Wakili Boniface Mwabukusi: Hatutaruhusu Mzanzibari kufanya mambo ya ovyo kwenye Mali za Tanganyika


Ni kosa kikatiba kugombea ubunge kwa Chama fulani? Ni Mwabukusu ndiye kaleta DP World? Au Ni CCM imelilitea na inashindwa kulitetea kwa hoja.....
 
Bwana mdogo JPM ameshafariki na Mwakubusi ametoa ya moyoni. Utafanya nini dogo?
 
Huyu mwamba amekuja na uamsho wa ajabu Sana anashambulia bila kuchoka, safi Sana 👏👏👏👏👏👏👏
 

Mbona huo mnaouta mkataba una Utanganyika na Uzanbibari....huuoni mkuu...!
 

Huwaoni waliioleta coordinated attack dhidi ya Watanganyika? Huwaoni ambao wako behind na DP saga Mkuu....Watakao ifikisha nchi kwenye chaos ni hao waliotuletea hiyo DP
 
Zanzibar haina wenyewe lakini wazanzibari wapo
 
Vipi unauhusiano wowote na al marhom sheikh yahya husein
 
Makes sense.
Walioutengeneza mkataba DP World:

Rais :Mzanzibar
Waziri Ujenzi :Mzanzibar
Katibu Mkuu Ujenzi: Mzanzibar

Bandari za Zanzibar: haziuzwi!

The country(Tanganyika) has gone to the dogs!
Halmashauri kuu ya CCM ina Wazanzibar wanaoamua mambo ya Tanganyika ikiwemo hili la Bandari.
Wakati Zanzibar wanaingia IGA na Oman kwa mujibu wao hakuna kikao cha CCM kilikaa.

Pamoja na hayo IGA ya Zanzibar na Oman kuhusu Bandari ni Batili kwasababu kwa mujibu wa Katiba na sheria za kimataifa Zanzibar si sovereign state.

Nani alisaini kwa upande wa Zbar na kwa mamlka yapi.
Hapa haina maana watu hawataki Zbar wakafanya yao, hoja ni kuwa Zbar imepewa uhuru wa kukiuka katiba ya JMT, lakini katiba hiyo hiyo inaipa Zbar Uhuru wa kuingilia na kuamua mambo ya Tanganyika

Kwa mfano, Wabunge wa Zbar walikwenda Dubai na kurudi Dodoma kujadili Bandari. Walipoulizwa kwanini Zbar haipo katika mkataba wakasema hilo ni suala la Tanganyika. Hivi kama walijua kwanini walitumia kodi za Watanganyika kwenda kutalii na kuamua pale Dodoma jambo lisilo wahusu!!

Kule Zanzibar kuna kitu kinaitwa 'Kamati kuu maalumu' ya CCM Zanzibar inayoamua mambo ya Zanzibar.

Kuna tatizo kubwa sana na waliobeba Muungano sasa wamechoka! Rais SSH anasaidi sana kuitafuta Katiba Mpya itakyoweka mipaka na kuipa Tanganyika hadhi na haki na si kuwa Tenga la mizigo.

JokaKuu Tindo Pascal Mayalla Kalamu
 
Halafu inaonekana hata sheria hajui, Tanganyika haipooooo
Halafu hili jina hili tz hakuna majina ya hivi
kwa mfano, Kuna wizara ambazo sio za Muungano, na sio za Zanzibar. kwa maana hiyo, sio za Tanganyika??? anayekwambia Tanganyika haipo anakupotosha.


ndio maana mnakuwa na PM muongo muongo

YESU NI MASIHI
 
anachokitafta atakipata. soon atajua maana ya amri jeshi mkuu inamaana gani. ngoja aendelee kufurahisha genge. his days are numbered.
Amani ya nchi limeachwa Kwa watoto wa maskini.

Amiri Jeshi mkuu amesahau kuwa bandari ni sehemu muhimu sana.
Ugaidi ulitutikisa tukiwa na bandari zetu wenyewe Sasa subirini wageni wamiliki hizo bandari na viwanja vya ndege.
Silaha zitaingia na kupakuliwa Kwa siku mbili. Magaidi wanafadhiliwa siku zote na Marekani na matajiri wa kiarabu
 
Wewe subiri 2024 na 2025 ndio utajuwa mtaani ni nini?
 
Kulipwa malipo mpeleke takukuru,ukiwa umejipanga na fact za kisayansi na sio maneno kutoka kwenye hewa
Sasa mnashindwa nini kama mna ushahidi kuwa watu wamehongwa wameuza bandari mbona mnapiga kelele tu huku, mtu akiwa na mawazo tofauti na nyinyi kanunuliwa sasa mzee wa facts mbona hutumii hizo facts kuwapeleka mahakamani.
 
Huwaoni waliioleta coordinated attack dhidi ya Watanganyika? Huwaoni ambao wako behind na DP saga Mkuu....Watakao ifikisha nchi kwenye chaos ni hao waliotuletea hiyo DP
Huduma za bandari zikija kuboreshwa msiwe wa kwanza kulete unafiki wa kuanza kusifia. Ndio tulivyo watanzania.

Hakuna kitu kizuri kinachokubalika moja kwa moja mbele ya jamii. Huu ni ulimwengu wa kibiashara, wa kukamata fursa za kiuchumi zinazoibuka.

Huu ujinga wa utanganyika na utanzania unaibuka muda huu eti kisingizio ni suala la bandari, that is stupid argument,

Tuache Malawi na Zambia eti wahamie kule Angola wakati bandari ya kisasa yenye ufanisi wa kisayansi ipo Dar.

Hata kama tunatumiwa na watu basi na tuanza kujivua huu ujinga na kuanza kuiona dunia ya ushindani unaotukabili katika mtazamo halisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…