Wakili Boniface Mwabukusi: Hatutaruhusu Mzanzibari kufanya mambo ya ovyo kwenye Mali za Tanganyika

Nani hajui kwamba Uwakili wa Poti Mwabukusi ni "cover "tu lakini yeye aliwahi kugombea ubunge pale Rungwe kwa tiketi ya Chama fulani cha Upinzani,suala la Bandari ni "siasa "ya Kumbomoa Samia Suluhu Hassan tu,hakuna umaslahi ya Tanganyika wala Zanzibar.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
"Mkataba unatakiwa ujisimamie na ujitetee,ila watu wanautetea bila "baseline" za data na facts kwenye mkataba huo,hakuna research wala data, mkataba hauna data ambazo ni measured kisayansi watu wanacheza na maneno tu ambayo hayapo kwenye mkataba"


Niko pamoja na wakili
 
anachokitafta atakipata. soon atajua maana ya amri jeshi mkuu inamaana gani. ngoja aendelee kufurahisha genge. his days are numbere

anachokitafta atakipata. soon atajua maana ya amri jeshi mkuu inamaana gani. ngoja aendelee kufurahisha genge. his days are numbered.
Una tatizo kichwani,usipolitibu sasa utakufa mjinga. Liwahi ulitibu mapema. Na kama unavyeti vya shule vichome havijakusaidii chochote.
 
Hoja alizozitoa mzalendo zinakuzidi uwezo ndiyo maana unaishia kubweka.
 
anachokitafta atakipata. soon atajua maana ya amri jeshi mkuu inamaana gani. ngoja aendelee kufurahisha genge. his days are numbered.
Ndo maana unafahamu amri jeshi mkuu, wewe sijui unatokea wp? Au ndo nyingi watoto wa "ULIPO TUPO" Bila kujali umefuata nini?
 
Kwa
Your browser is not able to display this video.

wenye mabundle ushahidi huo hapo.
 
Hivi wewe unataka kuleta mabadiliko gani kwa sauti zakubembelezana, badala ya kuambiana ukweli?

Halafu vile unaandika jambo usilolielewa unasema hata Lissu na Mbowe huwa wanakosoa lakini sio kwa lugha ya ukakasi, kumbe Lissu alikuwa anakosoa kwa lugha laini mpaka akapigwa zile risasi zaidi ya 16? na Mbowe akawa anakosoa kwa lugha laini mpaka akafungwa jela miezi sita?!

Ulivyokosa adabu kabisa, unawaweka hao wawili kundi moja na Zitto!
 
Nchi hii sasa kick tumekuwa mpaka katika mambo ya sensitive nchi hii, lakini atapata anachotafuta.
 
Acha undezi wewe , we unajua Zanzibar ila Tanganyika huijui
 
Alikuwepo ila kapokea malipo unadhani hizi kelele anapiga sababu mzalendo sana? pesa bwana hakuna asiyejuwa anafanya kazi aliyolipwa kama mzalendo ndio leo? siku za watu wenye roho wasiokuwa na uhuruma walikuwa wapi? Mama Samia huu upole utamponza nchi haiendi hivyo JPM alijuwa kuwanyosha hawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…