TANZIA Wakili Geofrey Noah afariki dunia kwa tatizo la Nimonia

ajabu haiwapati wanaobanana kwenye msongamano kwenye daladala nk iinawawinda self drive!!! High profiles!!! wanao keep social distancing na kuepuka misongamano!!!

Hivyo vifo sio Corona ni.maradhi mengine tu

Unamaanisha kina jiwe ndiyo wanaobanana kwenye madaladala?
 
ajabu haiwapati wanaobanana kwenye msongamano kwenye daladala nk iinawawinda self drive!!! High profiles!!! wanao keep social distancing na kuepuka misongamano!!!

Hivyo vifo sio Corona ni.maradhi mengine tu
Duu comment imetolewa na mtu anaefikiria sahihi sas mtu wa kawaida akifa we utajuaje au kila mtu akiandika vifo humu si itakuwa hatari. Kifo kinachotangazwa siku zote ni either mtu mashuhuri mmoja au raia wengi full stop. Halafu umeshinda nae huyu ukaona anafuata protocol zote. Jpo inaeza kuwa kweli sio corona

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Hawa ni baadhi ya watu waliyowahi kuugua Covid-19 na wakapona.

Anna Mghwila.

Mwana FA.

Salam SK.(meneja wa Diamond?)

Mtoto wa Magufuli.

Mtoto wa Mbowe.

Na sasa Maalim seifu amejitangaza kuumwa Covid-19, tunaimani atapona pia
 
ajabu haiwapati wanaobanana kwenye msongamano kwenye daladala nk iinawawinda self drive!!! High profiles!!! wanao keep social distancing na kuepuka misongamano!!!

Hivyo vifo sio Corona ni.maradhi mengine tu
Za hao wa kwenye Daladala nani ataripoti? Wengi wanajifia kimya kimya, ndugu/marafiki zao wengi hawana smartphone ya kuanzisha uzi. Pia, huku JF atatambulishwa Kama Nani, kapuku buza afariki? Mambo mengine mnaudhi nyie Ufipa
 
ajabu haiwapati wanaobanana kwenye msongamano kwenye daladala nk iinawawinda self drive!!! High profiles!!! wanao keep social distancing na kuepuka misongamano!!!

Hivyo vifo sio Corona ni.maradhi mengine tu
Katika hao uliowataja, ni wachache wanaweza kumudu hizo gharama za hospitali ambazo zinaweza kuwapunguzia maumivu ya kushindwa kupumua. Wengi hufia majumbani mwao na taarifa ni nadra kufikia umma.
 
Punguza ujuaji ...kiande ww
 
Katika hao uliowataja, ni wachache wanaweza kumudu hizo gharama za hospitali ambazo zinaweza kuwapunguzia maumivu ya kushindwa kupumua. Wengi hufia majumbani mwao na taarifa ni nadra kufikia umma.
mitaani hivyo vifo havipo mtaani kwangu tuna mwaka hatujazika hata paka aliyefariki hatuna kifo hata kimoja tunasikia tu uvumi tu toka kwa waongo na wazushi kama wewe kuwa ohhh watu kibao wanakufa kwa tatizo la kupumua !!!! mtaani kwetu tatizo hilo halipo na watu kutwa hubanana kwenye daladala kwenda na kurudi wakienda kutafuta maisha na mashuleni na vyuoni lakini hatuoni wakiumwa hilo tatizo la kupumua au kufa kwa tatizo hilo
 
Hii mpaka ilambe kichwa kimoja kati ya vichwa vile vitatu on top ndo tutaelewana

Mkuu Amini usiamini italamba. Hili sina shaka nalo, kwa sababu ukiwaona wamekaa kwenye mambo yao hawavai Mask, wanaamini tatizo hamna.
Na wao ndio hukutana mara nyingi wenyewe kwa wenyewe. Yupo mtu, kama sio wale 3 wa juu anaweza kuwa 4 au 5 atang’oka, baada ya hapo akili itaingia vichwani mwao.
 
Ikilamba hao top 5 ndipo dawa itakuwa imepatikana au itakuwaje hebu fafanua hapo?
 
Unaunga mkono ujinga na uongo kwamba Tanzania hakuna corona? We vipi!? 😳

Ila tuchukue tahadhari, hali si nzuri. Tupunguze mikusanyiko na kusali kwa bidii. Naunga mkono sana msimamo wa mh Rais wetu lakini kuna kazi kubwa ya ku create awareness ili kupunguza vifo.
 
Back
Top Bottom