Itakuwa ulikula hivyo vya waarabu kwani aisifuye mvua imemnyeaNasikia waarabu ukila hela yao halafu biashara ikashindikana huwa wana m'badala ambapo utatoa ulichonacho kama siyo mbele basi kinyume chake hivyo kama kuna waliokula nadhani wamenielewa
Kwa hiyo Makamu hakuwa sehemu ya serikali ya chaguo la Mungu? Na wakati akiwa mgombea mwenza alikuwa anajinadi mwenyewe?Makamu hatukuambiwa kuwa ni chaguo la Mungu au unayo kumbukumbu ?
Kwa hiyo Makamu hakuwa sehemu ya serikali ya chaguo la Mungu? Na wakati akiwa mgombea mwenza alikuwa anajinadi mwenyewe?
Amandla...
Sasa hivi kuna nini, unafiki tu."Hapo zamani kulikuwa na nidhamu ya woga ,kulikuwa na Simba wa yuda ukiongea anakupalula"
Kwa hiyo unachoyuambia ni kuwa Makamu wa Rais alikuwa kama boya tu? Na kama ilikuwa hivyo, kwa nini alikubali uteuzi wa mara ya pili? Na ni kuwa anatudanganya anapotuambia kuwa yeye na Magufuli walikuwa kitu kimoja na anaendeleza sera na ndoto zake?Swali
Makamu hatukuambiwa kuwa ni chaguo la Mungu au unayo kumbukumbu ?
Makamo ni chaguo la Magufuli , soma hapa
Magufuli amchagua Samia Suluhu, kuwa mgombea mwenza
Kuna viongozi wa dini wakiongozwa na yule Askofu wa Kisabato Mark Malekana walisema kwamba Magufuli ni chaguo la Mungu.
Udini wako unakufanya una akili sana, kwani hayo unayatoa wewe kinywani mwako, Mimi nimekuwekea maneno siyo yangu ni ya Askofu na Magufuli mwenyewe , mumeshikwa pabaya na u Slaa wako. Aliyemfananisha Magufuli na mungu ni Askofu KabudiππππKwa hiyo unachoyuambia ni kuwa Makamu wa Rais alikuwa kama boya tu? Na kama ilikuwa hivyo, kwa nini alikubali uteuzi wa mara ya pili? Na ni kuwa anatudanganya anapotuambia kuwa yeye na Magufuli walikuwa kitu kimoja na anaendeleza sera na ndoto zake?
Udini wako unakufanya kuwa mpuuzi maana huoni mapambio waliokuwa wakiimba mashehe kumtukuza hadi kumfananisha na Mungu!
Amandla...
Kabudi na yule Shehe Mkuu wa Dar. Wote walimfananisha na Mungu. Shida ni kuwa unachagua cha kukumbuka.Udini wako unakufanya una akili sana, kwani hayo unayatoa wewe kinywani mwako, Mimi nimekuwekea maneno siyo yangu ni ya Askofu na Magufuli mwenyewe , mumeshikwa pabaya na u Slaa wako. Aliyemfananisha Magufuli na mungu ni Askofu Kabudiππππ
Swali la msingi hapa ni je Samia Suluhu Hassan hakuwa sehemu ya serikali ya John Pombe Magufuli? Sio tuu, sehemu bali msaidizi wake Mkuu. Na yeye mwenyewe ametuhakikishia kuwa yeye na marehemu walikuwa kitu kimoja. Kutaka kumtoa katika maamuzi ya utawala wa JPM kwa kisingizio kuwa alisifiwa na maaskofu ni upumbavu mkubwa.Udini wako unakufanya una akili sana, kwani hayo unayatoa wewe kinywani mwako, Mimi nimekuwekea maneno siyo yangu ni ya Askofu na Magufuli mwenyewe , mumeshikwa pabaya na u Slaa wako. Aliyemfananisha Magufuli na mungu ni Askofu Kabudiππππ
Maamuzi gani ? Ya kuwaachia mapadri kula hapo bandarini ? Kitu hicho sahauni , hatutoruhusi tena kutumia dini kuifisidi nchi, baki na Padri wako Slaa kutoa povuSwali la msingi hapa ni je Samia Suluhu Hassan hakuwa sehemu ya serikali ya John Pombe Magufuli? Sio tuu, sehemu bali msaidizi wake Mkuu. Na yeye mwenyewe ametuhakikishia kuwa yeye na marehemu walikuwa kitu kimoja. Kutaka kumtoa katika maamuzi ya utawala wa JPM kwa kisingizio kuwa alisifiwa na maaskofu ni upumbavu mkubwa.
Amandla...
Shehe unamfananisha na Professor, Cheo cha ushehe ulimpa wewe kwenye University au kanisa lenu ?Kabudi na yule Shehe Mkuu wa Dar. Wote walimfananisha na Mungu. Shida ni kuwa unachagua cha kukumbuka.
Amandla...
Ni kupoteza muda wangu kujibu kama wewe. Kwaheri.Shehe unamfananisha na Professor, Cheo cha ushehe ulimpa wewe kwenye University au kanisa lenu ?
Ni kupoteza muda wangu kujibu kama wewe. Kwaheri.
Amandla...
Dr, Nashala anatakiwa aende saa tisa alfajiri (asubuhi) kama alivyo ambiwa ktk barua ya wito. Atakuta ofisi ya DCI imefungwa anarudi zake nyumbani kulala.
Hakuna kesi tena alishatii wito.
Kumbe huyo Fido dido ni janga kabisa,Kama nilivyoeleza JF huwa ina watu wanaandika mambo na kuelezea uhusiano wa watu.
Tibaijuka ni mnufaika mkubwa wa misaada ya Karamagi, kwenye uwekezaji wake huko Kagera.
Nshala alikuwa mtetezi wa Tibaijuka kutokana na urafiki wao, kwenye kamati ya maadili ya serikali kwenye sakata la IPTL (escrow). Inadaiwa Tibaijuka aliomba hela za Rugemalila akiwa waziri, zile billion alizopata.
TICTS nayo kumbe bado ipo ipo bandarini.
Kwa hivyo ni rahisi kuona huu urafiki wa majizi na yanapigania nini.
Eeh sabaya kwani hatunye? Mbona bado yupo au nimepitwa πππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Acha kibri cha uzima ndugu. Walikuwepo watu katiri zaidi yako akina Sabaya
Kwa tanzania bado sana, ingawa maadui wanajaribu sana, lakini baaaaddoooo sanaaaa,Ogopa watu wasije wakachukua sheria ya torati ya jino kwa jino, jicho kwa jicho. Kimya kimya upande mmoja ikageuka kimyakimya na upande wa pili!
Sahihi mkuu βDP World....
Tatizo sio maoni kuhusu mkataba wa bandari Ila matamshi makali yenye lugha isiyo nzuri.