The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,288
Anakosa hewa mwilini sio nje ya hapoWatu wanakufa kwa magonjwa yao mengine wewe tajiri anakufa kwa kukosa hewa? gari anayotembelea ni AC full time ofisini AC na feni ipo nyumba AC na feni ipo madirisha makubwa sana hewa kibao hakai eneo lililobanana!!! ventillator mnasingizia tu
Ukosefu wa hewa uko mitaani uswahilini kulikobanana nyumva ziko hata madirisha hamna daladala mbanano kama kawaida na hatusikii vifo mtaani
Ku£%$%ma "$£%£$%$%%ma£$£%ma$%^%maaaaaaaaaaaa$^£"$£"$ko"$£"$%$£%ko$^%mitaani hivyo vifo havipo mtaani kwangu tuna mwaka hatujazika hata paka aliyefariki hatuna kifo hata kimoja tunasikia tu uvumi tu toka kwa waongo na wazushi kama wewe kuwa ohhh watu kibao wanakufa kwa tatizo la kupumua !!!! mtaani kwetu tatizo hilo halipo na watu kutwa hubanana kwenye daladala kwenda na kurudi wakienda kutafuta maisha na mashuleni na vyuoni lakini hatuoni wakiumwa hilo tatizo la kupumua au kufa kwa tatizo hilo
Ajabu haiwapati wanaobanana kwenye msongamano kwenye daladala nk iinawawinda self drive!!! High profiles!!! wanao keep social distancing na kuepuka misongamano!
Hivyo vifo sio Corona ni maradhi mengine tu.
Hivi bongo watu maarufu ndio watu gani? Huyu pia ni mtu maarufu? Au ukisoma tu unakuwa mtu maarufu? Huyu jamaa ndio namsikia humu.Wanaobanana siyo watu maarufu hivyo vifo vyao havijulikani na kutangazwa kwenye mitandao. Hawa wanaotangazwa wengi ni viongozi, wasomi na wafanya biashara wakubwa hivyo wanajulikana sana.
Na unategemea ndugu zao walete taarifa mitandaoni kuwa kaka yetu anayeuza duka la vifaa vya ujenzi Kariakoo amefariki?Ajabu haiwapati wanaobanana kwenye msongamano kwenye daladala nk iinawawinda self drive!!! High profiles!!! wanao keep social distancing na kuepuka misongamano!
Hivyo vifo sio Corona ni maradhi mengine tu.
Ajabu haiwapati wanaobanana kwenye msongamano kwenye daladala nk iinawawinda self drive!!! High profiles!!! wanao keep social distancing na kuepuka misongamano!
Hivyo vifo sio Corona ni maradhi mengine tu.
So strange,Corona haipo maombi tuliyoomba yalushaimaliza sitarajii kukiri
Oooh, nilikua nimesahau.Tanzania peke yetu ndio tulifunga na kuomba siku tatu hakuna nchi nyingine yeyote duniani ilifanya hivyo we are peculiar
Sawa tumekusikiaNapenda kuwa taarifu wale wote wenye migogoro ndani ya ndoa zao,muwe makini,wengine watakitumia hiki kipnd Cha zogo la korona ,kumaliza kesi.maana hata akikusepesha watu tutasema Corona hiyo,kumbe hujuma za ndoa zenye migogoro.
Kwetu leo sijavisikia na jana nilisikia kama vi2 tu.AlhamduLillaah. Tumuelekee Allah sana. Yatapita na tusije tukasahau uwezo wake ulio Mkuu.Mbeya ving'ora vya wagonjwa vinapita balaa