Wakenya watoa tahadhari kwa Watalii na Wageni kutembelea Tanzania kutokana vitendo vya Utekaji, Utesaji

Watalii waongezeka Kenya ni wale malofa
Matajiri na mabilionea huja Tanzania sababu sisi tuligoma kutoa gharama za visa za dola 50 kwa mtalii kuwa kama hawezi lipa dola 50 huyo ni lofa hastahili kuitwa mtalii

Kenya wakatoa ndio maana watalii wengi malofa hufurika kenya kwetu wanakuja matajiri tu
Hii haisaidii kitu kwani waarabu wamesomba wanyama wengi toka mbuga za Tanzania kwenda Uarabuni, waziri wa utalii hafai kuwepo ofisini mda huu alipaswa ajiuzulu
 
Mfumo Mbovu wa Uchaguzi na Katiba mbovu vimetuletea viongozi wasiofaa waliotetea matendo ya utekaji, utesaji na ubakaji wa wageni tena Bungeni, matukio ambayo yametangazwa duniani kote. Tumejionea wenyewe bungeni jana.

Sasa Gen Z wa Kenya wamekuja na Mpya. Wanaitangazia Dunia Tanzania sio sehemu salama ya kutembelea kutokana na Serikali kufanya vitendo vya Utekaji, Utesaji na Ubakaji wa wageni.

Tunaposema No Reforms No Election tueleweni jamani. Hawa CCM wameliangamiza hili Taifa letu hadi tunatangazwa kuwa ni watu wa hovyo.

View attachment 3348988
Mwaka wa uchaguzi huu wa 2025 hivi vibweka vyenu vimeshazoeleka, lakini kumbuka kumtimua Mwangi na yule dada Mganda ni kwa faida ya uwepo wa Tanzania yenyewe.

Hivi ni vita vizito sana, serikali zinapambana na mafia wanaotumia madalali wao ambao ni wazalendo wenzetu na hatujashindwa na hatutashindwa.
 
Kenya ndio sio safe state

Huonywa kabisa wasithubutu kuingia uswahilini

Martha Karua Karua na huyo Mwangi na huyi mganda Agather wana pesa gani za kutalii Tanzania hata nchini kwao hawajawahi kwenda kutalii popote malofa wakubwa
Kwani mnakuwa hivi kwenye mambo serious?
Mnajua kabisa sshv internet ni Kila kitu Habari zinasambaa Kwa haraka,yet bado mnatetea ujinga
 
Kenya ndio sio safe state

Huonywa kabisa wasithubutu kuingia uswahilini

Martha Karua Karua na huyo Mwangi na huyi mganda Agather wana pesa gani za kutalii Tanzania hata nchini kwao hawajawahi kwenda kutalii popote malofa wakubwa
Viakili
 
Hayo mambo yasingefika huko kama sio ofisi na wanaomsauri huyo mama sio vilaza.

Fikiria kuna mzozo wa kidiplomasia halafu anasimama kilaza mmoja anasema Dotto magari ndio awekwe kama mtu atakayesaidia kujibu na kutatua mzozo huo.
Ni mzozo wa kijinga, wenye kuuza silaha wanataka tuchapane wauze silaha watengeneza mabilioni ya pesa bila kujali wajomba zako na shangazi zangu na sisi wenyewe tutakuwa kwenye hali gani.

Serikali na usalama wa taifa upo kazini na ni kwa faida ya wewe na mimi pamoja na jamaa zake huyo anayetugombanisha.
 
Mfumo Mbovu wa Uchaguzi na Katiba mbovu vimetuletea viongozi wasiofaa waliotetea matendo ya utekaji, utesaji na ubakaji wa wageni tena Bungeni, matukio ambayo yametangazwa duniani kote. Tumejionea wenyewe bungeni jana.

Sasa Gen Z wa Kenya wamekuja na Mpya. Wanaitangazia Dunia Tanzania sio sehemu salama ya kutembelea kutokana na Serikali kufanya vitendo vya Utekaji, Utesaji na Ubakaji wa wageni.

Tunaposema No Reforms No Election tueleweni jamani. Hawa CCM wameliangamiza hili Taifa letu hadi tunatangazwa kuwa ni watu wa hovyo.

View attachment 3348988
Wengi wa Gen Z wakenya ni vilaza, sasa kuna ambao wanawarithisha ukilaza hapa TZ mdogo-mdogo, na soon tusipochukua hatua kundi kubwa la vijana wa TZ nao watakua vilaza, na hapo tutakua hatuna tena Taifa. 💉💊
 
Kenya ndio sio safe state

Huonywa kabisa wasithubutu kuingia uswahilini

Martha Karua Karua na huyo Mwangi na huyi mganda Agather wana pesa gani za kutalii Tanzania hata nchini kwao hawajawahi kwenda kutalii popote malofa wakubwa
Njooni muone gurue hili hapa🐖🐖
 
Mfumo Mbovu wa Uchaguzi na Katiba mbovu vimetuletea viongozi wasiofaa waliotetea matendo ya utekaji, utesaji na ubakaji wa wageni tena Bungeni, matukio ambayo yametangazwa duniani kote. Tumejionea wenyewe bungeni jana.

