Maoni ya uhuru
Watu wanaosifia na kutetea mkataba ni sawa,wanaokosoa na kusema mkataba mbovu wanatishiwa maisha na kushtakiwa.
Rais Samia huu ni udikteta,watu wasilazimishwe kusifia na kupongeza,kazi hiyo waachie chawa wa Mama na chawa wa CCM.
Raisi hivi punde ulionekana ukikosoa utendaji wa serikali kuhusu malipo ya ndege hadi ukatamaka maneno "stupid" je nawe utaitwa Polisi?!!
kataka mwenyewe, kupwayuka bila breki ni kosaNa juzi katishiwa maisha huyu nshala
Mshauri mwambie hv Waluhya wa Kenya wanasema 'vindu vichechaga' manake mambo hubadilikaHuyu DCI tumshauri au tumuache?
Saa 09:00 AsubuhiBarua hiyo ya wito kutoka ofisi ya DCI inamtaka Dkt. Nshala kufika kwa ajili ya mahojiano
Ofisi hii inafanya uchunguzi kuhusiana na kauli ulizotoa tarehe 03 Julai 2023 na kisha kusambazwa katika vyombo vya habari na mitandao mbalimbali ya kijamii kuhusiana na mkataba wa uwekezaji katika bandari ya Dar es Salaam
Ili tuwe kukamilisha uchunguzi wetu, ofisi hii inakutaka ufike ofisi ya Mkuu wa Upelelezi wa makosa ya Jinai Kanda Maalum Dar es Salaam tarehe 11 Julai, 2023 saa 09:00 asubuhi bila kukosa kwa ajili ya mahojiano.
Pia soma:
Rugemeleza Nshala: Tutafungua Kesi kupinga Mkataba wa DP World na Tanzania
Dkt. Rugemeleza Nshala: Nimetishiwa maisha baada ya kutoa maoni kuhusu mkataba wa Bandari na DP World
Na waarabu ni chanda na pete na nani? Maana kuna mazingaombwe yetu ya kiafrikaKaramagi na Tibaijuka ni chanda na pete.
Tibaijuka na Nshala ni chanda na pete.
Karamagi = Tibaijuka = Nshala
Hakuna cha uzalendo wowote zaidi ya kikundi cha mafisadi tu hapo.