Mkurugenzi wa sheria na haki za binadamu Chadema wakili Gaston Shundo amesema kuwa kwa mujibu wa taarifa walizopewa na jeshi la polisi kupitia kwa DZCO George Bagyemu kuwa, makamu Mwenyekiti wa chama hicho ambaye alikamatwa leo asubuhi Mahakama kuu masjala ndogo ya Dar es Salaam John Heche tayari amesafirishwa kuelekea mkoani Tarime, kutokana na sababu za kukamatwa kwake kuwa huko.
Wakili huyo amesema wao kama Chadema wanajipanga kuagiza mawakili kutoka Mkoa wa Mara na Mwanza kwenda kutoa msaada wa kisheria.
Haya wakurya nendeni mkamtoe kama siku Ile tuone mnavyouponza si mnasema watu wa dar laini haya mtoeni mmeletewa huko mumtoe Ili muuponze π€£π€£π€£π€£π€£
Kule kanda maalum Tarime ndiyo kunafaa, maana Dar es Salaam wanajifanya wana mishemishe nyingi za kutafuta ugali meaning hawana muda na siasa chafu kandamizi za chama dola kongwe.
Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu imewafundisha sheria Polisi kuwa kesi hufunguliwa kule kunakodaiwa kosa likitendeka iwe ni Mbinga Ruvuma au Tarime mkoa wa Mara.
Sasa wananchi wa Sirari, Tarime vijijini na mkoa mzima wa Mara mmeletewa kesi, tena kesi inayoongeza uzito kuwa ni poti / homeboy John W. Heche.

Wananchi wa Tarime wamemchukua Makamu Mwenyekiti CHADEMA John Heche na sasa wanaondoka naye baada ya kuwepo watu ambao walitaka kumkamata baada ya kuzuiwa kusafiri kwenda Kenya kwenye Msiba wa Raila Odinga (BABA) akiwa Sirari One-Stop Border Post (OSBP). Hii sasa ndiyo nguvu ya umma watu wa Tarime wameonesha. People's Power.
Kule kanda maalum Tarime ndiyo kunafaa, maana Dar es Salaam wanajifanya wana mishemishe nyingi za kutafuta ugali meaning hawana muda na siasa chafu kandamizi za chama dola kongwe.
Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu imewafundisha sheria Polisi kuwa kesi hufunguliwa kule kunakodaiwa kosa likitendeka iwe ni Mbinga Ruvuma au Tarime mkoa wa Mara.
Sasa wananchi wa Sirari, Tarime vijijini na mkoa mzima wa Mara mmeletewa kesi, tena kesi inayoongeza uzito kuwa ni poti / homeboy John W. Heche.
Mkurugenzi wa sheria na haki za binadamu Chadema wakili Gaston shundo amesema kuwa kwa mujibu wa taarifa walizopewa na jeshi la polisi kupitia kwa DZCO George Bagyemu kuwa, makamu Mwenyekiti wa chama hicho ambaye alikamatwa leo asubuhi Mahakama kuu masjala ndogo ya Dar es Salaam John Heche tayari amesafirishwa kuelekea mkoani Tarime, kutokana na sababu za kukamatwa kwake kuwa huko.
Wakili huyo amesema wao kama Chadema wanajipanga kuagiza mawakili kutoka Mkoa wa Mara na Mwanza kwenda kutoa msaada wa kisheria.
Naona sasa polisi wameamua kuharakisha anguko la CCM kuliko hata tulivyotarajia. Kukamata, kuteka na kupoteza viongozi wa Chadema wengi sana kwa wiki mbili hizi ni mpango mkakati wa kuiangusha CCM. Na pia kuwateka mapdri wa Kanisa Katoliki na kisha kutoa taarifa za kulibagaza na kulidhalilisha Kanisa Katoliki pia ni mbinu ya kuharakisha anguko kuu la CCM, nimekaa palee ππ

Hivi sheria za nchi hii zipo kwa ajiri ya chadema tu kuna viongozi wanatajwa kwa ufisadi mkubwa ila wako mtaani tu ila Heche anakamatwa kwa kesi za kipuuzi Hebu ... polisi fikeni mahali muone aibu mnalipwa kodi zetu ujue.