Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala(PhD) aitwa Polisi kutokana na maoni yake kuhusu bandari

"Hapo zamani kulikuwa na nidhamu ya woga ,kulikuwa na Simba wa yuda ukiongea anakupalula"

by Samia Saluhu

USSR
Usifananishe mwanadamu na Yesu kristo,Yesu akuwahi kuwa mkorofi wala hajawahi kumparua mtu ila aliwahi kumponya mtu na kuleta ukombozi kwa wanadamu wote..Tubu hiyo dhambi acha kiburi cha uzima..wewee ni kama ua tu.
 
Ngoja tusubiri mahakama. Kesi za uchochezi zilimshinda magu
 
Jibuni hoja, sio vioja
 
Mmmm makubwa anayepiga yowe ndiye anafuatiliwa ila mwizi anazidi kutimua mbio
 
TLS na Amnesty wanasemaje?
Mkosa maono ndio mwamuzi wa uhai wa Watanganyika..
Tutafika tu
 
Kwanini umechelewa sana kutujuza hili?
Kama nilivyoeleza JF huwa ina watu wanaandika mambo na kuelezea uhusiano wa watu.

Tibaijuka ni mnufaika mkubwa wa misaada ya Karamagi, kwenye uwekezaji wake huko Kagera.

Nshala alikuwa mtetezi wa Tibaijuka kutokana na urafiki wao, kwenye kamati ya maadili ya serikali kwenye sakata la IPTL (escrow). Inadaiwa Tibaijuka aliomba hela za Rugemalila akiwa waziri, zile billion alizopata.

TICTS nayo kumbe bado ipo ipo bandarini.

Kwa hivyo ni rahisi kuona huu urafiki wa majizi na yanapigania nini.
 
TLS na Amnesty wanasemaje?
Mkosa maono ndio mwamuzi wa uhai wa Watanganyika..
Tutafika tu

Shida yenu nyinyi wagalatia mkitaka tuongozwe na mtu ambae alikuwa tayar ameshajihakikishia kuongoza hii nchi milelel ndie aliekawa kwenu ana maono,

Samia mtakuja kumwelewa baadae sana,hakuna muda wa kupoteza Wacha kazi iendelee
 
Usifananishe mwanadamu na Yesu kristo,Yesu akuwahi kuwa mkorofi wala hajawahi kumparua mtu ila aliwahi kumponya mtu na kuleta ukombozi kwa wanadamu wote..Tubu hiyo dhambi acha kiburi cha uzima..wewee ni kama ua tu.

Sasa kama yesu alikuwa mpole,kilichowafanya nyinyi mumchape bakora na kumtundika pale msalabani kitu gan??

Roho mbaya sana nyinyi,yaani yesu mungu wenu amewaumba kama mnavyosema mnathubutu vip kumcharanga bakora??
 
Wakili inawezekana alikuwa na nia njema ya kufikisha ujumbe ila uchaguzi wake wa maneno haukuwa mzuri, aliongea akiwa emotional akapoteza rationality. Uhuru wa kutoa maoni una misingi na mipaka yake sio kufyatuka tu
Weweeee! Mipaka hiyo kaiweka nani? Mbona hamkumkamata mama yenu alipoita wenzake stupid! Watanzania wengine wajingaaaa, hasa wewe!
 
Namshauri mwanasheria kumwambia neno moja ,wampeleke mahakamani, ili serikali ichambuliwe kama karanga kama ile kesi ya mbowe
 
Shida ni kuwa upumbavu hauna dawa,tungekupeleka kwenye matibabu.
Waliokuwa waajiriwa TICTS awapo kwenye payroll ya TPA mpaka leo. Bado wanapokea mishahara yao kupitia TICTS ina maana yupo hapo kama employment agency anaelipwa na TPA na yeye kuwalipa wafanyakazi wake.

Ndio sababu ya TICTS kuandikiwa barua mikataba ya waliokuwa waajiriwa wake iende kwa Adani Group (nyuma yake nako kutakuwa na fisadi mwingine).

Kila kitu huwa kinapita humu humu JF ni aina ya info tu mtu unazoamua kusoma.
Watu kama nyie uwa mnajikita kusoma ujinga, hamna muda to sift through information kupata picha ya kinachoendelea na mpo tayari kuongopewa ata mnapojua mnaambiwa uongo na hao wanasheria uchwara.

DPW akija ndio mwisho kamili wa ulaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…