Wakenya wawili wamequalify kuenda Tokyo Olympics kukimbia mbio za 100 metres

Wakenya wawili wamequalify kuenda Tokyo Olympics kukimbia mbio za 100 metres

Kama hujawahi kufanya jambo na jirani yako ameweza basi mpongeze. Usiwe unasema kwamba ni jambo rahisi ilhali nyinyi mumeshindwa kulifanya. Kama ni jambo dogo mbona nyinyi mumeshindwa kulifanya?
Duh!! Kukimbia nalo ni jambo la kusifia!!?
Wanaokimbia kimbia hovyo ni maskini.
Tajiri kama sisi hawezi kujiingiza kwenye michezo ya animals.
 
Duh!! Kukimbia nalo ni jambo la kusifia!!?
Wanaokimbia kimbia hovyo ni maskini.
Tajiri kama sisi hawezi kujiingiza kwenye michezo ya animals.
"Tajiri"...🙆🏾‍♂️
Screenshot_20210616_152312.jpg
 
Miguu kama ya kangaroo Njaa mbaya sana.
🤣🤣🤣🤣
View attachment 1822672
Hiyo miguu iko insured popo wewe, hapo akiumia tu, hela atakayolipwa, wewe na generation yako yote, mwaeza kulishwa nayo ka miaka kumi hivi minimum, hapo hatujaongelea hela ya kuonekana uwanjani tu, na akishanda je, ashaua kenge! Toa kilio cha kine...e hapa! 🤣 🤣 🤣
 
Ugandans wako sawa,kuna vijana wamechukua medals kadhaa wa kule. Na hivyo ndivyo inafaa, EA kutambulika, ila kuna wenzetu wamebobea kula chipsi mayai, sijui tutawasaidia vipi? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Watu wanafanya hizi kitu za kupepea most ni ugly aisee, demu ziko kama slim sijui papuchi zao zilivyo.

Acheni tu watuwakilishe
 
Fani hii ya kufukuza upepo iko kwa watu wa maeneo ya ukame na wachunga mifugo.

Watu wa kula Bata ni No!
Ndo maana ugonjwa wa moyo umekithiri huko, kazi ni Kiepe, kitimoto, yai, bapa la K-vant na ushuzi mwingine hatari kwa afya. Wavunja marekodi ya dunia hatuhitaji huo utopolo sahi, wacha wazichange alafu wakistaafu wale bata vizuri hadi mjinyonge dadeq! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Ndo maana ugonjwa wa moyo umekithiri huko, kazi ni Kiepe, kitimoto, yai, bapa la K-vant na ushuzi mwingine hatari kwa afya. Wavunja marekodi ya dunia hatuhitaji huo utopolo sahi, wacha wazichange alafu wakistaafu wale bata vizuri hadi mjinyonge dadeq! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Umaskini tu 100m per 10s halafu utegemee demu wa show off never wazungu kutufananisha na nyani hawakosei[emoji23][emoji23]
 
Watu wanafanya hizi kitu za kupepea most ni ugly aisee, demu ziko kama slim sijui papuchi zao zilivyo.

Acheni tu watuwakilishe
Wewe tunakujua ni mwanachama wa CHAPUTA, ka mkao wa kulia... 😂 😂 😂 😂 Hata demu huna itakuwa, na kama unae, basi ni wale vikojozi wa Tandale au vile vichawi vya Gambosh! 😬😬😬
 
Wewe tunakujua ni mwanachama wa CHAPUTA, ka mkao wa kulia... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hata demu huna itakuwa, na kama unae, basi ni wale vikojozi wa Tandale au vichawi vya Gambosh! [emoji51][emoji51][emoji51]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lkn sio hao wakipimbiaji hata matiti yameflat, too skeleton unabinjua wapi?
Bora kupiga na sabuni
 
Back
Top Bottom