BakiliMuluzi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2022
- 1,578
- 2,353
mtamfanya ninianachokitafta atakipata. soon atajua maana ya amri jeshi mkuu inamaana gani. ngoja aendelee kufurahisha genge. his days are numbered.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtamfanya ninianachokitafta atakipata. soon atajua maana ya amri jeshi mkuu inamaana gani. ngoja aendelee kufurahisha genge. his days are numbered.
Huo uwezo nautoa wapi wakumleta mtu au ndo hasira za mkizi kwani wapi kwenye huo mkataba walisema wanauza nchi.Wewe mpuuzi ndio mmemrudisha yule mburushi rostam kuja kusaini mikataba ya kuuza nchi akisaidiana na mama yako alafu utake tukae kimya nchi kuuzwa na wageni?
Mchochezi tu ww huna lolote Tanganyika mliifuta nyinyi wenyewe kwa kuona kwamba sisi wazanzibari mtatutawala maisha na ndivyo ilivyokuwa ila Mungu akaleta kudra yake kaja Rais mzanzibari sasa mnapiga mayowe hilo la bandari ni sababu hao wabongo walioondoka walifanya makubwa lakini mliufyata, lakini sisi wazanzibari hayatuhusu hayo tunafurahi hasa kwamba sasa muwafaka wa Zanzibar utapatikana sisi tutamchukuwa mzanzibari mwezetu na nyinyi tutakupeni mtanganyika mwenzenu.WAKILI BONIFACE MWABUKUSI;KAMA HAMTATUSIKILIZA,TUTAZUNGUMZA LUGHA MTAKAYOTUSIKILIZA,HATUTARUHUSU MZANZIBARI KUFANYA MAMBO YA HOVYO KWENYE MALI ZA TANGANYIKA.
"Wazee wangu wa Mbeya nipo hapa kuwahakikishia Tanganyika hailiwi tena,tutafuatilia hatua kwa hatua kwenye mikataba ya Mali zote za Tanganyika" Wakili Boniface Mwabukusi
"Mkataba unatakiwa ujisimamie na ujitetee,ila watu wanautetea bila "baseline" za data na facts kwenye mkataba huo,hakuna research wala data, mkataba hauna data ambazo ni measured kisayansi watu wanacheza na maneno tu ambayo hayapo kwenye mkataba" Wakili Boniface Mwabukusi
"Mkataba wa bandari ni batili, chochote kilichofanywa nje ya sheria na nje ya katiba kirekebishwe" Wakili Boniface Mwabukusi.
"Tanganyika ni nchi kama ilivyo Zanzibar,hatutaruhusu Mzanzibari kufanya mambo ya hovyo kwenye Mali za Tanganyika,kama ambavyo Mtanganyika hawezi kufanya mambo ya hovyo kwenye Mali za Zanzibar" Wakili Boniface Mwabukusi.
"Ndoa ya Tanganyika na Zanzibar ilikuwa ndoa ya utotoni sasa tumekua tunataka tuongee tukubaliane Mali za Tanganyika ziwe chini ya Mtanganyika na Mali za Zanzibar ziwe chini ya Mzanzibari" Wakili Boniface Mwabukusi.
"Waziri Mkuu alitudanganya kuhusu kifo cha Hayati Rais John Pombe Magufuli na hajawahi kuomba radhi,na leo anatudanganya kuhusu mkataba wa bandari,akae pembeni kumsaidia Rais" Wakili Boniface Mwabukusi
"Waziri Mkuu atujibu,sheria sura 449 na sheria sura 450 kuhusu Ulinzi wa rasilimali za nchi na kuhusu ushughulikiwaji wa vifungu vyenye utata walizifuata,je vipengele vya mkataba wa bandari vinaoana na vipengele hivi vya sheria yetu" Wakili Boniface Mwabukusi.
"Waziri Mkuu atujibu,kwa nini bunge linataka kubadili sheria sasa hivi ziendane na mkataba huu wa bandari" Wakili Boniface Mwabukusi
"Tuliibinafsisha Tanesco kwa Net Solution tulipata faida gani na leo Tanesco ya nani? Tulileta watu TRL wakaishia kubeba vichwa vya treni kurudi navyo India,tulifanya hivyo hivyo kwa NBC kuuzwa bei ya kutupwa,na leo mnatuambia mna muujiza kwenye kuibinafsisha bandari" Wakili Boniface Mwabukusi
"Kama mkataba ni sahihi,Waziri Mkuu anatuambiaje tukusanye maoni,nani anakusanya maoni,yaende wapi,ya nini? kama mkataba tayari umeshapita" Wakili Boniface Mwabukusi
"Wakati nchi yetu ina Kiongozi mwenye element za Uzalendo watu fulani hawakuonekana kabisa,sasa hivi wamerudi wanatukana hadi Mahakama, Watanzania angalieni walioko nyuma ya huu mkataba"Wakili Boniface Mwabukusi.
