Wakili: Deni la Membe kwa Musiba liko palepale

Wakili: Deni la Membe kwa Musiba liko palepale

Shauri la Membe ilikuwa madai ya fidia binafsi kutokana na kukashifiwa (compensation for injury of reputation). Hivyo, anayestahili fidia akifa na madai yake yanakufa. Kisheria tuna msemo (maxim) unasema “Actio personalis moritur cum persona” (“A personal action 🥸🥸dies with the person”). Kwa hiyo madai kama hayo hayawezi kuwa sehemu ya mirathi ya marehemu.🥸
Japo Mimi siyo mwanasheria, issue ya Membe ilishatolewa maamuzi na mahakama Hadi madalali walishateuliwa kwa akili ya utekelezaji wa hukumu Ile. Inakuwaje wewe kusema madai yamekufa na mdaiwa wakati hukumu ilishatoka? Ufafanuzi tafadhali!
 
Wadau nauliz deni la musiba vipi .ndo basi tena au aendelee kufukia mbuzi huko mwibara na kuku weusi njia panda...mAwakili imekaaje hii
 
Japo Mimi siyo mwanasheria, issue ya Membe ilishatolewa maamuzi na mahakama Hadi madalali walishateuliwa kwa akili ya utekelezaji wa hukumu Ile. Inakuwaje wewe kusema madai yamekufa na mdaiwa wakati hukumu ilishatoka? Ufafanuzi tafadhali!
Tusiandikie mate mkuu

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Bora mm niendelee kula bia na kitimoto hapa. Hao ccm watajuana wenyewe.
 
Back
Top Bottom