huo ndiyo uhalisiaYaani watu wamekariri sana kenya imeshaona Tanzania tunaingiza mafuriko ya bidhaa mpaka wanazuia bidhaa zetu za ngano, gas, n.k ili kuweka balance kiuhalisia saivi hakuna bidhaa hata moja inayozalishwa kenya Tanzania haizalishwi na viwanda vyetu.
Ardhi yetu 70% ni kame tupu ilhali nyie mna ardhi kubwa kiasi cha kuunganisha Uganda, Rwanda na Kenya na bado mbaki na chenji halafu yote ina rotuba lakini cha kushangaza mnakwenda kubembeleza Malawi wawauzie mahindi.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe jamaa! Hivi suala la ardhi kukosa rutuba kwa karne hii ya 21 nalo ni la kuweka mtandaoni eti ndo linasababisha njaa?
Tena eti mnajiita middle income wakati hata mnashindwa kununua mbolea ya kurutubisha mashamba! Mnazidiwa na sisi wakulima wetu wanakopeshwa pembejeo!
Mngakuwa jangwani kama nchi nyingine si ndo mngekufa kabisa kwa kulia lia kwenu!
BTW, Labda nikifahamishe kuwa sio kuwa maeneo yote tz yana rutuba ya asili! Rutuba huisha kadri matumizi yanavyoongezeka! Tunatumia mbolea! Pia maeneo mengine yanapata changamoto ya mvua, ndo maana chakula kinatoka sehemu moja ya nchi na kuwapekekea!
Sio kama Kenya ambako nchi nzima inakuwa haina chakula.
tukitoka malawi tunakuja kenya baada ya kenya tutaenda burundi na mwisho rwanda usiwaze.....Ardhi yetu 70% ni kame tupu ilhali nyie mna ardhi kubwa kiasi cha kuunganisha Uganda, Rwanda na Kenya na bado mbaki na chenji halafu yote ina rotuba lakini cha kushangaza mnakwenda kubembeleza Malawi wawauzie mahindi.
Bwana wewe nimekwambia kwa mbwembwe mnazojiita middle income ni aibu kubwa kulalamika eti ardhi ni kame! Hizo hela mnazosema mnazo zinafanya nini? Anhaaa nahisi zinanunua ardhi kwa ajili ya ile familia!Ardhi yetu 70% ni kame tupu ilhali nyie mna ardhi kubwa kiasi cha kuunganisha Uganda, Rwanda na Kenya na bado mbaki na chenji halafu yote ina rotuba lakini cha kushangaza mnakwenda kubembeleza Malawi wawauzie mahindi.
machizi kabisaBwana wewe nimekwambia kwa mbwembwe mnazojiita middle income ni aibu kubwa kulalamika eti ardhi ni kame! Hizo hela mnazosema mnazo zinafanya nini? Anhaaa nahisi zinanunua ardhi kwa ajili ya ile familia!
Juzi hapa mmepewa mahindi na Israel! Hivi unajua Israel nchi nzima ni jangwa? Au basi Egypt, wako jangwani, ushaskia wanalalamika njaa? Hao ndo tunaona umuhimu wa uchumi wao!
Sio nyie nyang'au mnaishia kujisifu uchumi mkubwa wakati hamwezi hata kununulia wakulima mbolea, au kuanzisha irrigation scheme hata moja!
Shame on you!
Kwani fursa ni maindi pekee ok hatutaki kwani lazima tuwauzie,wakwende zao,wajifunze kulima na wao,mbona wao walisha tufanyiaga fitina tulipotaka tuuze meno yetu?kazi yako ni kukimbiakimbia kama chura.......
stupid kenyan
Mwenye roho ya kichawi ww na wazazi wako.ww huoni kenya walivyo na roho mbaya kwetu?Wadanganyika wanafanya nini hapa. Kweli wengi wenu MNA roho za kichawi. Sijawahi kutana na watz kama sampuli ya JF
government ya kenya ni inajihofia sana......na TanzaniaKwani fursa ni maindi pekee ok hatutaki kwani lazima tuwauzie,wakwende zao,wajifunze kulima na wao,mbona wao walisha tufanyiaga fitina tulipotaka tuuze meno yetu?
We wahache tu,kulima kwenyewe wamejifunza kipindi cha chiruba badara wajidhatiti kuwa na stock kubwa ya chakula wao wanajitia kimbele mbele,hivi tujiulize lini kenya ilishawahi kusaidia wenzake kwa moyo mmoja,uganda ni kanchi kdg lakini hutusaidiaga sana kwenye mahafa,hebu fikilia lile janga la tetemeko la aridhi bukoba halafu linganisha na pole iliotolewa na hao tuliokataa kuwapa maindi ina fanana na uchumi wao.ok wajifunze kulima kwa bidii sio kujitapa na viwanda vya makabaira wale sasa hivyo viwanda?Hao Zambia nao vimaindi vyenyewe vya bustani alafu wanajidai kuuza sijui maelfu ya matani,.soon utaskia wanakunya upepo.