"Kila uovu juu ya Tanganyika tutaukabili kwa jina lake na kila muovu tutamkabili kwa jinsi anavyokuja,hii ni nchi yetu hatutamuchia mtu mwingine aitetee" Wakili Boniface Mwabukusi
"Mabadiliko ya sheria yanayokwenda kufanyika ni matusi kwa Tanganyika,narudia tena Tanganyika ni nchi kama ilivyo Zanzibar" Wakili Boniface Mwabukusi.
"Tunatoa onyo kwa Kiongozi mwingine kudhani anaweza kuingia mikataba ya kuuza nchi akabaki salama,wasituchezee" Wakili Boniface Mwabukusi
"Tunawaomba Watanzania wa dini zote,Waislamu, Wakristo,Wachungaji na Mashehe na WA jadi,tufunge tarehe 14,15,16 kuomba mapenzi ya Mungu yakafanyike kwa Tanganyika na Tanzania,ahsanteni sana"Wakili Boniface Mwabukusi
Mjinga fulani tu hv.WAKILI BONIFACE MWABUKUSI;KAMA HAMTATUSIKILIZA,TUTAZUNGUMZA LUGHA MTAKAYOTUSIKILIZA,HATUTARUHUSU MZANZIBARI KUFANYA MAMBO YA HOVYO KWENYE MALI ZA TANGANYIKA.

Coment za Mazezeta wa nchi hiiDuh!!
Coment kama hii ni wajinga kumekucha nini? Kumekucha ujinga?Kumekuchaaa.
Coment za WajingaAisee
Wanasemaga mbuyu ulianza kama mchicha!
Hakuna kupepesa macho MZEE Majaliwa haaminikiWakili Mwabukusi hapo amezidisha ukali wa maneno na matamshi yake, tena sana. Mpaka roho imenistuka dah!!!
Hata viongozi wa vyama vya upinzani kina Tundu Lissu, Freeman Mbowe, Zitto Zuberi Kabwe, Yuda Iskarioti (Prof Lipumba) hawajawahi kutoa matamshi makali kiasi hicho!
Sisi wengine kila kukicha tunaitoa kasoro Serikali, Mawaziri na CCM kwa maamuzi wanayofanya, tokea enzi za mwendazake. Kila siku tunavurugana nao mitandaoni... Ila hatujawahi kuthubutu kufikia kutoa maneno makali na yenye ukakasi kiasi hicho!
Mungu iongoze Tanzania, Mungu Ilinde Tanzania. #TanzaGiza!
Coment za watu serious. Vivaviva mwambukusi, viva tanganyika
Coment za wapumbavuHeii!!
Wacha inyeeshee..kubabeki
Mjinga weweanachokitafta atakipata. soon atajua maana ya amri jeshi mkuu inamaana gani. ngoja aendelee kufurahisha genge. his days are numbered.
Hao wanaogopaWakili Mwabukusi hapo amezidisha ukali wa maneno na matamshi yake, tena sana. Mpaka roho imenistuka dah!!!
Hata viongozi wa vyama vya upinzani kina Tundu Lissu, Freeman Mbowe, Zitto Zuberi Kabwe, Yuda Iskarioti (Prof Lipumba) hawajawahi kutoa matamshi makali kiasi hicho!
Sisi wengine kila kukicha tunaitoa kasoro Serikali, Mawaziri na CCM kwa maamuzi wanayofanya, tokea enzi za mwendazake. Kila siku tunavurugana nao mitandaoni... Ila hatujawahi kuthubutu kufikia kutoa maneno makali na yenye ukakasi kiasi hicho!
Mungu iongoze Tanzania, Mungu Ilinde Tanzania. #TanzaGiza!
Watanganyika wapi? Vilaza walio jaaa humu? Nchi ina vilasa sana hiiAmechelewa sana na hataweza kumzuia Mzanzibar mwingine yoyote yule endapo kama atajitokeza mwingine ambaye anataka kufanya hayo yaliyofanyika.
Suluhisho pekee la kudumu ni wananxhi wenyewe wa Tanzania kushikamana kwa pamoja na kupigania upatikanaji wa Katiba Mpya itakayotokana na mawazo au maoni yao wenyewe wananchi.
HayaComent za Wajinga
Mjinga mumeo! Pumbavu.Coment kama hii ni wajinga kumekucha nini? Kumekucha ujinga?