Sasa Gen Z wa Kenya wamekuja na Mpya. Wanaitangazia Dunia Tanzania sio sehemu salama ya kutembelea kutokana na Serikali kufanya vitendo vya Utekaji, Utesaji na Ubakaji wa wageni.

Tunaposema No Reforms No Election tueleweni jamani. Hawa CCM wameliangamiza hili Taifa letu hadi tunatangazwa kuwa ni watu wa hovyo.

View attachment 3348988
They are killing wabunge wao

They have killed over 100 gen Z

Nobody will listen to them

Labda wapumbavu wa chakandumuz tu
 
Kenya ndio sio safe state

Huonywa kabisa wasithubutu kuingia uswahilini

Martha Karua Karua na huyo Mwangi na huyi mganda Agather wana pesa gani za kutalii Tanzania hata nchini kwao hawajawahi kwenda kutalii popote malofa wakubwa
Wakenya wanawatangazia Watalii kwamba Wasije kitalii Tanzania, Kwa sababu walizozitaja.

Wewe unatuambia sisi kuhusu Kenya, sisi sio Watalii.
 
Hao killers wa genZ na wabunge wao?
 
Kenya ndio sio safe state

Huonywa kabisa wasithubutu kuingia uswahilini

Martha Karua Karua na huyo Mwangi na huyi mganda Agather wana pesa gani za kutalii Tanzania hata nchini kwao hawajawahi kwenda kutalii popote malofa wakubwa
Huoni mbali ndugu
 
Brother tuwe makini na haya mambo kuna mambo hayahitaji maguvu kudeal nayo..

Hawa jamaa tuende nao kwa akili wanaweza kutingisha uchumi wetu tukileta masikhara.

Utulivu unahitajika kuliendee Jambo hili, naona kama limetukuta off-guard.
Baada yakutumia akili kudeal nalo tukawaacha wanasiasa ambao hakuna wanachojua zaidi ya kuropokwa, Hapa diplomasia na intelejensia yetu imefail, tunapaswa na kutulia, kujipanga upya na kuliendea jambo hili Kwa akili kubwa tuache ushabiki wa siasa.
Nkweli mkuu mi naona sis watz tunatumia nguvu na hasira zisizo na sababu wakati sisi ndo tumekosea saana. Hivi kwani hata prisoner of war waliotekwa na jeshi lenye nidham huwa wanabakwaa?

Kuna tukio moja kwenye vita ya Iraq na Usa kuna askar wa kiume wa us aliyekumbwa na tatizo la msongo akiwa kwenye mission.Muda mwingine akawa anajikuta anajitenga na wenzake.

Baadae maadui walimkanata, waka mtesa na kumrawiti, wakamng'o macho na kumkata uboo wakamtelekeza akiwa uchi njian.

Wenzake wakawa wanamtafta, walipo muona walichanganikiwa kiasi kwamba waliapa kutokutoa taarifa za tukio hilo kambini.

Waliporudi nyumbani wengi wao waliathiriwa na liletukio kiasi kwamba crew yao walianza kujipiga risasi mmoja baada ya mwingne.
Hao waliosalia kila walipokuwa wakiulizwa na ndugu au uongozi wa jeshi kuhusu yule mwenzao wengine badala ya kujieleza walkuwa wanajiua.
Alisalia mmoja tuu ambae alikuwa rafiki na jiran yake wa karbu ambaye yeye alkuwa anakaa mitaani kbsaa hakukaa nyumbani na baadae alkuwa kichaa.

Sasa kama hao akina bonifasi wataeleza madhira ya namna hiyo tunaweza kujikuta tunavyolichukulia sisi na wakenya ni mbali mbali sawa na giza na nuru.
 
Mfumo Mbovu wa Uchaguzi na Katiba mbovu vimetuletea viongozi wasiofaa waliotetea matendo ya utekaji, utesaji na ubakaji wa wageni tena Bungeni, matukio ambayo yametangazwa duniani kote. Tumejionea wenyewe bungeni jana.

Sasa Gen Z wa Kenya wamekuja na Mpya. Wanaitangazia Dunia Tanzania sio sehemu salama ya kutembelea kutokana na Serikali kufanya vitendo vya Utekaji, Utesaji na Ubakaji wa wageni.

Tunaposema No Reforms No Election tueleweni jamani. Hawa CCM wameliangamiza hili Taifa letu hadi tunatangazwa kuwa ni watu wa hovyo.

View attachment 3348988
Hahaha Hivi ni kweli Tanganyika tuliungana na hivyo vi doti viwili? Ni ujinga au tumejaa usaa vichwani, Nchi Mbili zilizoungana hapo ziko wapi?
 
Back
Top Bottom