Wakili Boniface Mwabukusi: Hatutaruhusu Mzanzibari kufanya mambo ya ovyo kwenye Mali za Tanganyika

Siku za mwisho hizi...
 
Fisadi ni saa100 mvivu kwa kiwango cha lami ,watu wanaiba hata huku ikulu anawajibu stupid
 
Bahati mbaya HUWA TUNASHABIKIA kauli zenye kutugawa na KUCHOCHEA chuki lakini tukiulizana wangapi wana uraia pacha sina hakika kama watakuwa aa kutosha!!!

Huu UJINGA tunaouendekeza tutakuja kulia siku moja....

Nashauri MAMLAKA zifanye kazi zake!!! Wakitokea wajanja wachache wakatuchochea HIZO BANDARI, MADINI NA MBUGA ZA WALIMA vitakuwa shamba la BIBI kama vya KONGO!!! Bahati mbaya wasomi NDIYO WAMEKUWA SABABU YA KUHARIBIKA MAMBO....

Kuna haja gani ya kukosoa kwa MATUSI NA LUGHA ZA KEBEHI? LUGHA ZA KIFEDHULI NA KIBAGUZI???

TUKICHOCHEA HAYA TUTAMBUE tunaigawa nchi pamoja na damu zetu...

Watu waandike PETITION, WAANDAMANE AU KUANDAA MAKONGAMANO lakini kwanza TUILINDE NCHI YETU YA TANZANIA...

Wenzetu akiba lisu, nsala, na wengineo WANAWEZA KUPOKELEWA ULAYA NA KWINGINEKO!! Tujiulize sisi MASSES tukiivunja nchi tutakuwa na pakwenda???

HaTUONI MFANO WA WASOMALI NA WAETHOPIA KILA KUKICHA WANAFIA KWENYE MAKONTENA WAKISAFIRISHWA KWENDA AFRIKA KUSINI???

Watanzania tusiwe wajinga kiasi hiki!!!

these are coordinated attacks and whoever is behind these, I strongly believe has a handsome share benefiting for putting the country into chaos
 
Nakubaliana kabisa juu ya haki za RAIA kukosoa watawala na kulinda mali ya nchi yao LAKINI SIYO KWA UJINGA HUU...
 
Nakubaliana kabisa juu ya haki za RAIA kukosoa watawala na kulinda mali ya nchi yao LAKINI SIYO KWA UJINGA HUU...
Huwezi kusema unakubali kukosoa, halafu umfundishe mkosoaji lugha ya kutumia, kama vile yeye ni mtoto mdogo asiyejua anachozungumza..

Kama amevunja sheria polisi na mahakama zipo, lakini sio kumhukumu mwingine kafanya kosa kwa mapenzi yako binafsi.
 
Duu! Usiamini sana kuwa intimidation kila mara husawazisha mambo.
Usiamini sana kuwa mbinu uzisemazo ni chadema peke yao (hayati JPM alipofariki lissu alikuwa wa kwanza kusema, ni chadema walimtaarufu?)
Ukikubali kuwa CCM ni dhaifu, udhaifu huu huenda ndio unapelekea mikataba isiyoeleweka.
Usiamini sana kuwa CCM ndio jibu la milele kwenye taifa hili. (Mungu huinua na kushusha pia)
Ukombozi mwingine huja kwa 'deception'. Mtolewa aliingia kiningi kwa mbinu ya rushwa.
Kufa nako ni destiny. mtu kufa ni destiny. chama kufa ni destiny. muungano kufa yaweza kuwa destiny hasa kama mbegu ya kufa ilipandwa pale pale mwanzo muungano ulipoanza (SILITAMANI hili)
 
Wala asiwaze atakipata anachokitafuta watu kama huyu ndio wanatakiwa kuwa example
 
Wakiwekwa ndani wanaanza hashtag nyingi free sjui nani, free sjui yule ipo siku Mama atachoka tutarudi kulekule tulipotoka.
Wewe mpuuzi ndio mmemrudisha yule mburushi rostam kuja kusaini mikataba ya kuuza nchi akisaidiana na mama yako alafu utake tukae kimya nchi kuuzwa na wageni?
 
anachokitafta atakipata. soon atajua maana ya amri jeshi mkuu inamaana gani. ngoja aendelee kufurahisha genge. his days are numbered.
Nadhani waliolitafuta ni wanaotaka kupitisha mambo kinyemela kama vile wao ndio wana hatimiliki ya hii nchi na wana akili sana kuliko wengine....

Kama mzazi unaleta Bomu nyumbani watoto wachezee alafu likiripuka huwezi kumlaumu mtoto pekee bali wewe uliyeleta hilo Bomu ndio inapaswa uwajibike
 
Lakini uTanganyika na uZanzibari umetoka wapi hasa?.
Sisi sote ni Taifa moja. Kama kuna mapungufu tuyatumie kuwa wamoja zaidi kuliko kutaka kutengana.
Tanzania, Tanzania.
Nakupenda kwa moyo wote.
 
anachokitafta atakipata. soon atajua maana ya amri jeshi mkuu inamaana gani. ngoja aendelee kufurahisha genge. his days are numbered.
Weye ni mfano halisi wa watu ambao hulewa madaraka na kujisahau kuwa cheo ni dhamana. Ukilewa madaraka na ukiwa na uhakika wa usalama wako (siku hizi hauna guarantee) hukengeuka na kuanza kuchukua maamuzi ya ajabu na kufanya mambo ya ajabu yakiwemo hata ya kudanyanga wananchi waziwazi ( Kauli ya waziri mkuu Kassim Majaliwa kuwa raisi Magufuli "mzima yupo ofisini achapa kazi"), kumbe mtu kafariki kitambo.

Na pia weye ni mfano halisi wa watu ambao ndo waliofikisha nchi hii hapa ilipo na leo hudiriki waziwazi kufanya mambo ya ajabu kisha kujivika utashi wa shetwani kutisha watu.

Sidhani kama wakili Mwabukusi amekosea katika maneno yake.

Na sidhani kama katika jambo hili yupo peke yake.

Hivyo ujapo na maneno ya rejareja kama haya yako wapaswa kutafakari kwanza.

Demokrasia ni pamoja na kuwa tayari kusikiliza yale usotaka kuyasikia kwani hukuonyesha ukomavu wako kisiasa.

Hivyo, "watch out" mambo yamebadilika.
 
Safi sana malafyale Boniface Mwabukusi. Shikilia hapo hapo Kyala nkusi! Sebha nkulu! Allah Wakibar!
 
HIVI mtu au watu wakikosea na ikaonekana umekosea na ukakosolewa kwanini usikubali kuwa umekosea na ukufuta ulilopanga KUFANYA na yakaisha ukaanza kujipanga upya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…