Wakili Boniface Mwabukusi: Hatutaruhusu Mzanzibari kufanya mambo ya ovyo kwenye Mali za Tanganyika

Wewe mpuuzi ndio mmemrudisha yule mburushi rostam kuja kusaini mikataba ya kuuza nchi akisaidiana na mama yako alafu utake tukae kimya nchi kuuzwa na wageni?
Huo uwezo nautoa wapi wakumleta mtu au ndo hasira za mkizi kwani wapi kwenye huo mkataba walisema wanauza nchi.
 
Mchochezi tu ww huna lolote Tanganyika mliifuta nyinyi wenyewe kwa kuona kwamba sisi wazanzibari mtatutawala maisha na ndivyo ilivyokuwa ila Mungu akaleta kudra yake kaja Rais mzanzibari sasa mnapiga mayowe hilo la bandari ni sababu hao wabongo walioondoka walifanya makubwa lakini mliufyata, lakini sisi wazanzibari hayatuhusu hayo tunafurahi hasa kwamba sasa muwafaka wa Zanzibar utapatikana sisi tutamchukuwa mzanzibari mwezetu na nyinyi tutakupeni mtanganyika mwenzenu.
 
Mjinga fulani tu hv.
Mbeya na bahari wapi na wapi.
Anahangaika na mambo yasiyomhusu
 
Hakuna kupepesa macho MZEE Majaliwa haaminiki
 
Nawashauri tu watu wawe makini kwny kujadili la Bandari na wasivuke mipaka

akina Sheikh Farid wamekaa ndani miaka nane na waliokuwa wanawachochea hawakuwasaidia kitu
 
Hao wanaogopa
 
Huu muungano sio kabisa waziri mkuu ni wa muungano sijawahi ona anaenda kufungua miradi kule nzazibar na mawaziri ni wa muuungano lakini zanzibar hawahusiki na hawawezi kuzungumza chochote kuhusu zenjibar
 
Watanganyika wapi? Vilaza walio jaaa humu? Nchi ina vilasa sana hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…