TANZIA Wakili Geofrey Noah afariki dunia kwa tatizo la Nimonia

TANZIA Wakili Geofrey Noah afariki dunia kwa tatizo la Nimonia

ajabu haiwapati wanaobanana kwenye msongamano kwenye daladala nk iinawawinda self drive!!! High profiles!!! wanao keep social distancing na kuepuka misongamano!!!

Hivyo vifo sio Corona ni.maradhi mengine tu
Ndiyo maana hawa high profile people wanaokufa najiuliza inamaana hawafuati mashariti ya kujikinga na Corona!? Au kuna kitu nyuma ya pazia ambacho wengi wetu hatukijuwi!?
 
Ila tuchukue tahadhari, hali si nzuri. Tupunguze mikusanyiko na kusali kwa bidii. Naunga mkono sana msimamo wa mh Rais wetu lakini kuna kazi kubwa ya ku create awareness ili kupunguza vifo.
Kwa hiyo hao waliokufa, inamaana walikua hawachukuwi tahaadhari!?
 
Unasema huoni watu wakiumwa mtaani kwako? kwani huu ugonjwa unapimwa kwa macho? Mtu anaweza akawa na Covid-19 ila asionyeshe any symptoms,yaani kuna wengine wanapata huu ugonjwa mpaka wanapona bila wao kujijua,inategemea na immune system ya kila mtu,Science inathibitishwa kwa vipimo jomba na sio kwa macho,huwezi ukasema huna Covid-19 wakati hujapima.
Kwa hiyo wanaobanana kwenye mwendo kasi,daladala ,Panton na masokoni uswahilini immune system yao kwenye Corona iko juu kuliko hao ma self drive ,wa keep social distance na waishio maeneo yasiyo ya uswahilini kwenye mbanano ambao mnasema wanakufa kwa Corona?

Msimamo wangu uko palepale mze Corona amekuwa jalala kila kifo anatupiwa yeye watu wanakatika kwa maradhi mengine ikiwemo ukimwi .Tuwe wawazi .Watu sasa hivi wanaficha taarifa za sababu za vifo vya watu wao .Mtu anakufa kwa ukimwi au kaswende ndugu wanasema kafa kwa tatizo la kupumua!!! Sasa hivi tuanze kuonyeshana death certificate tuisome inasemaje!!
 
Poleni wafiwa, tuchukueni taadhari jamani hali sio
 
ajabu haiwapati wanaobanana kwenye msongamano kwenye daladala nk iinawawinda self drive!!! High profiles!!! wanao keep social distancing na kuepuka misongamano!!!

Hivyo vifo sio Corona ni.maradhi mengine tu
Iko hivi
Hawa twasikia taarifa zao sababu ni watu wanaojulikana kwenye jamii
 
Napenda kuwa taarifu wale wote wenye migogoro ndani ya ndoa zao,muwe makini,wengine watakitumia hiki kipnd Cha zogo la korona ,kumaliza kesi.maana hata akikusepesha watu tutasema Corona hiyo,kumbe hujuma za ndoa zenye migogoro.
kila anayekufa postmortem hufanyika
 
Tanzania siyo makao makuu ya Mungu. Serikali iwajibike na kuichukulia covid 19/21 kama janga badala ya kujivicha kwenye maombi na kudai Mungu ametuepusha na corona.
 
ajabu haiwapati wanaobanana kwenye msongamano kwenye daladala nk iinawawinda self drive!!! High profiles!!! wanao keep social distancing na kuepuka misongamano!!!

