Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala(PhD) aitwa Polisi kutokana na maoni yake kuhusu bandari

Huyu DCI si yule kikojozi kwenye kesi ya Mbowe! Samia nyota inafifia akimaliza kwa Nshala amuite na Shivji.
 
Wamefanya vizuri tena sana, watu wachache hawawezi kusambaza chuki, kuleta mgawanyiko wa nchi kwa sababu zao binafsi. Zile siyo lugha ya mtu mwenye akili timamu kwanza apimwe akili. Utafikiri hajalelewa na wazazi, huwezi kumtukana mwanamke mtu mzima kiasi kile achilia mbali ndiyo eais wa nchi yetu. Vyombo vya ulinzi na usalama visicheke na watu km hao hata kidogo. Bado yule mnyakyusa Mwabukusi. Km wana stress zao watafute namna ya kuzimaliza huko huko wasitumie mipango mizuri ya serikali.
 
Uwe wa kwanza kujitokeza na utuambie kituo
 
Jitokeze na wewe umtukane rais wa nchi halafu uachwe hivi hivi, maoni ni kumtukana rais? Yule anatumiwa na Karamagi pamoja na Tibaijuka ingawa wanavaa uniform za CCM na mKaramagi ni m/kiti wa CCM mkoa wa Kagera
 
Nadhani wanaenda kumhoji pia kuhusu kutishwa kuuawa
 
Tulia...andika kwa ufasaha, unakimbilia wapi?
 
Wakili inawezekana alikuwa na nia njema ya kufikisha ujumbe ila uchaguzi wake wa maneno haukuwa mzuri, aliongea akiwa emotional akapoteza rationality. Uhuru wa kutoa maoni una misingi na mipaka yake sio kufyatuka tu
Ebu iweke hiyo mipaka na utuambie sheria inayoweka hiyo mipaka.

Kama wanaona ana jinai,wampeleke mahakamani ili ujinga wao umaonekane wazi, siyo kumtishia.
 
Ukiwa una akili timamu utatoa maoni yako kuhusiana na content ya maoni ya Dr Nshala. Ukiwa empty brain, utaacha content na kuanza kubwabwaja eti huyu ni rafiki sijui ya nani na nani. Hopeless kabisa.
 
"Hapo zamani kulikuwa na nidhamu ya woga ,kulikuwa na Simba wa yuda ukiongea anakupalula"

by Samia Saluhu

USSR

Nidhamu ya uwoga ilitengenezwa back in the day na Nyerere himself , hata alipoondoka madarakani alitoa kauli za kukemea hiki kitu.
Miaka ya hapa kati imekuwa branded, inaitwa uzalendo na wanasiasa.

Hii kitu ndio imetengeneza kizazi cha hovyo
 

Hili si kosa la rais, ni ccm wenyewe. Walitengeza uhuru nao wanautumia.
Hii kitu ndio imetengeza unafki kwenye jamii , matokeo yake hadi kwenye uongozi tunaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…