cassavaleaves
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,799
- 2,237
Kweli kwa Watanznia serikali ni mungu wa pili......tuna safari ndefu sana...sawa
sawa ila kuna kutangulia. amani ya nchi na usalama ni bora kuliko uhai wa mtu mmoja mjinga anaetaka sifa. hoja zake ashaambia selikali itazifanyia kazi.