Wakenya watua Zambia kujadili ununuzi wa mahindi


Nimekuambia tatizo la logistic hapa na pale, lakini kipo kingi na tuanendelea kuagiza kote maana hela tunazo na uchumi wetu ni wa kati sio maskini kama nyie.
Nchi yenu hiyo kubwa ilhali kuna wakati mji mkuu Dodoma watu anakula viwavi kwa kukosa chakula, alawi mlifuata nini hata kama ni kujaza ghala, mbona muhangaike kuzunguka zungua kimya kimya mkisaka mahindi ilhali mna liinchi robo ya Afrika lenye rotuba kila maeneo kama sio laana ya uzembe.
 
Kama ni wewe kiongoz wa nchi unaweza kuruhusu mahindi yauzwe na wakati mwaka ujao kuna hatari ya njaa nchini mwako?
Katazo la PM ni sahihi kwa wakati sahihi
Viva TZ viva
 
tuanze na mfano .....hivi cha kwanza wewe una kipi cha maana hapo kenya zaidi ya kupiga branda branda mwisho wa siku unaingia na kujifungia kwenye kibanda unachoishi na babu yako nakuanza kulia lia kwenye nafsi yako.......

kiuhalisia wewe pesa huna ni muokota taka hapo mtaani ...wenye pesa ni viongozi wako wanao wahujumu katika masuala ya ardhi.....wewe ni msindikizaji..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hakuna sababu ya Tanzania Kuwa chini katika sekta yoyote ile ila ni ujuha tu wa baadhi ya watu tuliowahi kuwapa madaraka ndiyo walifanya hayo makosa.

Ila , nchi nyingi zitakuja kushtuka kuhusu ukuaji wa Tanzania wakati wa kipenga cha mwisho cha mchezo.
Kenya, tutawapatia kazi ngumu sana baada ya hii miaka 10 JPM. Na baada ya hapo ni kusonga tu mbele.
 

Aliyekwambia rutuba ya asili iko kila sehemu ni nani? Sisi tunarutubisha ardhi ili ituzalishie, nyie mnakomaa na kununua, Hizo habari za logistics ndo maana nkakwambia zinasabisha mfe njaa kila siku! Tena hayo mtakayonunua zambia ndo mtashindwa kabisa kuyapitisha!

BTW, hata huko Kenya kuna wale wanakula NYOKA na PANYA ili waishi, kisii pale wanatafuna panya kila siku!

Wengine hawa hapa Hungry Enough to Eat Rats...And snakes!!! | World Pulse
 
yaaani upo sawa.....kabisa hiyo ndiyo...picha halisi na ndiyo ukweli.....tuwaache tu kwa sasa wakenya wajifariji
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo kali.......
 

Hehehe nyie kwa uzembe wenu hamuwezi kurutubisha chochote, miti mnakata niliona pale Morogoro milimani maji hayatiririki tena.
Changamoto za logistics tunazimaliza taratibu na chakula kimeanza kuzagaa.
 

huo mkwara kama wa kuajiri madokta. Ha ha ha ha, wanapiga mkwara tu ili jirani na Kenya waone sawa wawaruhusu kuuza mahindi.
 
Hehehe nyie kwa uzembe wenu hamuwezi kurutubisha chochote, miti mnakata niliona pale Morogoro milimani maji hayatiririki tena.
Changamoto za logistics tunazimaliza taratibu na chakula kimeanza kuzagaa.
Hivi hata hujui kuwa kwa tabia yenu ya ovyo ya kukata miti ndo maana nchi yenu inakuwa jangwa? Ha ha haaaa usinichekeshe!

Suala la logistics za chakula amini usiamini litawasumbua mpaka mtakoma, wiki ya pili sasa hamjapata chakula na hamjui kitasafirije!

Halafu eti unasema hatuwezi kurutubisha nini? Hivi hujiulizi chakula tunachowalisha kila mwaka kinatoka wapi? Unadhani hatutoi mbolea kwa wakulima?

Kwa taarifa yako, kila mwaka serikali hutenga fungu kwa ajili ya pembejeo ( mbolea, mbegu, viuadudu na memngine) kwa ajili ya wakulima! Ndo maana tunapata chakua cha kuwalisha
 
acha uchangudoa.....wewe ni mwanaume kuwa real kwa uhalisia ......acha branda.....maskini wewe
 
kaka hauna swag wala mtililiko wa maongezi haueleweki...


stupid kenyan
 

Daaaah, sijui Kama atarudi tena
 
Tanzanians should now stop support the nonsense spoken by gvt officials it doesn't come in mind the gvt doesn't support farmers in any aspects throughout the cultivation process wonderful enough during harvesting season they come out and set out the market limitations....
.
Kwa mwendo huu east African free market will always be a dream
 
time will tell, waache waende wakanunue huko, Zambia hana mahindi ya kutosha kuuza nje, muda si mrefu Zambia nae atakuja kwetu.
 
Baada ya mwezi utawasikia wazambia wanalia njaa tena, tumewachoka. Hawa wakiwa na njaa wanakuja Tanzania kuomba kazi na kununua mahindi vijijini, leo hii wanawauzia Kenya?
 

Kha! Hivi unajua Tanzania ndio inaongoza kwa ukataji wa miti kiholela, deforestation kwa asilimia 67% wakati Kenya ipo inachezea kwenye 33%
Nyie hamjui chochote kinachohusiana na utunzaji wa mazingira na mali asili mnaishi kiujanja janja, hata ndovu kwenu wanawindwa mpaka ipo kipindi rais wenu alianikwa kwenye kongomano la dunia. Na ndio maana mnaliwa sana kwenye madini.

Halafu hilo la kutopata chakula sijui unalitoa wapi maana kufikia hapo tumenunua mahindi mengi maana hela tunazo na yanasafirishwa kote kote, na pia serikali imeingia ubia na wenye mashini ndogo ndogo vijijini ili kuhakikisha unga unawafikia watu wote.

Halafu nyie hata serikali iwape pembejeo za akila kwa jinsi mlivyo wavivu bado mnaishia kushindwa kukidhi hali ya chakula pamoja na liinchi lote hilo, hadi mnaishia kufuata mahindi Malawi na wengine kula viwavi.
 
Baada ya mwezi utawasikia wazambia wanalia njaa tena, tumewachoka. Hawa wakiwa na njaa wanakuja Tanzania kuomba kazi na kununua mahindi vijijini, leo hii wanawauzia Kenya?
hivi mimi mtanzania nikinunua mahindi zambia, nitapewa kibali cha kuuza kenya, lets now think out of the box, we can make money by feeding kenyans. sisi na sisi khaaa, akili ya biashara zero!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…