Wakenya watoa tahadhari kwa Watalii na Wageni kutembelea Tanzania kutokana vitendo vya Utekaji, Utesaji

Wakenya watoa tahadhari kwa Watalii na Wageni kutembelea Tanzania kutokana vitendo vya Utekaji, Utesaji

Hiv mtu na akili zako unasupport wanachofanya wakenya.
 
Kenya ndio sio safe state

Huonywa kabisa wasithubutu kuingia uswahilini

Martha Karua Karua na huyo Mwangi na huyi mganda Agather wana pesa gani za kutalii Tanzania hata nchini kwao hawajawahi kwenda kutalii popote malofa wakubwa
Wanaweza kwenda kutalii popote watakapo si lazima waanze kwao.
 
Na wewe ingia barabarani ukadai reform
Kazi ya kupelekeshana na huyo kigagula Chura Kiziwi wamekabidhiwa Gen Z wa Kenya.
IMG_1326.jpeg
 
Sahihi mtalii huwa kanyooka kwenye agenda

Ikiwa kutalii agenda inakuwa kutalii sio kuhudhuria kesi ya Tundu Lisu kama hao mabwege wakenya

Wanaandika tunakuja kutalii halafu unawakuta kisutu mahakamani
Itakuwa utalii upo wa aina nyingi. Pengine ilikuwa utalii wa kimahakama.
 
Hiv mtu na akili zako unasupport wanachofanya wakenya.
Kwahiyo we mtu na akili zako unasapoti walichofanyiwa ndugu zao??? Kama hawakutakiwa kwanini tu wasingewakamata wakawarudishwa kwao, kwanini wapigwe, kwanini wabakwe?
 
Kwahiyo we mtu na akili zako unasapoti walichofanyiwa ndugu zao??? Kama hawakutakiwa kwanini tu wasingewakamata wakawarudishwa kwao, kwanini wapigwe, kwanini wabakwe?
Wao waliitwa huku? Unakwendaje nchi nyingine kufanya harakati.
 
Yule karua alirudishwa kwao ashukuru mungu hajabakwa km yule
Polisi ya TZ kwenye kozi obviously huwa wanafundishwa kuf*ra ndiyo maana huwa wanawaf*ra by rape wale wanaowateka, just imagine kama nchi tuna police force ya aina gani.
Kwako wewe Subira the princess unaona ni jambo la ufahari sana na probably ndiyo thinking level ya familia uliyolelewa.
 
Unatokaje kwako uende nchi nyingine ukafanye fujo?
Kama unaona binadamu mwenzio kubakwa, kupigwa ni sawa, sasa kinachokushangaza cha wakenya ni kipi hasa....bro relax enjoy!!!

Siku zote mkuki huwa ni mchungu kwa binadamu
 
Ndugu...subiri next move ya watu wenye kujua Sheria...kabla ya June 2 utaona idadi ya waKenya watakaotua Tanzania...then utaona wanaharakati kutoka nchi zingine,nje ya EA...mtego huu utatuanika zaidi..naipenda nchi yetu ila kuna watu wako madarakani wameamua kutufanya watz wooote ma kenge
IMG_1386.jpeg
 
Kama unaona binadamu mwenzio kubakwa, kupigwa ni sawa, sasa kinachokushangaza cha wakenya ni kipi hasa....bro relax enjoy!!!

Siku zote mkuki huwa ni mchungu kwa binadamu
Sawa kabisa! Harakat fanyia nchini kwako. Vtu vingine mnavyosupport watatuzoea vbaya watataka waingilie kwenye kila jambo.
 
Back
Top Bottom