Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala(PhD) aitwa Polisi kutokana na maoni yake kuhusu bandari

Nasikia waarabu ukila hela yao halafu biashara ikashindikana huwa wana m'badala ambapo utatoa ulichonacho kama siyo mbele basi kinyume chake hivyo kama kuna waliokula nadhani wamenielewa
Itakuwa ulikula hivyo vya waarabu kwani aisifuye mvua imemnyea
 
Kwa hiyo Makamu hakuwa sehemu ya serikali ya chaguo la Mungu? Na wakati akiwa mgombea mwenza alikuwa anajinadi mwenyewe?

Amandla...

Swali

Makamu hatukuambiwa kuwa ni chaguo la Mungu au unayo kumbukumbu ?

Makamo ni chaguo la Magufuli , soma hapa

Magufuli amchagua Samia Suluhu, kuwa mgombea mwenza

Kuna viongozi wa dini wakiongozwa na yule Askofu wa Kisabato Mark Malekana walisema kwamba Magufuli ni chaguo la Mungu.
 
Kama mkataba ni kwa manufaa ya Watanzania kwa nini watu watishiwe maisha? Kwa nini vitu havifanyiki wazi kwa manufaa ya Watanzania na vizazi vijavyo zaidi ya kutishiana maisha kwa mali za Watanzania...
 
Swali

Makamu hatukuambiwa kuwa ni chaguo la Mungu au unayo kumbukumbu ?

Makamo ni chaguo la Magufuli , soma hapa

Magufuli amchagua Samia Suluhu, kuwa mgombea mwenza

Kuna viongozi wa dini wakiongozwa na yule Askofu wa Kisabato Mark Malekana walisema kwamba Magufuli ni chaguo la Mungu.
Kwa hiyo unachoyuambia ni kuwa Makamu wa Rais alikuwa kama boya tu? Na kama ilikuwa hivyo, kwa nini alikubali uteuzi wa mara ya pili? Na ni kuwa anatudanganya anapotuambia kuwa yeye na Magufuli walikuwa kitu kimoja na anaendeleza sera na ndoto zake?
Udini wako unakufanya kuwa mpuuzi maana huoni mapambio waliokuwa wakiimba mashehe kumtukuza hadi kumfananisha na Mungu!

Udini wako unakufanya una akili sana, kwani hayo unayatoa wewe kinywani mwako, Mimi nimekuwekea maneno siyo yangu ni ya Askofu na Magufuli mwenyewe , mumeshikwa pabaya na u Slaa wako. Aliyemfananisha Magufuli na mungu ni Askofu Kabudi😜😜😜😜
 
Kabudi na yule Shehe Mkuu wa Dar. Wote walimfananisha na Mungu. Shida ni kuwa unachagua cha kukumbuka.

Swali la msingi hapa ni je Samia Suluhu Hassan hakuwa sehemu ya serikali ya John Pombe Magufuli? Sio tuu, sehemu bali msaidizi wake Mkuu. Na yeye mwenyewe ametuhakikishia kuwa yeye na marehemu walikuwa kitu kimoja. Kutaka kumtoa katika maamuzi ya utawala wa JPM kwa kisingizio kuwa alisifiwa na maaskofu ni upumbavu mkubwa.

Maamuzi gani ? Ya kuwaachia mapadri kula hapo bandarini ? Kitu hicho sahauni , hatutoruhusi tena kutumia dini kuifisidi nchi, baki na Padri wako Slaa kutoa povu
 
Kabudi na yule Shehe Mkuu wa Dar. Wote walimfananisha na Mungu. Shida ni kuwa unachagua cha kukumbuka.

Amandla...
Shehe unamfananisha na Professor, Cheo cha ushehe ulimpa wewe kwenye University au kanisa lenu ?
 
Dr, Nashala anatakiwa aende saa tisa alfajiri (asubuhi) kama alivyo ambiwa ktk barua ya wito. Atakuta ofisi ya DCI imefungwa anarudi zake nyumbani kulala.
Hakuna kesi tena alishatii wito.

Nilidhani nimeona peke yangu, mkuu imekaaje hiyo au dr. Nshala atasema nimeshindwa kuja sababu amueleweki maana wanasheria hawachelewi.... Hahahhaa
 
Kama nilivyoeleza JF huwa ina watu wanaandika mambo na kuelezea uhusiano wa watu.

Tibaijuka ni mnufaika mkubwa wa misaada ya Karamagi, kwenye uwekezaji wake huko Kagera.

Nshala alikuwa mtetezi wa Tibaijuka kutokana na urafiki wao, kwenye kamati ya maadili ya serikali kwenye sakata la IPTL (escrow). Inadaiwa Tibaijuka aliomba hela za Rugemalila akiwa waziri, zile billion alizopata.

TICTS nayo kumbe bado ipo ipo bandarini.

Kwa hivyo ni rahisi kuona huu urafiki wa majizi na yanapigania nini.
Kumbe huyo Fido dido ni janga kabisa,
Kuna jamaa aliwahi kusema
Kama umekosa porini ndio utapata kichakani?
 
Back
Top Bottom