na watu wakashangilia. Kwenye kabila fulani kuna msemo usemao kuwa bora kuzaa mwizi kuliko jinga!
 
Taarifa ya hali yausalama inatolewa na serikali na balozi za nchi husika sio hizo blah blah zenu zakitoto na hao wakenya wako.Wazungu na agent wa watalii sio mapoyoyo kama unavyofikiri.
 
Na huu ndio ukweli wenyewe.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Wageni malofa akina Martha Karua,Mwangi na huyo lofa nwingine mtegemea kiinua mgongo cha umaskini jaji mkuu mstaafu Mutunga?
wakati mwingine kukaa kimya inasaidia kunaficha ujinga wako
 
Ni mzozo wa kijinga, wenye kuuza silaha wanataka tuchapane wauze silaha watengeneza mabilioni ya pesa bila kujali wajomba zako na shangazi zangu na sisi wenyewe tutakuwa kwenye hali gani.

Serikali na usalama wa taifa upo kazini na ni kwa faida ya wewe na mimi pamoja na jamaa zake huyo anayetugombanisha.
Hizi propaganda za 1970 zilishakosa mantiki mbadili mbinu.
 
Sasa kama unamchukua mtu kwenye hoteli ya nyota 5 unaenda kumvua nguo na kumdhalilisha na kumtupa maporini, usalama upo hapo?

Kumbuka hizo hotel ndio hufikia hao watalii, Je hawatatekwa?
Hawa vikaragosi hawaelewi hilo, na hii kete wakenya wanaisukuma vizuri sana ,na wanaenda kufanikiwa Sisi tutabaki na data za kupika kama kawaida yetu
 
Mfumo Mbovu wa Uchaguzi na Katiba mbovu vimetuletea viongozi wasiofaa waliotetea matendo ya utekaji, utesaji na ubakaji wa wageni tena Bungeni, matukio ambayo yametangazwa duniani kote. Tumejionea wenyewe bungeni jana.

Sasa Gen Z wa Kenya wamekuja na Mpya. Wanaitangazia Dunia Tanzania sio sehemu salama ya kutembelea kutokana na Serikali kufanya vitendo vya Utekaji, Utesaji na Ubakaji wa wageni.

Tunaposema No Reforms No Election tueleweni jamani. Hawa CCM wameliangamiza hili Taifa letu hadi tunatangazwa kuwa ni watu wa hovyo.

View attachment 3348988
Hapa Tanzania wageni wengi mashuhuri hapa Duniani huja kutalii na huondoka wamefurahi bila usalama wao kudhurika.
Hao Majirani, ni mwendo wa ubinafsi tu umo kichwani mwao.
 
Back
Top Bottom