TANZIA Wakili Geofrey Noah afariki dunia kwa tatizo la Nimonia

TANZIA Wakili Geofrey Noah afariki dunia kwa tatizo la Nimonia

Watu wanakufa kwa magonjwa yao mengine wewe tajiri anakufa kwa kukosa hewa? gari anayotembelea ni AC full time ofisini AC na feni ipo nyumba AC na feni ipo madirisha makubwa sana hewa kibao hakai eneo lililobanana!!! ventillator mnasingizia tu

Ukosefu wa hewa uko mitaani uswahilini kulikobanana nyumva ziko hata madirisha hamna daladala mbanano kama kawaida na hatusikii vifo mtaani
Anakosa hewa mwilini sio nje ya hapo
 
mitaani hivyo vifo havipo mtaani kwangu tuna mwaka hatujazika hata paka aliyefariki hatuna kifo hata kimoja tunasikia tu uvumi tu toka kwa waongo na wazushi kama wewe kuwa ohhh watu kibao wanakufa kwa tatizo la kupumua !!!! mtaani kwetu tatizo hilo halipo na watu kutwa hubanana kwenye daladala kwenda na kurudi wakienda kutafuta maisha na mashuleni na vyuoni lakini hatuoni wakiumwa hilo tatizo la kupumua au kufa kwa tatizo hilo
Ku£%$%ma "$£%£$%$%%ma£$£%ma$%^%maaaaaaaaaaaa$^£"$£"$ko"$£"$%$£%ko$^%
 
Huyo wa kwenye daladala utamjua akifa? Kuna watu wangapi wanakufa lkn hawatangazi hata kwenye media. Mtaani kwetu umetokea msiba lkn sijaona unapostiwa kwenye media lkn akifa mfanyabiashara maarufu kila kona utasikia habari yake. Km Kanumba
Ajabu haiwapati wanaobanana kwenye msongamano kwenye daladala nk iinawawinda self drive!!! High profiles!!! wanao keep social distancing na kuepuka misongamano!

Hivyo vifo sio Corona ni maradhi mengine tu.
 
Ni sahihi kwamba kila nafsi itaonja Mauti lakini hali hii ya sasa sio ya kawaida hii Nimonia gani inaua haraka haraka?? Kwann serikali isiangalie hili jambo na wananchi waambiwe la kufanya kwasasa kila mtu ni daktari au mtabibu atakuambia piga nyungu..kunywa asprin ya watoto..kunywa hiki au kile lala hivi au vile fanya hiki au kile mpaka perking powder ya maandazi imetajwa..Jameni


Jitokezini saidieni taharuki hii ni kubwa...
 
Wanaobanana siyo watu maarufu hivyo vifo vyao havijulikani na kutangazwa kwenye mitandao. Hawa wanaotangazwa wengi ni viongozi, wasomi na wafanya biashara wakubwa hivyo wanajulikana sana.
Hivi bongo watu maarufu ndio watu gani? Huyu pia ni mtu maarufu? Au ukisoma tu unakuwa mtu maarufu? Huyu jamaa ndio namsikia humu.
 
Ajabu haiwapati wanaobanana kwenye msongamano kwenye daladala nk iinawawinda self drive!!! High profiles!!! wanao keep social distancing na kuepuka misongamano!

Hivyo vifo sio Corona ni maradhi mengine tu.
Na unategemea ndugu zao walete taarifa mitandaoni kuwa kaka yetu anayeuza duka la vifaa vya ujenzi Kariakoo amefariki?
 
Ajabu haiwapati wanaobanana kwenye msongamano kwenye daladala nk iinawawinda self drive!!! High profiles!!! wanao keep social distancing na kuepuka misongamano!

Hivyo vifo sio Corona ni maradhi mengine tu.

Ipo siku utakiri kwa kinywa chako kwamba Corona ipo... Na itakugharimu.
 
Tanzania peke yetu ndio tulifunga na kuomba siku tatu hakuna nchi nyingine yeyote duniani ilifanya hivyo we are peculiar
Oooh, nilikua nimesahau.

Wao Corona, sisi tulishaimaliza kwa sasa ni nimonia na changamoto ndogo ndogo za upumuaji tu.

5 Again
 
Napenda kuwa taarifu wale wote wenye migogoro ndani ya ndoa zao,muwe makini,wengine watakitumia hiki kipnd Cha zogo la korona ,kumaliza kesi.maana hata akikusepesha watu tutasema Corona hiyo,kumbe hujuma za ndoa zenye migogoro.
Sawa tumekusikia
Ushauri utazingatiwa
[emoji23][emoji23]

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Uliza marangu utaambiwa kinachohapeni
Rumors say kuna familia ya kesy toka corona ipambe moto wamezika watu 13 na wengine maiti tatu zipo mochuary
 
Mbeya ving'ora vya wagonjwa vinapita balaa
Kwetu leo sijavisikia na jana nilisikia kama vi2 tu.AlhamduLillaah. Tumuelekee Allah sana. Yatapita na tusije tukasahau uwezo wake ulio Mkuu.
Viumbe vidogo sana kama hivi hata kwa macho havionekani lakini vishenzi sana.vimepewa nguvu kuliko nyuklia ya kuutikisa ulimwengu.
 
Back
Top Bottom