Jelavic
Senior Member
- Dec 28, 2016
- 183
- 380
Kwa tetesi nilizopata kwa Jimbo la mbeya ambalo tayari CCM Walikuwa na mtaji wa madiwani 16 waliopita bila kupingwa mpaka usiku huu tayari wameisha shinda katika kata tano ambazo majuimuisho ya matokeo yake yamekamilika, hii maanayake ni kuwa , CCM mpaka sasa wanamadiwani 21 katika ya 36 wa jiji zima la mbeya, kwa lugha nyingine, halmashauri ya jiji la mbeya iko CCM tayari.
Ilikuwa ni ngumu kwa upinzani kuchukua nchi kipindi ambacho rahisi kashaongoza miaka 5, na wanaosimamia uchaguzi ni katika TEUZI zake. Lakin kama mwaka huu upinzani wote wakakosa kisha wananchi wakaonja joto ya jiwe ya kukosa mawazo mbadala ya uwakilishi bungeni itaongeza hasira zaidi kwa wananchi uchaguzi ujao ambao hautakuwa tena na rahisi anayeshindana tofauti na sasa.
Wapinzani wanatakiwa waone kama hii no atua nzuri kielekea ushindi sabab kila giza linapozidi alfjri inakaribia. Kama wapinzani kushinda baadhi ya majimbo kunatoa nafasi kwa watawala kupata cha kusema kwa wananchi kwamba walikwamwisha kuleta maendeleo sabab ya wapinzani japo inajulikana ni ngumu kwa nchi yenyewe watu zaidi ya milion 60 kuwa na uwiano sawa wa maendeleo kwa kipindi kifupi cha miaka mitano kwanchi yenye bajeti ya mendeleo chini ya asilimia 40 kwa mwaka.
Kwaiyo ni hatua nzuri kwenu wapinzani. Hongereni kwa kushindwa kwasabab kesho mtashinda. Hongera sugu, hongera mbowe hongera msigwa hongera halima hongera heche kesho ni nzuri kuliko leo.
Naomba kuwakilisha.