Wakili Amon Mpanju: Kama hakuna amani utawezaje kudai haki na kutimiza wajibu wako?

Wakili inaelekea hana ufahamu wa kutosha kuhusu amani. Amani huanzia moyoni, huko moyoni mwako unawezaje kuwa na amani kama unadhulumiwa? Watu wengi, pamoja na huyu wakili, hawaelewi maana ya amani. Wanatamka amani wakati wanamaanisha utulivu.
 
Minaona tuna utulivu, lakinu hatuna amani and unfortunately....my president never believes what she says, she is quite surprised to be taken at her word.....🤣
Yeah tuna utulivu tena wa nje ya nafsi lakini kwa ndani ya nafsi mtu/watu wanakosa hwana utulivu kwa kukosa amani kulikosababishwa na kunyimwa haki zao.
 
“Inategemea na mtizamo…..kama hamna amani unawezaje kudai haki? Utazitambuaje haki zako unawezaje kutimiza wajibu kwa hiyo kimsingi na watu wamekuwa na mijadala mingi lakini unawasikiliza tunahitaji amani….” Wakili Amon Mpanju, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum.

Naona Amani ni hali/ state / mazingira ya kutokuwa na waa yoyote. Ina maana pale mambo yote yapo kwenye mstari mnyofu amani Inatanda yenyewe automatic Wala hailetwi Kwa nguvu. Haki ni possession anazostahili mtu awe navyo katika hali yake.

Sasa kusema amani ni msingi wa kudai haki ni contradiction tayari. Kama Kuna amani maana yake Kila mtu anahaki yake tayari au misingi ya kupata haki ipo clear na huru.

Palipo na haki amani inajitengeneza yenyewe. Na palipo na amani tayari haki ipo Kila kitu kipo sawa Haina haha tena ya kupambana kudai haki hiyo.
 
Ajabu anaitwa Wakili, kwahio huyu akienda mahakamani anenda kudai Amani sio haki
Ajabu kabisa... Amani iliyopo mahakamani inatokana na haki iliyopo mahakamani.

Mahakamani haki ya kila mtu inatakiwa kuzingatiwa!!
 
“Inategemea na mtizamo…..kama hamna amani unawezaje kudai haki? Utazitambuaje haki zako unawezaje kutimiza wajibu kwa hiyo kimsingi na watu wamekuwa na mijadala mingi lakini unawasikiliza tunahitaji amani….” Wakili Amon Mpanju, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum.

Amani ni tunda la haki.
Unadai vipi haki wakati tayari una amani? Kitendo cha kuwa na amani tayari haki inakua imetendeka.

Ukiona sehemu hakuna amani jua ya kwamba haki za watu zimeminywa. Hivi watu hutumia nguvu kuzidai hizo haki.

Na ukiona mtu anadai haki jua anawajibika
 
Umeelezea vizuri sana.
 
Kama kumbukumbu zangu ni sahihi, mwaka ule wa bunge la katiba, aliwahi kukwambia "Napuuza hoja yako kama ninavyokupuuza wewe mwenyewe". Kwahali aliyonayo bwana Mpanju wabunge wengi waliotoka kambi ya CCM walipoga kelele kulaani kauli ya ndg Jussa, lakini ukweli usemwe, tumekuwa na taiga la hovyp sana la watu kujipendekeza kulamba viatu vya watawalana wenye mamlaka. Unaona mtu mzima mwenye nguvu na afya tele ambaye akiamua kufanya jambo linatendeka anajipendekeza hadi wewe ambaye hauna uhusiano wowote naye unaona aibu! Sijui tutalisaidia vipi hili taifa, sababu hivyo vinasaba vya kujinyong'onyesha kwa watu vinaenda hadi kwa watoto? Guys, kwa umri nilionao sihitaji kuwa tajiri, nahitaji maisha ya kawaida yanayoniwezeaha kutenda haki, kuishi kwa amani, kuchangamana na jamii bila bughudha.
 
“Inategemea na mtizamo…..kama hamna amani unawezaje kudai haki? Utazitambuaje haki zako unawezaje kutimiza wajibu kwa hiyo kimsingi na watu wamekuwa na mijadala mingi lakini unawasikiliza tunahitaji amani….” Wakili Amon Mpanju, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum.

Huyo ni wakili kilaza namna hio ndio maana serikali inashindwa kesi nyingi kabisa
 
“Inategemea na mtizamo…..kama hamna amani unawezaje kudai haki? Utazitambuaje haki zako unawezaje kutimiza wajibu kwa hiyo kimsingi na watu wamekuwa na mijadala mingi lakini unawasikiliza tunahitaji amani….” Wakili Amon Mpanju, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum.

Hadi amani inatoweka ujue kunahaki imenyang'anywa, iko hivyo asitupotoshe haki ikiwepo hamani huna haja ya kuitafuta itakuja yenyewe tu
 
..sijawahi kusikia machafuko ya kudai amani, bali nimewahi kusikia machafuko ya kudai haki.

..kwa maana hiyo ukosefu wa haki ni chanzo cha machafuko au ukosefu wa amani.
 
“Inategemea na mtizamo…..kama hamna amani unawezaje kudai haki? Utazitambuaje haki zako unawezaje kutimiza wajibu kwa hiyo kimsingi na watu wamekuwa na mijadala mingi lakini unawasikiliza tunahitaji amani….” Wakili Amon Mpanju, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum.

Haki ni zao la amani, ng'ombe hukokota mkokoteni na si mkokoteni kumkokota ng'ombe. Wakili wake ni wa kiccm si wa kisomi.
 
“Inategemea na mtizamo…..kama hamna amani unawezaje kudai haki? Utazitambuaje haki zako unawezaje kutimiza wajibu kwa hiyo kimsingi na watu wamekuwa na mijadala mingi lakini unawasikiliza tunahitaji amani….” Wakili Amon Mpanju, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum.

Mtu unajiita kijakazi chizi ,akili itoke wapi ?
 
Kuna shida gani kudai Haki kwenye nchi ambayo viongozi wake wanaiita ni kisiwa cha Amani?

Imekuwaje ionekane kudai Haki kunavuruga Amani. Kwani aina gani ya Amani tuliyo nayo hadi kudai Haki kuonekane kutavuruga hiyo Amani?
Mkuu, kwanza huu mjadala unaonyesha nchi yetu ilivyo nyuma kwa IQ za wananchi na elimu yetu ilivyo ya hovyo. Hatukupaswa kuwa na mjadala kama huu kabisa kwa sababu ni kitu ambacho kipo dhahiri. Siku zote haki ndiyo huleta amani. NB: huyu wakili siyo kosa lake, ni mfumo wetu wa elimu ukichanganya na njaa inayomfanya ajitoe ufahamu ili aonekana na wakubwa. It is a shock kwa mtu anayejiita wakili kutoa fyongo kama hii.
 
Back
Top Bottom