Hivyo vifo sio Corona ni.maradhi mengine tu
Kama kweli
 
Huyu Popo wa Kichina kutoka Mafichoni Jimbo la Wuhan kwa hakika anatusababishia Majonzi sana Watanzania pamoja na duniani kote tu. Na inasemekana Popo wa sasa ni Hatari kuliko yule wa mwanzo.
 
mitaani hivyo vifo havipo mtaani kwangu tuna mwaka hatujazika hata paka aliyefariki hatuna kifo hata kimoja tunasikia tu uvumi tu toka kwa waongo na wazushi kama wewe kuwa ohhh watu kibao wanakufa kwa tatizo la kupumua !!!! mtaani kwetu tatizo hilo halipo na watu kutwa hubanana kwenye daladala kwenda na kurudi wakienda kutafuta maisha na mashuleni na vyuoni lakini hatuoni wakiumwa hilo tatizo la kupumua au kufa kwa tatizo hilo
Kwa Kiwango hiki cha Kinafiki hufai kuwa mwanadamu. Na ukupate huu ugonjwa ukose hata ambulance na ufe unahangaika. Ukakutane na Muumba wako akuulize Kama wewe alikuleta duniani Kufanya upumbavu kiasi hiki. Aibu yako mwanadamu wewe.

Wakati mwingine Ni Bora kukaa kimya kuficha upumbavu wako. Hivi unajisikiaje mtu kuwa mnafiki na mzandiki kupitiliza?? Kisa tuu ugali na matembele?? Dah inaumiza Sana Taifa kuwa na watu Kama ninyi
 
ajabu haiwapati wanaobanana kwenye msongamano kwenye daladala nk iinawawinda self drive!!! High profiles!!! wanao keep social distancing na kuepuka misongamano!!!

Hivyo vifo sio Corona ni.maradhi mengine tu

Sasa hao wakifa uwez jua ao wanavuta kmya kmya huku street ila ikitokea kwa mtu maarufu km huyo ndo habar znatapakaaa
 
Kwa Kiwango hiki Cha Kinafiki hufai kuwa mwanadamu. Na ukupate huu ugonjwa ukose hata ambulance na ufe unahangaika. Ukakutane na Muumba wako akuulize Kama wewe alikuleta duniani Kufanya upumbavu kiasi hiki. Aibu yako mwanadamu wewe... Wakati mwingine Ni Bora kukaa kimya kuficha upumbavu wako. Hivi unajisikiaje mtu kuwa mnafiki na mzandiki kupitiliza?? Kisa tuu ugali na matembele?? Dah inaumiza Sana Taifa kuwa na watu Kama ninyi
Watu wanakufa kwa magonjwa yao mengine wewe tajiri anakufa kwa kukosa hewa? gari anayotembelea ni AC full time ofisini AC na feni ipo nyumba AC na feni ipo madirisha makubwa sana hewa kibao hakai eneo lililobanana!!! ventillator mnasingizia tu

Ukosefu wa hewa uko mitaani uswahilini kulikobanana nyumva ziko hata madirisha hamna daladala mbanano kama kawaida na hatusikii vifo mtaani
 
Miili kam hiii kwa Deportivo Ni hatari

Zingatia kanuni za afya kujikinga na Deportivo
 
mitaani hivyo vifo havipo mtaani kwangu tuna mwaka hatujazika hata paka aliyefariki hatuna kifo hata kimoja tunasikia tu uvumi tu toka kwa waongo na wazushi kama wewe kuwa ohhh watu kibao wanakufa kwa tatizo la kupumua !!!! mtaani kwetu tatizo hilo halipo na watu kutwa hubanana kwenye daladala kwenda na kurudi wakienda kutafuta maisha na mashuleni na vyuoni lakini hatuoni wakiumwa hilo tatizo la kupumua au kufa kwa tatizo hilo
Unajua walalahoi wana advantage maana Muda wote wako kwenye pilika pilika. Sasa hawa wasomi wanaotembelea makalio wako kwenye hatari zaid kwa sababu Muda mwingi miili Yao hawaishughulishi tangu anaamka asubuhi adi anarudi kulala, utakuta hajatoka hata tone la jasho, mwanzo mwisho ni kukaa tu. Na hapo ukute ana liugonjwa lake uko kishkaji, Mapresha wooii..covid ikimfika inakuwa hatunaye tena.
 
Back
Top Bottom