Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Naona nguvu kubwa inatumika kutetea uuzwaji wa nchi kwa mwarabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ogopa watu wasije wakachukua sheria ya torati ya jino kwa jino, jicho kwa jicho. Kimya kimya upande mmoja ikageuka kimyakimya na upande wa pili!Wanaharakati hawa wakati wa ule walimalizwa kimya kimya, huu uwazi unaharibu tu, ni mwendo wa kimya kimya tu
Usifananishe mwanadamu na Yesu kristo,Yesu akuwahi kuwa mkorofi wala hajawahi kumparua mtu ila aliwahi kumponya mtu na kuleta ukombozi kwa wanadamu wote..Tubu hiyo dhambi acha kiburi cha uzima..wewee ni kama ua tu."Hapo zamani kulikuwa na nidhamu ya woga ,kulikuwa na Simba wa yuda ukiongea anakupalula"
by Samia Saluhu
USSR
Tumerudi kule kule😆😆Baada ya kuuza Bandari za Tanganyika kwa Waarabu mmeanza kusema ni vita ya Kiuchumi.
Acha kibri cha uzima ndugu. Walikuwepo watu katiri zaidi yako akina SabayaWanaharakati hawa wakati wa ule walimalizwa kimya kimya, huu uwazi unaharibu tu, ni mwendo wa kimya kimya tu
Ngoja tusubiri mahakama. Kesi za uchochezi zilimshinda maguZipo laws of natural justice ambazo sio lazima ziwe coined na katiba yoyote ila kila mmoja mwenye akili timamu anapaswa kufahamu lakini pia tuna tamaduni zetu ambazo ndio msingi na uhai wa taifa letu. Wakili anapayuka sana mpaka kupoteza stara licha ya kujenga hoja zinazoeleweka. Anafoka as if anawafokea watoto wake, mamlaka huwa zinalindwa na kuheshimiwa duniani kote sio busura kwa mtu msomi kama huyo jamaa kutoa kauli zingine kama kejeli, aadhibiwe.
Jibuni hoja, sio viojaWamefanya vizuri tena sana, watu wachache hawawezi kusambaza chuki, kuleta mgawanyiko wa nchi kwa sababu zao binafsi. Zile siyo lugha ya mtu mwenye akili timamu kwanza apimwe akili. Utafikiri hajalelewa na wazazi, huwezi kumtukana mwanamke mtu mzima kiasi kile achilia mbali ndiyo eais wa nchi yetu. Vyombo vya ulinzi na usalama visicheke na watu km hao hata kidogo. Bado yule mnyakyusa Mwabukusi. Km wana stress zao watafute namna ya kuzimaliza huko huko wasitumie mipango mizuri ya serikali.
Kama nilivyoeleza JF huwa ina watu wanaandika mambo na kuelezea uhusiano wa watu.Kwanini umechelewa sana kutujuza hili?
Inasikitisha sana.Tumerudi kule kule😆😆
Kwa hiyo unatushaurije?."Hapo zamani kulikuwa na nidhamu ya woga ,kulikuwa na Simba wa yuda ukiongea anakupalula"
by Samia Saluhu
USSR
Kama matamshi yapi?DP World....
Tatizo sio maoni kuhusu mkataba wa bandari Ila matamshi makali yenye lugha isiyo nzuri.
TLS na Amnesty wanasemaje?
Mkosa maono ndio mwamuzi wa uhai wa Watanganyika..
Tutafika tu
Shida ni kuwa upumbavu hauna dawa,tungekupeleka kwenye matibabu.Karamagi na Tibaijuka ni chanda na pete.
Tibaijuka na Nshala ni chanda na pete.
Karamagi = Tibaijuka = Nshala
Hakuna cha uzalendo wowote zaidi ya kikundi cha mafisadi tu hapo.
Usifananishe mwanadamu na Yesu kristo,Yesu akuwahi kuwa mkorofi wala hajawahi kumparua mtu ila aliwahi kumponya mtu na kuleta ukombozi kwa wanadamu wote..Tubu hiyo dhambi acha kiburi cha uzima..wewee ni kama ua tu.
Weweeee! Mipaka hiyo kaiweka nani? Mbona hamkumkamata mama yenu alipoita wenzake stupid! Watanzania wengine wajingaaaa, hasa wewe!Wakili inawezekana alikuwa na nia njema ya kufikisha ujumbe ila uchaguzi wake wa maneno haukuwa mzuri, aliongea akiwa emotional akapoteza rationality. Uhuru wa kutoa maoni una misingi na mipaka yake sio kufyatuka tu
Namshauri mwanasheria kumwambia neno moja ,wampeleke mahakamani, ili serikali ichambuliwe kama karanga kama ile kesi ya mboweBarua hiyo ya wito kutoka ofisi ya DCI inamtaka Dkt. Nshala kufika kwa ajili ya mahojiano
Ofisi hii inafanya uchunguzi kuhusiana na kauli ulizotoa tarehe 03 Julai 2023 na kisha kusambazwa katika vyombo vya habari na mitandao mbalimbali ya kijamii kuhusiana na mkataba wa uwekezaji katika bandari ya Dar es Salaam
Ili tuwe kukamilisha uchunguzi wetu, ofisi hii inakutaka ufike ofisi ya Mkuu wa Upelelezi wa makosa ya Jinai Kanda Maalum Dar es Salaam tarehe 11 Julai, 2023 saa 09:00 asubuhi bila kukosa kwa ajili ya mahojiano.
Pia soma:
Rugemeleza Nshala: Tutafungua Kesi kupinga Mkataba wa DP World na Tanzania
Dkt. Rugemeleza Nshala: Nimetishiwa maisha baada ya kutoa maoni kuhusu mkataba wa Bandari na DP World
Waliokuwa waajiriwa TICTS awapo kwenye payroll ya TPA mpaka leo. Bado wanapokea mishahara yao kupitia TICTS ina maana yupo hapo kama employment agency anaelipwa na TPA na yeye kuwalipa wafanyakazi wake.Shida ni kuwa upumbavu hauna dawa,tungekupeleka kwenye matibabu.