Wakili: Deni la Membe kwa Musiba liko palepale

Wakili: Deni la Membe kwa Musiba liko palepale

Kile kinachoenda kutokea baada ya Ndugu Bernard Membe kufariki dunia na kuacha kesi yake ya madai dhidi ya "mhuni Musiba" 'ikiheng hang' ni kuwa hivi sasa hakutakuwa na mtu shupavu wa kusimamia kidete kesi hiyo. Kinachofuata ni Musiba na genge lake kumlaghai wakili wa Marehemu Membe kwa vipande vya fedha ili naye 'alegee' kisha musiba atakata rufaa na ataenda kushinda rufaa hiyo kwa kuwa sasa Mhusika mkuu hayupo tena.

R.I.P marehemu Membe
 
Usishangae na mdaiwa naye kurest in peace soon tu
tutateua mwingine soon! Familia kubwa hii. Wakati huo huo tunajipanga ku counter shambulio kimila zaidi! Hatawamaliza kabla hatujamrestisha kimila! Kama kweli anahusika na hili! By the way B9 sio za kitoto ni mkwanja mrefu mno! Hatuwezi acha kamwe upotee! Never
 
Wakili naye njaa tu.Kwani angenyamaza kwanza mpaka msiba uishe ndiyo aseme angepoteza nini.
 
Dar es Salaam,

Jonathan Mndeme,wakili aliyesimamia kesi ya Madai aliyofungua Bernard Membe dhidi ya Cyprian Musiba amesema kwamba deni analodaiwa Musiba liko palepale na kwamba atapaswa kulipa.

Akihojiwa na na Azam media leo hii wakili huyo ametoa ufafanuzi kwamba Musiba atapaswa kulipa deni hilo kwa kuwa mahakama ilishateua Kampuni ili kupiga mnada mali za mdaiwa kulipia deni analodaiwa.

"Kinachosubiriwa ni familia kuteua msimamizi wa mirathi ili utararibu madai uendelee."Aliongeza.

Mara baada ya kutangazwa kifo cha Bernard Membe kumekuwepo na mawazo tofauti iwapo deni analodaiwa Musiba atapaswa kulipa au la kwani mdai amefariki hali iliyopelekea kituo cha Azam kupata ufafanuzi kutoka kwa wakili huyo.

Musiba anadaiwa deni la shilingi za Kitanzania bilioni 9.9 baada ya Mahakama kuu ya Tanzania, masijala kuu Dar Es Salaam kumtaka Cyrpian Musiba kumlipa Bernard Membe kiasi hicho cha pesa kwa kosa la kumchafua kupitia magazeti yake.

Chanzo;Azam News
Kwa ujumla hata Musiba aloge ukoo mzima deni bado lipo pale pale. Hata akijinyonga bado mali zinakwenda. Badala ya kuwa tuma Maaskofu angeenda mwenyewe kuomba msamaha. Warithi ndiyo wana tabu zaidi kuliko mwenye mali. Wanagombania mpaka cent 5 ya Marehemu.
 
Ungekuwa unaacha watu wenye akili timamu wajadili kwanza. Usipende kuharibu mada. Si wote wanaoifahamu hali yako.
Mkuu Bams habari yako? Mungu ameingilia kati? Mlipokua mnashusha threads za kumtukana na kumsengenya "mwendazake " wenye akili na maono walionya kua kifo hakina mwenyewe.

Yule yule mungu aliyemchukua mwendazake ndio huyo huyo kamchukua 'kachero mbobezi'

Hukumu ya musiba ni kiini macho, haikutekelezeka ndani ya siku 14 alizopewa na haitotekelezeka kamwe. Musiba hakumsingizia chochote Membe, kuna ushahidi hadi wa voice note... ila tu kwakua majangili yamemzidi musiba cheo na connections hasa badala ya serikali yao kurejea madarakani, wanatumia chance hyo kumnyanyasa.

Musiba hakuibuka kama uyoga... na hakika Mungu ameingilia kati... tusubiri tuone
 
tutateua mwingine soon! Familia kubwa hii. Wakati huo huo tunajipanga ku counter shambulio kimila zaidi! Hatawamaliza kabla hatujamrestisha kimila! Kama kweli anahusika na hili! By the way B9 sio za kitoto ni mkwanja mrefu mno! Hatuwezi acha kamwe upotee! Never
Me subiri niendelee kupambana kupata hela ya bundle
 
Dar es Salaam,

Jonathan Mndeme,wakili aliyesimamia kesi ya Madai aliyofungua Bernard Membe dhidi ya Cyprian Musiba amesema kwamba deni analodaiwa Musiba liko palepale na kwamba atapaswa kulipa.

Akihojiwa na na Azam media leo hii wakili huyo ametoa ufafanuzi kwamba Musiba atapaswa kulipa deni hilo kwa kuwa mahakama ilishateua Kampuni ili kupiga mnada mali za mdaiwa kulipia deni analodaiwa.

"Kinachosubiriwa ni familia kuteua msimamizi wa mirathi ili utararibu madai uendelee."Aliongeza.

Mara baada ya kutangazwa kifo cha Bernard Membe kumekuwepo na mawazo tofauti iwapo deni analodaiwa Musiba atapaswa kulipa au la kwani mdai amefariki hali iliyopelekea kituo cha Azam kupata ufafanuzi kutoka kwa wakili huyo.

Musiba anadaiwa deni la shilingi za Kitanzania bilioni 9.9 baada ya Mahakama kuu ya Tanzania, masijala kuu Dar Es Salaam kumtaka Cyrpian Musiba kumlipa Bernard Membe kiasi hicho cha pesa kwa kosa la kumchafua kupitia magazeti yake.

Chanzo;Azam News
Non Actio personalis moritur Cum persona(The right of Action does not die with the person) Ingekuwa maamuzi Bado kwa kuwa ilikuwa ni madai yafidia shauri lingeishia hapo lakini kwa kuwa ni decree ya mahakama tayari Hilo ni deni analodai marehemu.Msimamizi wa mirathi anawajibika kulidai.
 
Back
Top Bottom