Uchaguzi 2020 Wakianguka Wapinzani wote katika ngazi ya Urais na Ubunge ni hatua nzuri ya kuchukua nchi mwaka 2025

Jelavic

Senior Member
Joined
Dec 28, 2016
Posts
183
Reaction score
380
Kwa tetesi nilizopata kwa Jimbo la mbeya ambalo tayari CCM Walikuwa na mtaji wa madiwani 16 waliopita bila kupingwa mpaka usiku huu tayari wameisha shinda katika kata tano ambazo majuimuisho ya matokeo yake yamekamilika, hii maanayake ni kuwa , CCM mpaka sasa wanamadiwani 21 katika ya 36 wa jiji zima la mbeya, kwa lugha nyingine, halmashauri ya jiji la mbeya iko CCM tayari.

Ilikuwa ni ngumu kwa upinzani kuchukua nchi kipindi ambacho rahisi kashaongoza miaka 5, na wanaosimamia uchaguzi ni katika TEUZI zake. Lakin kama mwaka huu upinzani wote wakakosa kisha wananchi wakaonja joto ya jiwe ya kukosa mawazo mbadala ya uwakilishi bungeni itaongeza hasira zaidi kwa wananchi uchaguzi ujao ambao hautakuwa tena na rahisi anayeshindana tofauti na sasa.

Wapinzani wanatakiwa waone kama hii no atua nzuri kielekea ushindi sabab kila giza linapozidi alfjri inakaribia. Kama wapinzani kushinda baadhi ya majimbo kunatoa nafasi kwa watawala kupata cha kusema kwa wananchi kwamba walikwamwisha kuleta maendeleo sabab ya wapinzani japo inajulikana ni ngumu kwa nchi yenyewe watu zaidi ya milion 60 kuwa na uwiano sawa wa maendeleo kwa kipindi kifupi cha miaka mitano kwanchi yenye bajeti ya mendeleo chini ya asilimia 40 kwa mwaka.

Kwaiyo ni hatua nzuri kwenu wapinzani. Hongereni kwa kushindwa kwasabab kesho mtashinda. Hongera sugu, hongera mbowe hongera msigwa hongera halima hongera heche kesho ni nzuri kuliko leo.

Naomba kuwakilisha.
 
Mpango hauanzii mwanzo kwenda mwisho ila mwisho kisha kutengeneza mwanzo
yaani "zinapangwa results zinazohitajika then actions ndo hufuatia ili kuhakikisha results zinapatikana na katika hili vikwazo vyovyote vya kufanikiwa kwa mkakati huainishwa ili kudeal nazo vizuri"..

Think deeper
 
Hahahahaaa... NECCM, PoliCCM, TBCCM... hauvioni hata kidogo?
Huku ni kujifariji bila kuangalia uhalisia wa historia. Chadema wakati inapigia kelele real issues zilizokuwa zinawagusa watu, ufisadi, ezembe serikalini, huduma mbovu, nk., chati yake ilikuwa inapanda na kuongeza idadi ya wabunge kila uchaguzi, pamoja na kuwepo kwa neccm, policcm, nk. Chama kijitafakari.
 
Kwa tetesi nilizopata kwa Jimbo la mbeya ambalo tayari CCM Walikuwa na mtaji wa madiwani 16 waliopita bila kupingwa mpaka usiku huu tayari wameisha shinda katika kata tano ambazo majuimuisho ya matokeo yake yamekamilika, hii maanayake ni kuwa , CCM mpaka sasa wanamadiwani 21 katika ya 36 wa jiji zima la mbeya, kwa lugha nyingine, halmashauri ya jiji la mbeya iko CCM tayari.

Ilikuwa ni ngumu kwa upinzani kuchukua nchi kipindi ambacho rahisi kashaongoza miaka 5, na wanaosimamia uchaguzi ni katika TEUZI zake. Lakin kama mwaka huu upinzani wote wakakosa kisha wananchi wakaonja joto ya jiwe ya kukosa mawazo mbadala ya uwakilishi bungeni itaongeza hasira zaidi kwa wananchi uchaguzi ujao ambao hautakuwa tena na rahisi anayeshindana tofauti na sasa.

Wapinzani wanatakiwa waone kama hii no atua nzuri kielekea ushindi sabab kila giza linapozidi alfjri inakaribia. Kama wapinzani kushinda baadhi ya majimbo kunatoa nafasi kwa watawala kupata cha kusema kwa wananchi kwamba walikwamwisha kuleta maendeleo sabab ya wapinzani japo inajulikana ni ngumu kwa nchi yenyewe watu zaidi ya milion 60 kuwa na uwiano sawa wa maendeleo kwa kipindi kifupi cha miaka mitano kwanchi yenye bajeti ya mendeleo chini ya asilimia 40 kwa mwaka.

Kwaiyo ni hatua nzuri kwenu wapinzani. Hongereni kwa kushindwa kwasabab kesho mtashinda. Hongera sugu, hongera mbowe hongera msigwa hongera halima hongera heche kesho ni nzuri kuliko leo.

Naomba kuwakilisha.

hongera kwa kushindwa!! hahahaha daaah
 
Siyo kwa NECCM.

sku mkijifunza kuskiliza wananchi na kutengeneza hoja zenye msingi ndo muanze kuongelea swala la kugombea uraisi, mkiendelea na hii tabia kazi rahisi tu unachukua unaweka kwa ccm, tunakutana tena mbelen miaka 60
 
[emoji23][emoji23]
Makamanda gwanda zishalowa tayari [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tatizo la wapinzani wa Tanzania ni kupinga kila kitu. Uchaguzi huu walikuwa wanapinga maendeleo ambayo wananchi wamekuwa wakiyalilia. Ndio maana wananchi wameendelea kuwakataa.
Mtihani uliopo Ni kuwa baada ya hapa tutafika mbele au ndio maisha yanakuwa yaleyale
 
Back
Top Bottom