FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Sijaona anaehangaikia ajira. Mama kaanzisha mpaka BBT.Wasipoangalia wanaweza sababisha wananchi wakafikia huko maana kwa mwananchi wa kawaida hoi, tozo kupanda kwa bidhaa sokoni, mkulima pembejeo juu na wasomi hawana ajira, baada ya kutafuta njia za kumkomboa ndio wanazidi kudidimiza
Bandari imelenga kuongeza namba za kazi. Uwekezaji mbona ni mweingi kuloko wakati wowote na ajira ni nyingi kuliko wakati wowote.
Sema wale wezi walioachishwa bandarini, wataajiriwa na madudu haya:
Madudu yaliyoibuliwa bandarini na Rais Samia mbona hayasemwi?
Miezi michache baada ya kuapishwa Urais. Rais Samia Suluhu Hassan alivunja bodi ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Shirika la Meli kwa kuwaondoa wenyeviti wake baada ya kutoridhishwa na utendaji wao. Rais Samia alitangaza uamuzi huo Jumamosi Desemba 4, 2021 wakati wa uzinduzi wa gati namba...