Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Huyu DCI si yule kikojozi kwenye kesi ya Mbowe! Samia nyota inafifia akimaliza kwa Nshala amuite na Shivji.Nikadhani wanamuita atoe taarifa kuhusu kutishiwa uhai wake, kumbe wanamuita akatoe maelezo kwanini alitoa maoni yake, kwani DCI hajawahi kuisoma Katiba ya JMT 1977?
Kwa hii taarifa, hapa ndio unapata picha kabisa, ni wakina nani waliomtishia maisha Dr. Nshalla, hivi vitisho vyao vimepitwa na wakati, werevu hawawezi kuona uozo mahali halafu waufumbie macho kizembe, hiyo ni dhambi.