GE2025 Wakili Fatma Karume asema CHADEMA haiwezi kuzuia UCHAGUZI

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Unafikiri atasemaje, system imemlea, imemfanyia kila kitu, babu na baba wanakula nchi
 
Karume yupo sahihi. Ilala CCM na wao hawawezi kukubali uchaguzi uwe huru.

Majina ya wapinzani yatakatwa yote kwa ushirikiano wa msajili, tume na jeshi.
Nachokiana watu wengi hawatapiga kura.
 
Wangetumia njia gani bora kama unaona bado walipaswa kuingia kwenye uchaguzi ambao watu wanaweza kuenguliwa kwa pridence ya mtu 1 ?
Kurudi kwenye meza ya majariliano maana tukiongelea nguvu chadema wanayo na wanauwezo wa kuchukua majimbo mengi ila kususia ni kama kumpiga teke chura.
 
Ni kweli Chadema haina nguvu ya kuzuia uchaguzi kwa sasa Raia wa Tanganyika walio wengi ni wapumbavu wanaogopa kupambania haki zao

ccm itaendelea kutawala kwa mda mrefu
 
Wa atashinda kwasababu ulianzishwa ubaguzi wa kidini hapa jf tu zimejaa comment za kumkosoa kisa uislam wake
 
Sidhani kama kampeni ya NRNE, chadema wanaanisha watazuia uchaguzi wa october usifanyike..???? Nadhan karume angewatafuta CDM wamueleweshe vizuri
 
Huyu dada ni mnafiki sana alimsema sana magu haya SSH kaufyata kimya yupo kwenye kamati ya praise
Kama kanisa katoliki linavyomsema sana Samia ila enzi za Maguful lilikaa kimya na kumualika madhabahuni
 
Sidhani kama kampeni ya NRNE, chadema wanaanisha watazuia uchaguzi wa october usifanyike..???? Nadhan karume angewatafuta CDM wamueleweshe vizuri
Walimaanisha nini?
 
Mama Samia ni chombo cha neema kwa Tanzania — uongozi wake ni taa ya matumaini, dira ya maendeleo na alama ya hekima. 2030 tupo tayari
 
Lakini wakina zitto junior na JokaKuu Wana mitazamo tofauti katika hili na kama wata share mawazo yao yanaweza kusaidia kupata uelewa wa mambo katika angle nyingine
 
Kiumbe yeyote anaefaidika na CCM huwa hawezi kuwa mwanaharakati huyu sijawahi mkubali maana najua ana CCM ndani yake. Wazenji wameungana kumtetea mama abdul
Kuna kipindi alikuwa akionesha kutofautiana na mamlaka wazi wazi kupitia platforms mbalimbali. Hilo unalizungumziaje?
 
Karume yupo sahihi. Ilala CCM na wao hawawezi kukubali uchaguzi uwe huru.

Majina ya wapinzani yatakatwa yote kwa ushirikiano wa msajili, tume na jeshi.
Nachokiana watu wengi hawatapiga kura.
Tuwe na subra kwa kuwa kama uchaguzi ukifanyika basi tume watatoa takwimu za waliojiandikisha na walioshiriki kupiga kura.

Baada ya hapo tunaweza kutoa maoni kulingana na takwimu hizo
 
Kuna kipindi alikuwa akionesha kutofautiana na mamlaka wazi wazi kupitia platforms mbalimbali. Hilo unalizungumziaje?
Usimwamini mtoto wa shetani maana nayeye ni shetani. Always kuna watu wapo for back up sasa ndio hao. Kakulia kwenyr familia ya CCM sasa ww unataka ahatarishe familia yao na ukwasi wao na maslahi wanayopata mkuu. Huyu mimi huwa nilimpuuzia kitambo tu.
 
Ushauri wake unauonaje kuhusu raia kujitokeza kupiga kura ktika uchaguzi wa oktoba? Na kile anachokiona kama ni ndoto ambazo zimechelewa?
 
Shangazi ni royal family hawezi kujua ugumu wa maisha wanayopitia raia wa kawaida
Kuna kipindi alikuwa anapambana na mamlaka na mpaka kudai kupoteza leseni yake ya kazi na biashara yake (kampuni ya uwakili). Unaweza kusema chochote katika hili?
 
Ushauri wake unauonaje kuhusu raia kujitokeza kupiga kura ktika uchaguzi wa oktoba? Na kile anachokiona kama ni ndoto ambazo zimechelewa?
Hao wanatumika mkuu. Hakuna muda utakua sahihi kwa CCM kubadilisha mifumo watapiga danadana kila wakati. Rejea rasimu ya warioba katika kutunga katiba mpya JK alishindwa kuipitisha awamu yake alie mfuata ndio kabisa akasema haipo kwenye ajenda zake so hawa watu hakuna muda sahihi zaidi ya sasa. Yeyote anaye taka tusifamye reforms huyo ni mtu wa kumkwepa na kumkataa wazi wazi.
 
Hawa wanawake wanatupeleka kubaya.Ukoloni huu utalitesa taifa milele wanaume wasipoingilia kati.Shauri yenu endeleeni kukumbatia Siasa Chafu mwone kama tutasonga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…