Sawa wambie nao hao wakenya wafanye km wa isirael,sio kutupigia kelele.ok sasa zambia wa kuwafananisha isirael.thinking capacity yako itakuwa na ttzo.Baki hivyo hivyo! Israel wanalima bustani kwa kununua udongo, lakini unawaonaje!?
Bwana wewe nimekwambia kwa mbwembwe mnazojiita middle income ni aibu kubwa kulalamika eti ardhi ni kame! Hizo hela mnazosema mnazo zinafanya nini? Anhaaa nahisi zinanunua ardhi kwa ajili ya ile familia!
Juzi hapa mmepewa mahindi na Israel! Hivi unajua Israel nchi nzima ni jangwa? Au basi Egypt, wako jangwani, ushaskia wanalalamika njaa? Hao ndo tunaona umuhimu wa uchumi wao!
Sio nyie nyang'au mnaishia kujisifu uchumi mkubwa wakati hamwezi hata kununulia wakulima mbolea, au kuanzisha irrigation scheme hata moja!
Shame on you!
Mpu.u.zi wewe.hama jf.kwani umelazimishwa.mf.y.uuWadanganyika wanafanya nini hapa. Kweli wengi wenu MNA roho za kichawi. Sijawahi kutana na watz kama sampuli ya JF
Kwamba sisi ni middle class ina maana hela tunazo nyingi za kununua mahindi kutoka nje, sio lazima tukuze kila zao kwenye ardhi yetu kame. Inabidi tutumie akili na kukuza mazao yenye kutuletea hela nyingi halafu tunanunua mazao kama mahindi.
Kwa kifupi, pamoja na kwamba mna liinchi likubwa lenye rotuba kila mahali tunawashinda kwa uzalishaji wa
- Majani chai
- Maua
- Maziwa - pamoja na kwamba mna ng'ombe wengi
n.k. yaani orodha ni ndefu, kwa kifupi tunazalisha vitu vyenye thamani nzuri ya hela na kuwaacha wazembe nyie mpambane na visivyokua na thamani ili tununue kutoka kwenu. La kushangaza kumbe hata mahindi yenyewe mumeshindwa kuzalisha ya kutosha, hivyo inabidi tukanunue kwengine.
Hizo pesa zote zinaishia kununua chakula ndo maana umaskini Kenya unaongezeka kwa kasi huku wengine umaskini unapungua! Pesa zenyewe za mkopo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nyie ni nchi ya ovyo kabisa, taifa lolote duniani lazima lihakikishe kwanza usalama wa chakula, sio kwa kununua bali kwa kuzalisha!
Hakuna usalama wa chakula unahakikishwa kwa kununua! Hao wanaokuuzia wakikataa kama sisi tulivyokataa tayari watu wanakufa kama wanavyokufa sa hizi huku mkiwabembeleza Zambia wawauzie mahindi ambayo pia hamjui mtayasafirisha vipi[emoji3][emoji3][emoji3]Usalama wa chakula tunahakikisha kwa kununua, hivyo tunazalisha mazao yenye hela halafu tunanunua mahindi na kufanya mengine makubwa.
ayaaaah ........mshamba umepanic.....dahh...[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji31] [emoji31] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole yakoKwamba sisi ni middle class ina maana hela tunazo nyingi za kununua mahindi kutoka nje, sio lazima tukuze kila zao kwenye ardhi yetu kame. Inabidi tutumie akili na kukuza mazao yenye kutuletea hela nyingi halafu tunanunua mazao kama mahindi.
Kwa kifupi, pamoja na kwamba mna liinchi likubwa lenye rotuba kila mahali tunawashinda kwa uzalishaji wa
- Majani chai
- Maua
- Maziwa - pamoja na kwamba mna ng'ombe wengi
n.k. yaani orodha ni ndefu, kwa kifupi tunazalisha vitu vyenye thamani nzuri ya hela na kuwaacha wazembe nyie mpambane na visivyokua na thamani ili tununue kutoka kwenu. La kushangaza kumbe hata mahindi yenyewe mumeshindwa kuzalisha ya kutosha, hivyo inabidi tukanunue kwengine.
Umekutana na wawapi?Wadanganyika wanafanya nini hapa. Kweli wengi wenu MNA roho za kichawi. Sijawahi kutana na watz kama sampuli ya JF