GE2025 Wakili Fatma Karume asema CHADEMA haiwezi kuzuia UCHAGUZI

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nasoma tu Fatuma anavyotukanwa na wavuta bangi humu. Wanaoamini Eti hakuna election!
Una maoni yoyote dhidi ya unao waita wavuta bangi?
 
Pengine wameenda kimya kimya, walisema wanahitaji majina na Saini za wananchi milioni 15 ili wapate nguvu ya kwenda mahakama kuuzuia
Je? Kuna muendelezo wowote kuhusu hilo?
 
Hivi alisharudishiwa leseni yake ya uwakili
Sina hakika kama anayo, labda unaweza ingia katika mtandao wao na kuona kama ame renew leseni yake
 
Waendelee kufocus na kutia mkazo katika movement yao, hata kama sio leo wala kesho, there will come a time when everything will be fine in this country because of that movement.
Watakuwa wamekuelewa
 
All in all mi uchaguzi wa chama kimoja na CCM watanyakuwa majimbo yooye mpige kura msipige.
Hawana habari na idadi ya wapiga kura
Lakini si wanasema lazima upinzani uwepo bungeni? Je huo upinzani utapatikanaje kama ccm watachukua majimbo yote?
 
Wasipo sikia la chadema nini kidanyike? Au chadema watachukua uamuzi gani?
 
Yaani wazanzibar wa upinzani sasa hivi wako kimya utadhani walichokuwa wanakidai tayari wameshakipata. Kwangu mimi nadhani pia kuondoka kwa Seif kumepunguza upinzani kwa kiasi kikubwa kwa sababu mgogoro mkubwa ulikuwa umejikita kwenye kugombea nafasi ya urais! Huyu wa sasa na Zitto naona ni madalali wanaochumia tumbo zao na wako tayari kupewa umakamu wa rais ''boya'' na nafasi chache za ubunge na uwakilishi na wakaridhika.
 
Kwa hiyo hata mimi ninayeona mama anastahili miaka mitano mingine na ninayeona Chadema kususia uchaguzi ni mwendelezo ule ule wa kufanya maamuzi ya kijinga yanayowasulubu wenyewe kuliko mtu mwingine yoyote ni mwislamu?

Ni hivi, usilete udini sehemu ambayo haistahili udini. Nchi hii imetafunwa sana na wakristo kama ambavyo imetafunwa na waislamu pia.

Msulubu mama kwa sera zake kiuongozi ila usiingize dini yake. Kwanza ana common sense nyingi sana kuliko wakristo wengi na wakuu wao.

Si ulimsikia anavyomwambia Mwamposa asitumie "hema" yake kuwadanganya watu badala yake hema litumike kumhubiri Kristo? Kwangu mimi hii ni common sense ya kiroho kabisa ambayo inanionesha mama ana sifa basic za kuiongoza nchi hii wakristo hatuna sababu ya kusulubu mtu au kiongozi wa aina ile.
 
Wasipo sikia la chadema nini kidanyike? Au chadema watachukua uamuzi gani?
Ahsante.
Wanaweza kushupaza shingo zao ila wananchi ndo wapiga kura.
Kama umeona vizuri ni kwamba NO REFORMS NO ELECTION imepata uungwaji mkono mkubwa na wa kuridhisha kutoka Kwa wananchi,na Sasa imekuwa SI Tena agenda ya chama Bali Kila mwananchi mwenye akili timamu anahitaji mabadiliko kwanza ndipo uchaguzi ufanyike.
Hivyo kulazimisha uchaguzi huwenda kukawa na idadi ndogo sana ya wapiga kura na wengi waliojiandikisha wakasusia kushiriki kupiga kura.
 

Sasa kwanini wantukana vyama vyengine na watu wanaomani kushiriki uchaguzi ni sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…