Kijakazi Chizi
Member
- Dec 9, 2025
- 89
- 213
“Inategemea na mtizamo…..kama hamna amani unawezaje kudai haki? Utazitambuaje haki zako unawezaje kutimiza wajibu kwa hiyo kimsingi na watu wamekuwa na mijadala mingi lakini unawasikiliza tunahitaji amani….” Wakili Amon Mpanju, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum.
Wengine swali letu ambalo hawataki kulijibu au kulielezea ni hili. Je inawezekana kuwa na Amani bila ya uwepo wa haki?Hawa wenzetu wanadhani kukosekana amani basi ni uwepo wa vita/mapigano tu...
Hivi hawa wapumbavu wanatuonaje? Hii amani fake mbona ipo miaka yote mbona hawajatupa hiyo haki? Kwa hiyo haki ya kupata uchaguzi huru na wa haki haujawahi kuwepo kwa sababu kulikuwa hakuna amani? Hawa watu washatuona sisi ni matako yao“Inategemea na mtizamo…..kama hamna amani unawezaje kudai haki? Utazitambuaje haki zako unawezaje kutimiza wajibu kwa hiyo kimsingi na watu wamekuwa na mijadala mingi lakini unawasikiliza tunahitaji amani….” Wakili Amon Mpanju, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum.
LOFA mwingine huyu!“Inategemea na mtizamo…..kama hamna amani unawezaje kudai haki? Utazitambuaje haki zako unawezaje kutimiza wajibu kwa hiyo kimsingi na watu wamekuwa na mijadala mingi lakini unawasikiliza tunahitaji amani….” Wakili Amon Mpanju, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum.
Kumbe ni chawa, takataka“Inategemea na mtizamo…..kama hamna amani unawezaje kudai haki? Utazitambuaje haki zako unawezaje kutimiza wajibu kwa hiyo kimsingi na watu wamekuwa na mijadala mingi lakini unawasikiliza tunahitaji amani….” Wakili Amon Mpanju, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum.
In this equation which is the independent variable?Wengine swali letu ambalo hawataki kulijibu au kulielezea ni hili. Je inawezekana kuwa na Amani bila ya uwepo wa haki?
Hakuna amani bila haki.Wengine swali letu ambalo hawataki kulijibu au kulielezea ni hili. Je inawezekana kuwa na Amani bila ya uwepo wa haki?